Love At First Sight - Sehemu ya 96.
“Sijui kama nilishakwambia?” Akaendelea taratibu kama anayepasua jipu. “Juu ya nini?” “Kama bro anakampuni ya ujenzi wa barabara. Huwa anatangaza tenda za malighafi za ujenzi. Nimemuomba na mimi kama naweza kuingia.” “Jerry! Si mamilioni ya pesa nyingi sana?!” Ikamshitua Tuma mwenyewe.
“Sana Tuma. Mno. Tena nilimjaribu tu kutaka kujua kama anaweza nikubalia maana na baba yake Sandra ametajirika sana kwa kumuuzia bro. Ndio nikamuomba kama kuna kitu kingine na mimi naweza nikawa nikimuuzia.”
“Aisee huwezi amini Tuma!” “Nini?” “Tukiwa hukohuko, amempa mtu kazi ya kunisaidia kufungua kampuni kwa jina langu. Jana ndio nilikuwa naye huyo mtu kwenye simu tukizungumza. Jioni ameshamwambia bro amefanikiwa kwa asilimia 90. Ni kampuni ambayo naweza fanya biashara yeyote ninayotaka. Bro amesema anayo sehemu ambayo anaweza kuniazima kwa muda nikafungua ofisi yangu mpaka nitakapopata ingine.”
“Sasa ile biashara ya kuuza matairi nayo!?” Ikabidi aulize, akijihisi ndio umaanawake umeshakwisha, ametoka nje ya picha. Jerry hatamuhitaji tena. “Tuma, tunazungumzia biashara ya mamilioni ya pesa sio kuuza tairi moja moja au gari mojamoja! Ninapokwambia ni malighafi za kutengenezea barabara, usifikiri ni kama mchanga kwenye toroli! Ni pesa ambayo ukipata tenda moja, ni mamilioni ya pesa! Utakuja kuona.” Hapo akaanza kutulia akiona bado amebakishwa kwenye picha.
“Mtaji?” “Nilimuomba kwa imani tu, yeye mwenyewe akalipokea kwa furaha sana. Ujue bro yupo hivi. Hataki kutusukuma kufanya kitu. Anataka tufikirie wenyewe, halafu anatusaidia. Sasa nilipomwambia hili, akaniambia hakutegemea kama ningependa kufanya kitu kama hicho, eti nimewaza vizuri sana.”
“Amesema kwa tenda ya kwanza atanipa pesa ya kununulia hiyo malighafi ya hiyo tenda nitakayoshinda, ila nijikaze ili nikilipwa, hiyo pesa kuanzia hapo ndio nianze kuizungusha sasa kwenye hiyo biashara, nisiitumie ibakie kwa biashara tu. Kwamba tenda ya kwanza tu, faida yake na huo mtaji ndio itaendesha biashara nzima.” Tuma akashangaa sana jinsi JJ anavyowekeza kwa wadogo zake.
Ambavyo hakutegemea Jerry, akamsikia Tuma akisema. “Hongera sana Jerry. Kweli umewaza kitu kizuri na kikubwa zaidi ya uwezo wako na ukafanikiwa. Hongera sana.” “Asante. Hujajisikia kama nimekupuuza? Kuacha wazo lako na kufanya kitu cha tofauti kabisa?” “Hata kidogo. Mwenzio najivunia wewe, nakuona unaakili nyingi.” Jery alicheka sana.
“Kweli Jerry! Umewaza kitu kikubwa mpaka mimi kimenitisha! Lakini Mungu akakufungulia mlango.” “Umri umekwenda Tuma. Na kujiambia kuanza, sio sawa. Nimejifikiria, nikaona kuanza kuosha magari sio jambo baya, au kuuza matairi kama Jeremi, lakini kufanikiwa ingenichukua muda mrefu. Ningekuwa kijana wa miaka kama 20 hivi hapo sawa, lakini nishapoteza sana muda, sitaki kuanza kujitangaza sasahivi ndio nikue na hiyo biashara, sijui umenielewa?” “Kwa asilimia 100, na nakuunga mkono.” Hilo likamfurahisha sana Jerry kuona safari hii amepata wa kumuunga mkono akimpongeza wazo lake.
“Si tutakuwa wote?” “Unamaanisha nini?” “Kuanza pamoja. Jumatatu kwenda kuangalia ofisi yenyewe. Kuanza kununua thamani za ndani ili ikae kiofisi kabisa, kazi ianze.” Tuma akazidi kufurahi.
“Au unataka muda wa kufikiria zaidi?” “Katika hilo wala sitafikiria Jerry! Umewaza vizuri sana, na mimi nataka kukuunga mkono kwa vile nitakavyoweza.” Jerry akazidi kumpenda.
“Hujui kwa kiasi gani nakuhitaji Tuma! Nahisi Mungu alikutunza kwa ajili yangu.” Tuma akacheka tu na kunyamaza kwa muda. “Ila ujue mama J kweli ananitegemea!” “Watajipanga, usiwe na wasiwasi juu ya hilo. Tuwaze hii biashara mpya. Tujipange.” “Na pesa ikiongezeka unaweza kujipanua zaidi. Kuomba tenda kwenye makampuni mengine.” “Kama ulikuwepo kwenye mazungumzo yangu na bro. Na ameahidi kuniunganisha na watu wengine wenye makampuni makubwa. Nikikwambia itakuwa biashara kubwa, jua ni kubwa. Acha tuanze tuone na mkono wa Mungu utakapotupeleka.” “Amina. Umeongea kama mama yangu.” Wakacheka na kutulia.
~~~~~~~~~~~
“Utamuagaje Eli?” Tuma akafikiria kidogo. “Ujue si kwamba namuomba ruhusa, nikumtaarifu kuwa ninaondoka, nitarudi kesho.” “Kesho!?” Eti Jerry akashituka sana. “Haiwezekani Tuma! Yaani tunakuwa wote usiku mmoja tu! Sasa ndio inakuwa nini hivyo!? Na ukumbuke leo umekuwa kazini, umechoka, na mimi nataka upumzike. Siku yetu itaanza kesho, halafu na wewe unataka kuondoka! Nakuhitaji Tuma! Naomba muda na wewe.” “Hata mimi Jerry! Kwa hiyo nimwambie jumatatu?” “Nilazima useme siku utakayorudi?” Tuma akatulia akifikiria.
“Au unahofia chakula.” “Tunavyakula vingi tu na zile mboga. Na nimepika, na kujaza friji. Hatapata shida ya chakula. Na pia anajua kujipikia.” “Sasa tatizo ni nini?” “Sijui Jerry! Nahofia kufanya kama nilivyofanya mwanzo nikiwa na Mbaki. Nilijisahau, na tukaishia hivihivi!” “Hutaishia hivihivi kwangu. Sio na mimi Tuma.”
