Naomi Simulizi |+1 205 767 8163 |naomisimulizi@gmail.com Yesu Aliniita “Njoo” - Naomi Simulizi

Yesu Aliniita “Njoo”

[1]
Yesu aliniita, “Njoo Raha iko kwangu,
Kichwha chko ukilaze Kifuani mwangu”
Nilikwenda kwake mara, sana nilichoka;
Nikapata kwake raha Na furaha tena.

[2]
Yesu aliniita, “Njoo, Kwangu kuna maji;
Maji ya Uzima, bure, Unywe uwe hai.”
Nilikwenda kwake mara na maji nikanywa;
Naishi kwake na kiu Kamwe sina tena.

[3]
Yesu aliniita, “Njoo, Dunia i giza,
Ukinitazama, nuru Takung‘arizia.‘
Nili kwenda kwake mara, Yeye jua langu,
Ni kila wakati mwanga Safarini Mwangu.

CONVERSATION

0 Comments:

Post a Comment