Ron
akaenda kumgongea huko alipojifungia chooni. “Njoo ukae huku na mimi.” Akatoka
akilia. “Nilikosa
Ron. Na mimi nakiri nilikosa, ila nimebadilika. Sina jinsi nyingine ya
kuwaaminisha ila kuishi kama ninavyowaambia, kuwa nimebadilika.” “Mimi nakuamini Mina. Naomba utulie
ili uende kwa Andy ukiwa umetulia. Nilikuwa nikizungumza naye, amesihi
chochote kisitokee ili leo mfunge ndoa. Andy anakupenda Mina.”
“Na mimi nampenda.
Nakuahidi nitatulia, Ron. Na wewe niombee.”
“Nitafanya hivyo. Njoo basi hapa utulie wakati tunasubiria kuja kuchukuliwa.”
Ron akakaa naye hapo akianza kumchokoza kwa hili na lile akimtania mpaka
akaanza kucheka. Mina asiyejua kuweka kinyongo moyoni akatulia kabisa.
Gari
zikaja kuwachukua kuelekea katika kanisa hilo kubwa mjini Nairobi. Mina akiwa
amependeza haswa.
Harusi
ya Andy na Mina ikafungwa kwenye kanisa hilo na huyo askofu, kengele zikilia
kuashiria agano hilo takatifu kati ya Andy na Mina. Ilipendeza sana. Na
Andy akionekana na furaha, akiwa amezungukwa na watu anao wapenda wala
usingedhania kama kuna mtu anapungua hapo.
Hapakuwa
na mtu yeyote kutoka kwa Ruhinda, na Andy hakuonyesha hata kuna aliyepungua.
Alijawa furaha ya kukabidhiwa Mina, ungemuona usoni. Kila wakati
alirudia kumwambia Mina jinsi anavyompenda.
Ilifanyika
tafrija nzuri sana kwenye ukumbi wa harusi hapo hapo jijini, mapema sana. Saa
mbili kamili usiku sherehe nzima ikawa imekamilika. Mina akamuaga mama yake na
Ron, akielekea mapumzikoni na Andy.
Maisha Mapya ya Mina & Andy.
Njia nzima wakielekea hotelini, Andy alikuwa akimbusu
Mina. Mina mwenyewe alijua Andy amefurahia. Hawakwenda mbali sana na
mji, walishushwa hapo na masanduku yao, mfanyakazi wa hoteli akawasaidia kubeba
mpaka chumbani kwao. Andy alishindwa kusubiri. Alipotoka tu yule mfanyakazi wa
hoteli na kuacha mizigo yake, akamsogelea Mina kwa haraka na kumtoa nguo kwa
haraka huku akimbusu kila mahali kwa uchu wote, Mina akicheka huku akisema,
“Unanitekenya Andy!” Mina alisikika akicheka kwa sauti mpaka ilipobadilika na
kuanza kugugumia, Andy akajua ameshika sehemu sahihi.
Akamfurahia Mina kwa mara ya kwanza, akaanza kuelewa
ni kwa nini huwa wanao muonja hawataki kumuachia. Mzuri kwa
kumtizama akiwa mtupu. Anawekeka kitandani kwa urahisi, mwepesi na anatoa
ushirikiano vilivyo.
Alimuhudumia mumewe usiku wao wa kwanza, Andy asiamini
kuwa ndio amemmiliki Mina mpaka kifo. Kukawa na hakuna kupumzika. Mina
alimpenda mumewe kitandani, asiamini kama ndio anaye maishani. Kila kitu
cha Andy alikifurahia. Na alipenda vile anavyopenda matiti yake. Hata wakiwa
wamepumzika, basi Andy alipenyeza mkono kifuani.
Watazungumza huku akichezea chuchu. Akizidiwa basi
atatulia hapo akiyanyonya hayo matiti kwa utulivu kama mtoto aliyekuwa
akitafuta faraja. Akagundua anakuwa mtulivu sana kwenye kifua chake, kama
aliyekosa mapenzi ya mama akiwa anakua. Akawa anamng’ang’ania Mina kwa upendo
kama anayemsihi asije kumuacha.
~~~~~~~~~~~~~~
“Mimi nakupenda Andy. Nataka tuwe wote mpaka kifo
changu.” Andy akacheka maana Mina aliongea tu wakiwa ndio wameingia hapo
chumbani. Akamgeukia vizuri. Mina akavua chupi mbele yake, akamvutia kwenye
kochi mpaka Andy akakaa, kisha akamkalia. Alikuwa amevaa gauni zuri sana
lililokuwa limempendeza.