“Kweli Jerry?” “Ni vile bado hujanijua vizuri. Mimi mwenyewe najithamini sana aisee! Mwili wangu sio toi lakuchezewa na kushikwa na kila mwanamke.” Tuma alicheka mpaka akajifunika uso.
“Aisee sikutanii Tuma! Kwanza nasikia kinyaa. Naingia kwa kila mwanamke! Hapana! Sijawahi na wala sitaanzia kwako. Mbali na Sandra nilikuwa na yule msichana wa kwanza, ndio wewe. Na naomba Mungu safari hii iwe wewe ndio mwisho. Sitaki kuanza kila wakati.” Hilo likamtuliza nafsi.
“Kwa hiyo usiogope.” Akatingisha kichwa akitabasamu. Jerry akacheka akiwa anaegesha gari hapo kwa Tuma.
“Nichukue nguo za siku tatu?” “Tuma! Mbona kama wewe mwenzangu hutaki muda na mimi!?” “Nataka Jerry!” “Sasa mbona unaweka mipaka? Unaanza kuagana hata hatujapata muda wetu!” “Basi nishauri, nichukue nguo za siku ngapi!” “Kwanza ujue jana sababu ya furaha nimeshinda madukani nikinunua vitu. Unalo sanduku zima la nguo zako zote.” “Kweli Jerry??”
“Nimekusudia kubadilika Tuma. Huku kufanyiwa mambo, nimejionya na kujikumbusha ni lazima nianze kujifanyia mambo yangu mwenyewe. Sio kama nilivyokuwa nikimuacha Sandra akifanya manunuzi kwa pesa zetu, halafu anakuja kuishia kusema hata chupi yangu ni yake.” “Unajua kwamba mimi sitakufanyia hivyo, hata kama kweli nimekununulia mimi?” “Najua Tuma. Najua kabisa. Ila nimekusudia na mimi nijishugulikie. Umeniambia nimepewa nafasi ya pili, acha niitumie vizuri. Au ni vibaya?” “Hata kidogo.” Akaafiki na tabasamu kidogo kama kumtuliza maana alizidi kujitetea.
“Basi moja ya hayo masanduku hapo ni lako. Nimekwambia napenda sana kuvaa. Najua nguo. Wewe nimekusoma kwa haraka, nahisi sijakosea sana vile nilivyokununulia. Wewe shuka na vitu vya Eli, twende.” “Hata nisioge harakaharaka!” “Kwangu pia kuna maji na mataulo.” Akacheka na kushuka.
“Subiri sasa zawadi za Eli!” “Wewe mpe mwenyewe afurahi.” Akamuacha anafungua masanduku, akaingia ndani kuzungumza na mdogo wake.
Mazito ya Eli
Kwanza alimkuta anasoma, hakutaka ampotezee muda na maneno mengi, na hakujua kama amekuja na Jerry. “Unajirudiarudia sana Tuma, unanipoteza!” Akamjibu tu hivyo dada yake na kuendelea kusoma. “Sio kuanza sasa kunipigia simu za maswali.” “Tuma!” “Haya, nanyamaza.” Akaona ahitimishe na kuingia chumbani kwake. Jerry akaingia. Ndipo akasimama na kumsalimia kwa heshima zote, na kumkaribisha.
“Karibu.” “Naona sisi hatutakaa sana. Ila nimekuletea hizi tisheti, angalia kama zitakufaa.” Mtoto alifurahi huyo! Mpaka akamgusa Jerry. Maana alikotoka, si wanae si Sandra, hakuna alichopeleka kisitolewe kasoro, mpaka akaacha kuwanunulia vitu. “Hizi zitakuwa za kanisani na soksi zake. Asante sana.” Alishukuru tena na tena.
“Aisee asante sana. Umenipa nguo ya kuvaa nikienda kukutana na yule daktari.” Akaanza kucheka kwa furaha akifikiria na kuibua swali mpaka kwa Tuma huko ndani. “Itaniongezea ujasiri.” Akawachanganya ila ikabidi Jerry amuulize.
“Kwani unaumwa?” “Hapana!” Na yeye akawa kama amemchanganya! Maana alikuwa akizungumza mawazo yake kwa sauti, akiwa amejawa furaha. “Sasa kwa nini unakwenda kuonana na daktari?” “Oooh! Ni mambo yangu binafsi nafanyia utafiti.” Jerry akaongeza umakini. Na kuuliza. “Utafiti gani?” Eli akakaa.
~~~~~~~~~~~
“Unaona hivyo vitabu vyote hapa?” Jerry akaangaza macho. Kulijaa vitabu kama maktaba. Hapo alipokuwa amekaa tu vitabu kama vinne vikubwa vilikuwa wazi. “Pesa ya Tuma yote inaishia hapa.” Jerry akacheka akiangalia.
Kisha akauliza. “Ni vitabu vya nini?” “Sisi mama yetu alikuwa kila akizaa watoto wanakufa, na nilipojaribu kuzungumza naye kama kujua zaidi, mbali na aliofanikiwa kuzika, kuna mimba pia zilikuwa zikitoka.” Akaendelea Eli kifasaha kiasi chakumfanya Jerry kukaa vizuri amsikilize upande wake yeye wa hilo, maana alishamsikia Tuma.
“Usinielewe vibaya, sikatai kama uchawi upo, lakini nahisi kuna kitu cha ziada, zaidiya hapo.” “Kiafya?” Jerry akauliza. “Sawasawa. Yeye mwenyewe kama mama aliyekuwa akibeba hao watoto. Maana ukumbuke hakuna aliyejisumbua naye kumpeleka kwa madaktari akasaidiwe kitaalamu, ila kuendelea kutengwa kama mwanamke mwenye mkosi tu.”
“Sasa nilipozungumza na mama taratibu kutaka kujua zaidi. Aliniambia kwenye ujauzito wa Tuma aliugundua akiwa amekwenda kwa kaka yake, mjini. Mimba ya mtoto wa kabla ya Tuma ilitoka. Akaugua sana. Kaka yake alipopata taarifa, akatuma mtu kwenda kumchukua ili akahudumiwe mjini. Lakini kwa jinsi alivyosema, kaka yake alimpeleka hospitalini akafanyiwa matibabu mengi na wakati huo ndipo akagundulika na mimba ya Tuma.” Tuma alishangaa sana hakuwa na hizo taarifa.
“Mke wa mjomba ameokoka. Ndiye aliyempa mambo ya Mungu. Mama akaokoka alipokuwa mjini. Hapo ukumbuke ule ujauzito ulikuwa ukiendelea kukua. Mama anapatiwa matibabu mazuri. Amekutana na mambo ya Mungu.” Jerry akacheka kama ambaye ameanza kuelewa.
“Umeona sasa?” “Umenileta karibu sana. Aisee Eli unaakili wewe!” Tuma akatoka kama kutaka kujua zaidi, maana yeye hakuwa ameelewa. “Sasa hapo ndio inamaana gani?” “Kwamba mwili uleule uliokuwa ukishindwa kubeba watoto, au kuzaa watoto waliokuwa dhaifu, ukiwa chini ya uangalizi wa madaktari,” “Na hakuna stress.” Akaongeza Eli akiwa anamkata Jerry aliyekuwa akimuelezea Tuma.
“Ewaa!” Jerry akaafiki. “Maana huwezi jua mama alikuwa akizaa watoto waliokuwa wamekomaa au la! Maana na yeye mama hakuwa na mahesabu mazuri. Ndio katika kusoma na utafiti mwingi nimegundua, anaweza akawa alikuwa akipata pressure. Mwanamke mjamzito mwenye pressure ya juu sana, ni rahisi mimba kutoka.” “Eli wewe!” Dada yake akawa anamshangaa.
“Kabisa. Kwa hiyo wanaweza kusema mama alikuwa akizaa watoto wanakufa, kumbe pressure yake ilikuwa ikiwa juu sana kiasi ya kutoa mimba za watoto ambao bado hawajakomaa. Sasa kwa sababu hawakuwa na uwangalizi, walikuwa wakifa.” “Nyie Eli!” Dada yake hakuwa akiamini.
“Kabisa Tuma. Sasa ukimfuatilia vizuri utagundua yale mazingira ya mjini. Hakuna kelele za wale wake wenzie na watoto wake. Akampata Mungu ambaye akafundishwa kumtumaini yeye tu, hudhani kulipunguza pressure kwake akijua ipo nguvu kubwa zaidiinayo msaidia huku akipatiwa matibabu zaidi?” “Sawasawa!” Jerry akaafiki kwa furaha.
“Kiasi ya kwamba mimba yako wewe ilikuja kukua kwenye mwili usio na pressure.” “Tena wenye virutubisho. Maana aliondoka mjini Tuma akiwa na kama miezi mitatu. Na anasema wifi yake alimtunza vizuri sana, kwa sababu kaka yake alikuwa na uwezo fulani hivi.” “Mjomba mpaka leo anajiweza.”
“Sawasawa. Kwa hiyo alijifungua Tuma akiwa hana pressure ya kurudi shamba mapema. Ila uzazi tu. Alikuwa akipata chakula chakumtosha. Analala vizuri. Mwili ulikuja kutengeneza nguvu na virutubisho vyakutosha. Kiasi ya kwamba japokuwa mimi nilizaliwa kwenye mazingira ya pale kwenye boma letu. Lakini mama alishakuwa na uwezo wa kubeba mimba.” Wote wakashangazwa sana.
“Sasa jiulize ni wanawake wangapi wanapita kama anakopita mama na hawafanikiwi kupata watoto?” “Kwa hiyo ndio unafanyaje?” Jerry akamuuliza. “Najua namfilisi Tuma mpaka ameshindwa kuendelea kujenga.” Tuma akacheka kwa masikitiko nakumfanya Jerry acheke.
“Kumbe unajua kama unanifilisi.” “Naona dada yangu. Lakini sina jinsi. Natafuta jinsi yakusaidia wengine.” “Basi ndio nijue kujenga basi tena, na kiwanja niuze, uzidi kufanyia uchunguzi.” Jerry akazidi kucheka.
“Usikate tamaa sasa!” “Kwani wewe hukuwa ukijua kama anafanya yote haya?” “Wewe hujamjua Eli. Kwanza nashangaa amewezaje kukupa muda wake akakuelezeayote haya.” “Sio hivyo bwana! Yeye Tuma anataka muanze stori wakati mwenzie nakuwa nina jambo la msingi. Halafu stori zake bwana!” Jerry alicheka, alicheka sana huku akimwangalia Tuma.
“Zikoje?” “Mambo hata yasiyo na maana.” “Kwa hiyo anakupotezea muda?” “Hujaishi na Tuma wewe. Anaweza akataka akwambie jambo la mtandaoni!” “Wewe hutaki?” “Hamalizi!” Jerry alicheka mpaka machozi.
“Hamalizi. Na raha yake alirudierudie jambo haliishi!” “Ni tabia yako mbaya tu. Eti mtu mnaishi wote hataki mzungumze!” “Yaani yeye akiingia tu ndani, anataka muanze kuzungumza jambo lake wakati ananikuta mwenzie nasoma kitu cha muhimu. Lakini huwa jumapili namuacha azungumze atakavyo.” “Hata akirudiarudia?” “Namuacha tu.” “Hana lolote, anakudanganya. Tukitoka kanisani tukifika ndani, anaanza kukwambia unyamaze.” Jerry alizidi kucheka.
“Kwamba wewe ulitaka kuendelea?” “Kumbe! Nakuwa na mambo muhimu.” “Sasa mambo muhimu ya Tuma, ndio utachoka zaidi, na hayaishi.” Tuma akaguna tu.
~~~~~~~~~~~
“Turudi kwa safari yako kwa huyo daktari.” “Ehe! Sasa kuna mambo kadhaa nimechunguza. Nimeandika. Kwa sababu kuna wanawake wengine wanapita alipopita mama kwa matatizo tofauti tofauti. Wapo wenye uangalizi mzuri wa kimadaktari na bado mimba zinaharibika na mengine mengi.”
“Huyu daktari nimemsikia wanawake wengi sana wanamfuata kwa kliniki
za ujauzito na anasifika mno. Aisee nimehangaika kumfuatilia mpaka kunisikiliza! Zaidi ya mwaka.” “Eli! Mwaka mzima!” “Nimehangaika Tuma! Acha dada yangu. Na hivi hakuna anayenifahamu! Ikawa ngumu sana kunipa muda wake.” “Ulifanyaje sasa?”
Wakamuona anacheka. “Ikaanza kazi ya kumvizia sehemu anazoegesha gari yake. Maana nilianza kusaka mpaka nikapata ratiba yake ya kliniki, nikawa nikimsubiria pembeni ya gari yake.”
“Na bado alikataa kukusikiliza!?” “Akiwa anashuka ananiambia anaharaka, anawahi. Akiwa anatoka anasema anawahi kliniki ingine au amechoka. Ikaendelea hivyo mpaka siku moja ikabidi nilazimishie kwa kumuelezea jambo fulani hivi walilizungumza kwenye summit moja, ilifanyika nchini Uingereza.”
“Madaktari wengi wa mambo ya kina mama, walikutana huko. Nilijua yeye hakwenda. Nikamwambia jambo la msingi sana walilozungumzia huko, ndipo nikaweza mshika sikio. Akasimama. Maana hapo nilikuwa nikizungumza naye kwa kulazimishia, anatembea kama anayenikimbia huku mimi naendelea kuongea nyuma yake nikimfuata. Nilipomuona amesimama, nikajua nishampata. Alivutiwa huyo! Ndio kuanzia hapo tukaanza kuwasiliana. Nishajua ametokea kunipenda na ananiheshimu.” Wakacheka.
“Kweli! Muda wowote nikimpigia simu anapokea. Na haachi kunisifia, akitamani hata kijana wake awe kama mimi. Na ndio amenikaribisha kwenye kliniki yake ili niweze kukutana na kina mama wajawazito, wazima ambao hawana tatizo na wenye matatizo na vile anavyowasaidia.” “Aisee mpaka mimi umenivutia Eli! Kwa hiyo unampango wa kusomea udaktari?” “Kwa asilimia 100 ndio maana nakazana na shule.”
“Najua hata nifanye nini, Tuma hana uwezo wa kuja kunisomesha udaktari. Lakini najua, kuna alama nikimaliza nazo hizo, sitakuwa na upinzani ila Chuo Kikuu cha Muhimbili kunichukua moja kwa moja. Na nikimaliza hapo, nitajitahidi niendelee na mambo ya kina mama. Ili nisaidie wanawake wengine.” “Hongera Eli.” “Ila safari ni ndefu! Ndefu sana. Na bila Tuma, nisingeweza.” Jerry akamwangalia Tuma, akacheka tu.
“Nammalizia pesa zote. Ila mwenyewe huwa haniulizi mpaka nashangaa! Naweza muomba pesa hiyo! Mwenyewe huwa inaniogopesha, lakini hataniuliza ya nini ila atauliza tu mwisho wake lini? Najua hana, anataka aikusanye. Kwa hiyo hongera hiyo ni ya Tuma.” Tuma akacheka tu na kusimama.
“Sasa kwanini huwa huulizi?” Akamuuliza Tuma na yeye akisimama. “Ana mambo mengi sana Eli, bwana! Anaweza kukutajia majina ya vitabu, na umri huu sijawahi hata yasikia! Nikajiachia zangu.” Jerry na Eli wakacheka.
~~~~~~~~~~~
“Ikitokea summit ingine. Popote pale. Niambie mapema tufanye mpango uende ukahudhurie.” Tuma na Eli walishituka, mpaka Eli na yeye akasimama. “Kweli!? Ukimaanisha hata nje ya nchi?!” “Popote pale. Hiyo akili yako na shauku yako inahitaji msaada mdogo tu kufikia lengo. Sijawahi kukutana na mtu wa aina yako Eli. Umenifundisha kitu kikubwa sana na umenivutia.” Kisha akaongeza.
“Nitakuja kukutambulisha kwa kaka yangu. Watu wenye vichwa kama vyako, ndio anao wapenda. Mtu anayepambana kutafuta suluhu ya tatizo, sio mlalamishi tu. Wewe mtapatana.” Tuma kusikia JJ, akajimbia huo usiku atakwenda kutumika huko, mpaka Jerry amgande kama kupe.
“Na kuanzia sasa, popote na yeyote unayefikiria anaweza kukusaidia kwa namna yeyote ile. Unahitaji msaada wa kumfikia, pia tuzungumze tuweke mazingira mazuri. Na siku ikifika kwenda kwenye kliniki ya huyo daktari, nijulishe nikusaidie ujiandae vizuri kimuonekeno sio hizo tisheti.” “Asante sana Jerry. Mungu wa mama yangu akubariki.” Hakutegemea aina hiyo ya baraka. Akacheka na kutoka na Tuma.
~~~~~~~~~~~
Waliondoka hapo kila mmoja akitizamia usiku mzuri. “Nalala na Jerry leo!?” Tuma akawaza huku akimfikiria huyo Jerry na jinsi alivyo! Furaha ikazidi kuongezeka. Mwili ulishakuwa tayari na hilo penzi. “Anavyojua kukiss! Na alivyo mzuri!” Akacheka nafsini mwake ila Jerry alimuona akiwa anaendesha.
“Unawaza nini?” Akagutuka. “Eti Tuma?” “Nimefurahi umerudi.” Akacheka kama ambaye na yeye anavuta hisia. “Mimi nafurahia tutakuwa wote, Tuma.” “Hata mimi.” Wakacheka. “Tukifika tu, naagiza chakula, ukitoka kuoga utakuta tayari.” “Sawa.” “Unataka kula nini?” Wakaendelea kuongea mpaka wakafika.
~~~~~~~~~~~
“Usibebe masanduku. Nitabeba. Chukua vidogo, na funguo, tangulia chumbani ukaanze kuoga. Utakuta mataulo masafi bafuni. Nguo chafu tupia kwenye tenga. Ukitoka utakuta sanduku lako kitandani uchague chakuvaa.” “Nakushukuru kwa zawadi. Asante.” “Kabla hujaona! Kama hutapenda!” “Yaani kule kunifikiria mimi na mdogo wangu tu! Ukatumia muda wako na pesa, hakika nakushukuru Jerry. Mungu akubariki sanaaa.” “Amina.” Akamkabidhi funguo za apartment, akabeba vitu vyepesi, akatangulia haraka maana alijiona ananuka, angalau akajisafi.
Kulikuwa kusafi kama kulikosafishwa alipoondoka. Mpaka kitanda kilitandikwa. Akaanza kujihami na vijifurushi vyake. Alibeba vipodozi vyake pia. Akaviegesha pembeni kabisa kwenye kona na kukimbilia bafuni akiamini atakuta taulo kama alivyoambiwa.
~~~~~~~~~~~
Kazi ya kujisafi ikaanza akijua usiku huo, mambo hadharani. Alijisugua tena na tena akitumia shower jelly ya Jerry ili anukie kama yeye. “Mbona umekwama huko ndani?” “Namalizia.” Ndipo ikabidi ahitimishe sasa akijaribu kujinusa kila mahali huku akichekacheka.
“Jerry?” “Nipo.” “Sina kitu chakujifunga. Nitatokaje?” Akamsikia akicheka. “Sasa unacheka nini?” “Nimeshakuwekea sanduku lako mezani, lipo wazi.” “Vitaulo vyako vidogo bwana! Nusu uchi!” “Nitafunga macho, toka.” Tuma akaanza kucheka akisita huko bafuni.
Akashangaa mlango unafunguliwa taratibu, akashikilia matiti kwa haraka. Akamsogelea na tabasamu, akainama na kuanza kumkiss. Alifurahi huyo Tuma. Mikono ikaanza kumpapasa akiwa amesimama pembeni ya shower safi, sakafu kavu. Pembeni kuna choo cha kukaa. Padogo tu, lakini pazuri.
Akampapasa mpaka mikono ikafika sehemu ndogo iliyokuwa imefunikwa na taulo. Akafanya kusudi kulisukuma na kuanguka chini bado akimkiss. Akaanza kumpapasa mwili huo ambao bado ulikuwa na maji, hauna nguo. Akampapasa kwa uchu na hisia zote kama asiyetaka kumaliza. Ile harufu nzuri ya midomo aliyokuwa akiipata Tuma, alishakuwa tayari naye.
Akamsikia mkono umefika kwenye matako, halafu akayashika kwa nguvu nzuri iliyozidi kumsisimua Tuma halafu eti yeye mwenyewe Jerry akawa anahangaika. Midomo ilishindwa kumuachia. Aliendelea kunyonya midomo yake, huku akimpapasa.
Akapitisha mkono mmoja taratibu nyuma, mpaka mbele akimchezea taratibu. Tuma akazidi kujisogeza karibu akipanua miguuu. Hamu zilimjaa!
Akamgeuzia mbele akaanza kupitisha mikono kuanzia kwenye matiti mpaka chini kwa Tuma mwenyewe huku akimnyonya sehemu za shingoni, mkono mmoja ziwani, mwingine unamchezea taratibu. Alipoweka ulimi sikioni, alimsisimua mpaka akalegea kabisa kwani alizidisha nguvu kwenye kisimi chake karibia kupiga bao.
Kama aliyemfanyia makusudi, katikati ya hiyo raha akamnyakua hapo na kuelekea naye kitandani huku akimnyonya midomo taratibu. Hapo hana hata taulo ila Jerry aliingia hapo akiwa ametoa tisheti yupo na singlendi tu.
Akamlaza kitandani na kazi ya kumnyonya ikaanza. Bwana alimnyonya huyo Tuma! Kuanzia masikio, matiti, kitovu ndipo akazama chumvini. Tuma alikuwa akilalama anahangaika kitandani, akivuta mashuka na mito mpaka akahitimisha. Alipomaliza tu, Jerry akatoa nguo kwa haraka na kumlalia.
Alipotaka kuanza romance kama kumlipizia, ili na yeye amfurahishe, Jerry akakataa. “Nina hali mbaya Tuma, siwezi subiri.” Akarudi midomoni. Akaanza kusikilizia raha anapopenya. Japokuwa hakuwa amemuona mzee, lakini akasikia raha vile alivyokuwa akitafuta njia. Alikuwa akilalama vile anavyopenyezea mpaka akafanikiwa, akakutanisha miguu yote juu ya kiuno chake mikono ikiminya mgongo wa Jerry kwa nguvu, kimahaba. Kissing haikukoma.
Vile alivyokuwa akimsugua na kumsikilizia mzee Jerry mwenyewe huko ndani! Ule ukubwa wake akimsikia mpaka ndani huku upana wake ukikutana na kingo za uke wake, Tuma alikuwa akimwaga maji laini yaliyosaidia utelezi. Ungejua Jerry anafaidi kwa jinsi alivyokuwa akimsugua kwa utulivu ila kwa nguvu iliyoongeza raha ya ajabu.
~~~~~~~~~~~
Taarifa zikafika kichwani, Tuma alishituka mpaka akamchomoa na kujiweka pembeni na kufungamanisha miguu yote akijikunyata. “Ni nini!?” “Niliacha kutumia kinga ya kuzuia mimba, Jerry. Naomba tolea nje.” “Hiyo ndio adhabu aliyokuwa akinipa Sandra, Tuma. Naomba na wewe usinifanyie hivyo. Inanitesa sana.” “Nipo siku za hatari Jerry! Nikishika mimba!” “Atakuwa mtoto wetu. Usiogope.” Tuma hakuamini kwamba yupo tayari mpaka kuzaa naye wakati anawatoto tayari!
“Kweli Jerry?! Na wanao?” “Ni kama sina watoto, Tuma. Acha tupate wetututakaowalea kwa misingi sahihi. Nakupenda Tuma, na sitakubadilikia. Ila kama una..” Akamrukia haraka sana kabla hajamaliza. “Nani hataki matoto kama ya mama J?”Akajiambia akimng’angania.
Akamrudisha chini na kuromance kama kujirudisha kwenye mudi, maana mzee alishanywea. Tuma akaona amsaidie. Na hivi alijaliwa utundu wa kitandani. Alijua kutumia chochote kuongeza raha ya mapenzi, ndio maana Mbaki alikuwa akienda, na kujikuta anarudi kwa Tuma.
Akapenyeza mkono, akaanza kumchua huku akichezea kengele zake. Zile kokwa alijua kuzipikicha mpaka akamuona Jerry mzuka unapanda. Akaona haitoshi.
Mtoto wa kike akapenya katikati yake mwenzie akiwa amemlalia, Jerry hakujua anataka kufanya nini, ila akashangaa imeingizwa mdomoni ikiwa ilishaanza kulowa na alishamuingizia yeye mwenyewe! Hakutegemea. “Kwamba hana kinyaa kabisa!”Alishangazwa Jerry lakini akifurahia midomo ya moto inavyomnyonya huku mikono ikiendelea kumchezea mpaka akajilaza chali kumpa uhuru.
Bwana Tuma alijua kunyonya, nusura amkojoze ila haraka sana akamlaza na kuingia kama aliyekuwa amekusudia amwagie ndani. Akiwa anaendelea akaona anamkumbatia vizuri kama anayetaka kuweka kumbukumbu kwenye hilo hitimisho. Akarudia midomo yake na kujilaza vizuri juu yake. Hakuchukua muda akapiga bao akiwa amemkumbatia vizuri. Akamaliza na kubaki amemlalia.
“Asante Tuma. Nilikuwa nina hamu ya kuja kufanya mapenzi ya namna hii! Hamna jinsi nikaeleza furaha yangu. Halafu kweli upo siku za hatari. Una joto kali!” Tuma akacheka na kumkiss akiwa bado amemlalia anampapasa mgongoni taratibu.
“Asante Tuma na samahani swala la kutolea nje! Aisee linanikera! Kwanza ilikuwa ikitumiwa kama adhabu kwangu. Na wakati mwingine niliambiwa amechoka, hataki kurudia kuoga, kwamba niingie na nitolee nje ili alale. Nilikuwa mara nyingi naona ni bora niache tu. Na alipogundua sipendi, ndio akaitumia kama fimbo.” Tuma akashangaa sana ila hakuchangia.
“Ndio maana kwako naomba tutafute njia nyingine isiwe hiyo.” “Sawa. Ila jua na mimi nimefurahia kila kitu ulichonifanyia. Asante.” Wakachezeana hapo lakini si kwa kufanya mapenzi ila tu kupapasana. Ndipo wakahamia kula na kurudi kitandani.
~~~~~~~~~~~
Giza lilishatanda nje huku ndani ya chumba kukiwa na utulivu uliobeba hisia nzito za mapenzi. Walijilaza kitandani, wakitazamana kwa macho yaliyojaa upendo na tamanio la kuwa pamoja milele. Hakuna aliyesema mengi, lakini mioyo yao ilikuwa ikizungumza kwa lugha ambayo wao pekee waliielewa.
Wakiwa wamejilaza, wamegeukiana, Jerry akamshika mkono wake kwa upole na kuubusu taratibu, jambo lililomfanya atabasamu kwa aibu ya kimahaba. Wakakaribiana zaidi, kila mmoja akihisi joto la mwenzake likiondoa hofu na upweke waliokuwa nao kwa muda mrefu. Busu zao zilikuwa za polepole na zenye hisia, kana kwamba walikuwa wakiahidiana mapenzi yasiyo na mwisho.
Kadiri usiku ulivyoendelea, walijisitiri ndani ya kumbatio la upendo na mahaba. Waligundua uzuri wa kusikilizana, kugusana kwa upole, na kupeana muda wa kuelewana kimwili na kihisia. Kila mmoja alijitahidi kumfurahisha mwenzake, na hilo lilifanya ukaribu wao kuwa wa kipekee zaidi.
Baada ya muda, akamvutia Tuma kifuani, na kumkumbatia vizuri, akijua amekuwa na siku ndefu, anastahili kupumzika. Akaendelea kumpapasa taratibu akikusudia kumfanya alale. Kabla hajapotelea usingizini, akamnong’oneza kwa sauti ya chini, “Leo nimehisi kupendwa kwa namna ambayo sijawahi kuhisi kabla.” Naye akamkumbatia zaidi, akijua kuwa usiku huo ulikuwa mwanzo wa mapenzi yatakayodumu milele.
Na hivi kulikuwa na kiubaridi, harufu nzuri, anampapasa. Na uchovu wa siku nzima, hakupitisha muda, akalala.
~~~~~~~~~~~
Aliamka Tuma wa kwanza maana alishazoea kuamka mapema. Akaenda bafuni kuoga. Akiwa bafuni Jerry akamfuata. “Nilikuwa nafanya kimyakimya nisikuamshe! Pole.” “Hamna neno. Najua umezoea kudamka.” Akashangaa anatumia choo na kumfuata bafuni. Wakati akijisugua na yeye akasimama kwenye shower.
Baada ya kujilowesha, na yeye akajipaka sabuni akimpisha ajisuuze. Kisha akamaliza na kurudi majini ambako Tuma alikuwa akichezea tu maji. Maji mazuri ya vuguvugu, akajisogeza na yeye wakawa wapo ndani ya maji pamoja.
Tuma mtoto wa kike akapiga magoti mbele yake na kuanza kumnyonya huku akimchezea kengele zaka. Bwana Jerry alikuwa akisikia raha ya ajabu! Na hivi alikuwa likizo ya mapenzi kwa muda mrefu ndani ya ndoa yake! Kila kitu kwake ilikuwa muujiza.
~~~~~~~~~~~
Sasa akakutana na Tuma aliyehitimu Chuo Kikuu alichojifunza mengi kutoka kwa warembo wa kila kona ya Tanzania. Kabla hajatolewa bikra yake na Mbaki, Tuma alishafudhu vipengele vingi sana vya shule ya mapenzi waliyokuwa wakijifunza kishabiki huko hosteli. Kila mjuzi alikuwa akilitoa lake na kufundishana kwa mbwembe zote. Tuma akajifunza bila kuzembea, akafudhu kwenye fani yake na mapenzi juu.
Akawa mtaalamu wa mapenzi utafikiri alichezwa unyago na mwali aliyefundwa. Mtaalamu wa mdomo aliyebobea. Akikuamulia, lazima uombe poo.
Mbaki alimjua. Alikuwa akimganda kama kupe, anataka amshike wakati wote. Tamaa ndizo zilizokuwa zikimponza Mbaki. Kutaka kuonja kila sketi. Lakini kila alipokuwa akionja, alibaki kujilaumu na kurudi kushikwa na Tuma, mpaka 40 zake zilipofika, ndipo amebakia akisubiria Tuma amrudie.
~~~~~~~~~~~
Sasa na hivi anamaslahi ya mdogo wake. Ashajua atatambulishwa mpaka kwa JJ aliyesikia habari zake kuwa akikufahamu shida zako zote zimeisha! Akajiambia na mdogo wake ataponea hapohapoa. Akampania huyo Jerry na kujiapia atamfanya zuzu wake. Amfuate kama nzi kwenye asali.
~~~~~~~~~~~
Alimnyonya hapo bafuni, akamkojoza bila kutegemea. “Tuma wewe mtoto!” Akacheka kwa aibu. “Nakupenda Jerry. Usije nigeuka.” “Hakika siwezi. Kwanza sithubu! Kwa nini!?” “Mimi sijui! Lakini nakuomba, tubakie tu sisi wawili. Iliniumiza sana kwa Mbaki kuona nilikuwa nikipita anakopitisha wanawake wengine, mimi sijui! Na sijui kama hao wanawake ni wazima au la! Iliniuma sana.”
“Kwangu haitatokea Tuma. Na nakuomba hili kama nilivyomuomba Sandra. Najitunza si kwa ajili ya mtu mwingine, ila mimi mwenyewe kwanza, kisha wewe. Najiheshimu halafu na mimi ninakinyaa mpaka unanishangaza! Sikutegemea uendelee hapa wakati nikipiga bao! Hajawahi nitokea Tuma! Nilijua utanimalizia kwa mkono au utoe mdomo uniache nikiteseka.” Tuma akacheka.
“Mwenzio sina kinyaa. Halafu nataka na wewe ufurahie. Nilipenda romance ya jana. Nilipenda sana. Kuna jinsi ulininyonya ukinichezea! Halafu ukawa unanikamua kwa mdomo wakati napiga bao! Hakika nilipenda Jerry! Ilikuwa mpya kwangu.” Basi Jerry bichwa likazidi kuwa kubwa. Na hivi huko alikotoka alikuwa akionekana ghasia! Zikaanza kissing hapo bafuni, wakahamia kitandani. Hiyo jumapili wakaifanya kama fungate, chakula wanaletewa ndani.
~~~~~~~~~~~
Walipitiwa usingizi wa mchana, wakaamka jioni. Wakabaki wanabembelezana kitandani. “Nikikuomba na kesho tupumzike, ni sawa?” Tuma akacheka akigeuka. “Mama J atazidiwa pale.” “Atajipanga. Kwani mara ya mwisho kuchukua likizo wewe ilikuwa lini?” “Aisee nilikuwa hata sikumbuki maswala ya likizo!” “Tuma!”
“Nakwambia kweli. Na hivi kwetu hapana raha kwenda. Na mama J alikuja niongezea mshahara, nikafanya kamchezo kakuwa nikimuita mama huku mjini kama kumpumzisha. Kwa hiyo nikawa nikienda kazini nikirudi nikimkuta ndio mapumziko yangu. Roho nyepesi. Ikawa inamrahisishia mama J kuzurula atakavyo.”
“Turudi nyuma kidogo. Kwa nini nyumbani kwenu hapana raha ya kwenda?” “Nilikwambia aina ya ndoa ya wazazi wangu. Baba anakuwa kama mfamle mwenye wake watatu. Yaani yeye ni kilabuni kunywa pombe, kuanzia asubuhi mpaka usiku. Kila mwanamke anakuwa na kwake na watoto wake. Anahangaika yeye mwenyewe kutunza watoto.” “Tuma!” Akashangaa sana.
“Nakwambia ukweli! Sasa kwa sababu mama yeye alichelewa kuzaa, na akawa akizika watoto, nyumba yake au mji wake ukawa ukiwa. Akawa anaonekana anamkosi. Hata heshima hamna. Wenzie ni kama waliungana. Na watoto wao hivyohivyo. Wako kitu kimoja, kasoro sisi tu. Yaani mimi na Eli.” “Wao wana watoto wangapi?”
“Mke mkubwa alizaa 7, wa mwisho yeye sita. Mama ndio ameishia sisi wawili.” “Baba mmoja?!” Huyohuyo mzee mmoja. Anakazi ya kuzungukia miji ya wake zake usiku tu. Kuja kumuona kwetu ni mara chache sana. Kwa hiyo mama amekuwa ni kama aliyerudi kwao kama alivyomsikia Eli.”
“Ndugu wa upande wa mama, kina mjomba, ndio wako karibu na mama sana kumsaidia. Baba yao, yaani babu alisomesha watoto wa kiume tu, akisema wakike wataolewa wataenda kuendeleza ukoo mwingine, kwa hiyo hakuwasomesha kina mama. Ndio maana kina mjomba wao angalau wanamaisha mazuri.”
“Ila Eli yeye akifunga shule kabla hajaanza mambo yake ya tuition huwa anakwenda kumuona mama. Anakaa naye kwa muda, kisha anarudi. Mimi huwa wananikera na kuniumiza tu. Naona ni bora mama awe anakuja huku. Huwa naona kama wanamuonea! Halafu baba naye!” Akawa kama anayejaribu jinsi ya kumuelezea baba yake.
“Kwanza kwa mila zetu si kama vile unavyomuona baba J, anavyokumbatiana na wanae akiwabusu hadharani kila wakati. Kwetu baba ni mtu wa kuheshimiwa sana, hata kumfikia ni shida! Sasa huwa naona kama ni mama tu, bora aje mjini, apumzike, na awe na mwanae huyo Eli. Amtumikie kidogo, mambo yaishe.” Jerry akacheka.
“Kwamba bado hajakuwa?” “Hata kidogo. Mpaka nguo anamfulia. Atakuwa akipika hapo akitaka ale kila wakati. Anakuwa na kazi ya kumbembeleza Eli kama mtoto mdogo!” “Unga wake mwenyewe?” “Kumbe unakumbuka!” Wakaanza kucheka.
“Haji mikono mitupu. Anakuja amejifungasha kwelikweli! Mpe tu jiko, hana neno. Atajipikilisha hapo, mpaka anaondoka. Na utamuona jinsi anavyofurahia akiwa na sisi huku! Anajawa amani na furaha! Maombi akitubariki kila siku usiku kabla hajalala. Ndio maana najikuta sina sababu ya kurudi kijijini, ni bora yeye aje.” “Nimeelewa.”
“Na ndio maana nachukia pombe, Jerry. Naichukia sana. Nilikuwa nikimwambia mama J, kadiri siku zinavyokwenda, mpaka najishangaa ni kwa nini nilimkubali Mbaki! Hakika najiuliza ilikuwaje?” “Au pesa? Ulitaka msaada?” “Inawezekana. Ila na yeye mbali na ulevi na huo umalaya, ni mtu mzuri sana. Mwema.”
“Ila usitegemee eti ataleta zawadi kama hivyo wewe! Hapana. Ila pesa. Hizo anajua kutoa bila kulalamika, hataki kukuona unashida. Lakini si muda wa kwenda kuanza kukununulia vitu. Kwa hiyo ndio mambo ya kwetu. Mtu mlevi na malaya! Hapana Jerry. Naona kama ananirudisha kwenye ndoa za mitala kama wazazi wangu.”
“Mtu anakuwa na ndoa jina tu, mume haonekaniki! Anakuja kwako akiwa na haja. Akimaliza haja zake anahamia kwa mwingine! Hakujali wewe kama wewe!” “Yaani mwanamke anakuwa ni kama chombo cha starehe tu.” “Naona umenielewa vizuri.” “Hapo kweli hakuna ndoa. Sasa hapa usiogope. Hutakuwa na ndoa ya aina hiyo.” Tuma akakaa kabisa.
“Kwamba utanioa Jerry!?” “Kwa asilimia 100, na ndoa ya kanisani.” Tuma alifurahi, akamrukia na kuanza kumbusu kila mahali Jerry akicheka sana. “Unanitekenya Tuma!” Hakuacha. Akaendelea kumbusu tena na tena, siku ikazidi kupendeza.
~~~~~~~~~~~
“Mimi naona kweli na kesho tupumzike.” Jerry hana mbavu. “Ndoa hiyo?” “Acha mchezo kabisa. Nilipokonywa tonge mdomoni!” “Niombee uzima tu. Sitakupotezea muda, na sitakutapeli. Nimetokea kukupenda Tuma! Naona mioyo yetu imefungamanishwa.” Tayari Tuma akapeleka mkono kwenye pensi nyepesi aliyokuwa amevaa, akaanza kumchua akimkiss. Jerry alikuwa akiona raha! Mapenzi hayo hakuwa ameyapata. Tuma alikuwa akimchezea, akabaki akimfuata hapo mpaka chooni.
Taka Kwako, Mali Kwa Mwenzio
Huku kwa Jeremi akaamua kupeleka yeye mwenyewe sanduku siku hiyo ya jumapili jioni. Anafika kwa Sandra naye akawa anaingia. “Karibu ndani.” Jeremi akahisi hajamsikia vizuri. “Umesema nini!?” “Karibu ndani.” Akamtizama kwa muda kisha akaona afupishe habari. “Nimeleta mzigo nimepewa na Jerry. Ni vitu vya watoto.” “Ndio hata ndani usiingie!” Kwa asili Sandra hakuwa mwema wa kubembeleza. Jeremi akabaki akimtizama na uso wa maswali.
Sandra akagundua anajidhalilisha. “Mbona Jerry simpati kwa simu?” “Wapo mapumzikoni, hapatikaniki kwa simu.” Akamchanganya Sandra kwa haraka sana. “Unamaanisha nini unaposema wapo mapumzikoni?” “Namaanisha kwa sasa huwezimpata.” Jeremi akamjibu akimtizama bila kupepesa macho.
“Kuna shida gani?” Jeremi akauliza akihisi labda ni watoto. “Kuna madeni tulikopa, sasa sasahivi naona nadaiwa peke yangu, ndio nilikuwa nikimtafuta.” “Mlikopa wewe na yeye kama mke na mume?” “Kama kampuni.” Jeremi akakunja sura kama ambaye hajamuelewa.
“Kampuni gani tena?!” Akamuuliza akimshangaa kabisa na kuongeza. “Maana kwa jinsi nilivyosikia ni kama ulidai ile kampuni ni yako, na Jerry alikuwa mfanyakazi tu! Tena ambaye alikuwa mzigo! Kwa maana nyingine hakuwa hata akihusika kwenye mambo ya msingi na maana. Sasa anahusika vipi kwenye mambo yako ya kampuni!?” “Si na yeye alikuwepo!” Akajibu kwa jazba.
“Subiri kwanza Sandra. Maana na mimi nina kampuni na nimeajiri watu. Siwezi nikamfukuza mfanyakazi wangu kazi, halafu baadaye nimfuate kwa madai ya kampuni! Wewe mwenyewe unaona inaleta maana!” “Lakini yeye si alikuwa mume wangu!” Jeremi akamtizama kwa muda akaona anataka kumchezea akili.
“Kwa chochote unachotaka kwa Jerry, nashauri pitia kwa yule mwanasheria mliyemtumia kwenye talaka yenu, na si vinginevyo.” “Kwamba wewe huwezi mwambia kama namtafuta, anipigie!?” “Sitaweza kwa sababu kwanza kama nilivyokwambia, wapo mapumzikoni. Amezima simu. Kwa sasa, HAKUNA anayeweza mpata Jerry kwa simu. Na pili, sitaweza kumfikishia ujumbe wowote sababu HAYANIHUSU na wewe humuhusu tena Jerry. Uwe na usiku mwema.”
“Kwamba nyinyi mmesahau kama Jerry amezaa na mimi!?” “Alikusaidia kusukuma leba?” Akamfanyia kusudi kumuuliza kejeli yake aliyowajibu siku ya talaka. Sandra hakutegemea, asijue habari zake hazikuishia kwenye kile chumba tu. JJ anazo, Jeremi anazo kama wake zao tu. Tena si kwa kusimuliwa. JJ alimtumia Jeremi ile rikodi aliyorikodiwa na wakili wake.
“Hata mfanye nini au mseme nini, hii ni damu yenu. Hawa watoto ni wa Jerry.” “Hayo umeyagundua lini?” “Kila mtu anajua.” “Basi wewe umejua kwa kuchelewa sana. Lakini, kama una shida yeyote na Jerry, madai yeyote yale, nashauri mtumie yule wakili. Zungumza naye, yeye atajua jinsi ya kufikia muafaka. Vinginevyo hutafanikiwa Sandra.”
“Wewe si mke wa Jerry. Watoto ambao unadai ni damu yetu, umewafundishaundugu wa kweli upo upande wa familia yako tu na SI sisi. Ndio maana hawana heshimana yeyote yule kwenye familia yetu, kwakuwa hawatutambui. Na wewe umelisimamiahilo vizuri sana kuhakikisha wanatudharau sisi mpaka baba yao. “Hivyo basi, kwa lolote hata juu yao, wasiliana na wakili. Usiku mwema.” Ilikuwa ngumu kumeza, maana Sandra hakutegemea.
Hao wanaume watatu walikuwa wakimya sana kama watoto waliochelewa kuzungumza, bora JJ. Hakukumbuka siku anakuwa na mazungumzo marefu hivyo na huyo Jeremi, yaani siku hiyo ikawa bubu kasema. Naye ikawa kama aliyempania. Alizungumza bila ya kuuma maneno na kuondoka bila ya kugeuka nyuma.
~~~~~~~~~~~
Leo anamtafutaje wakili aliyemwambia kwanza kampuni si ya Jerry! Alichokisema Jeremi alikuwa sahihi kabisa. Alishamkashifu Jerry kuwa alikuwa mfanyakazi, sasa leo anamdaije deni? Maana aliondoka kwake akiwa amempokonya kila kitu!
Watoto ndio kabisa! Asingethubutu kuwarudisha tena kwenye mazungumzo yake na huyo wakili! Alishaseka Jerry atafanya wanae wajinga na wavivu kama yeye. Hawanawatakalojifunza kwake. Huku akisistiza ni watoto wake, hakuna aliyemsaidia kusukuma leba. Akalimeza na kujiambia atapambana mbele ya safari, hajawahi shindwa. Hapo alikuwa ametoka kumuona baba yake hospitalini. Mzee hali mbaya, amepooza upande mzima wa kushoto, hana hali!
~~~~~~~~~~~
Inaendelea…