Andy akapitisha
mikono kwa nyuma, akamtoa sidiria yakabaki matiti ndani ya gauni. Walitoka kula
nje kwenye mgahawa ambao Andy alimwambia waende akamtembeze kidogo, aone jiji
la Nairobi. Akamfanyia kama mtoto, akamtolea ziwa na kumuwekea mdomoni. Andy
alifurahi sana. Akalipokea na kuanza kulinyonya taratibu huku akimchezea
nywele. Akamuacha hapo kifuani mpaka Andy mwenyewe akatoa suruali mpaka
magotini akiwa hataki Mina atoe ziwa lake mdomoni. Na Mina alishamjua. Akiweka
ziwa mdomoni hataki amtoe mpaka atoe mwenyewe.
Alipotoa boxer yake, kwa furaka ya kunyonywa
ziwa wala hakuhitaji matayarisho mengine. Akawa ameshalainika, akajinyanyua na kujiingizia mwenyewe, na kurudi
kukaa vizuri. Akamuona anaweka ziwa vizuri mdomoni ili asishikilie, Mina akajua
hiyo mikono inapewa jukumu jingine.
Alihamishia mikono yote miwili kwenye kila tako la
Mina, akaminya kwa nguvu huku akimsukumia kwake, midomo ikimnyonya kwa hamu
yote. Andy aliiependa hiyo staili kwakuwa alikuwa akipata ziwa na kumshika
matako aliyokuwa akiyapenda sana. Mina alishamjulia, kwa staili hiyo huwa hajiwezi.
Hata dakika tano kuwa hamalizi. Akajua ameshafika kileleni kwa jinsi alivyokuwa
akimkamata matako kwa nguvu na anavyomnyonya. Mpaka akamaliza Mina akiwa
amemkalia tu akisaidia kwa kukatika taratibu huku akijinyanyua. Alimaliza,
mikono ikatoka kwenye matano na kurudi kiunoni ila midomo bado kwenye matiti
akivuta pumzi taratibu. Ziwa la Mina ni kitu cha mwisho kabisa kutoka
mdomoni kwa Andy.
Mina akatulia tu akamuacha mpaka aliporidhika.
Akamuona anahamia titi jingine. Akalinyonya taratibu huku amefunga macho
akivuta pumzi akijaribu kutulia mpaka akatulia kabisa. Akafungua macho na
kuachia ziwa. Mina akamkumbatia vizuri kwa kuweka kichwa chake katikati ya
matiti. “Nakupenda Mina.” Akasikia mikono ikimtembea nyuma.
“Kuna kitu nataka kukwambia. Ile tukaoge kwanza.”
Wakatoka hapo, kuelekea bafuni. Alipenda pia kumsafisha Mina. Basi Mina atacheka hapo akilalamika
anamtekenya.
Basi Andy akapiga magoti mbele yake, mikono kifuani
akaanza kumnyonya kama kitoto cha mbuzi kwa mama yake. Mina alikuwa akifurahia
akatamani asimalize lakini akasalimu amri.
Akamaliza ndipo Andy akasimama. “Asante Andy.” “Karibu.” Wakamaliza kuoga bila
mambo mengi, Mina akajua anataka kweli kwenda kuzungumza naye.
~~~~~~~~~~~~~~
Walifanya kila kitu na kujiweka kitandani. Mina
alipoona hajiwekei ziwa mdomoni akajua kuna jambo anataka kulisema kwake.
Akamvuta mkono na kuuweka kwenye titi lake. Andy akacheka na kuingiza mkono
ndani ya nguo hiyo nyepesi ya kulalia. “Umenizoesha vibaya Andy! Sasahivi sisikii raha hata nikiwa nimekaa mpaka uwe unanichezea matiti.” “Sikujua kama unafurahia hivyo!” “Ni ile
hisia ninayoona usoni mwako wakati ukiyashika au ukiyanyonya. Nakuwa
nakuona kama unanihitaji mimi. Nasikia raha. Usiponishika naona kama
mawazo yako hayapo kwangu!”
“Wakati mwingine nahofia kukuchosha!” “Mimi nataka uwe
unanishika. Nakupenda Andy.” “Kwa hiyo hata ninavyolala nikiwa na
kunyonya haikukeri?” “Wewe huoni ninavyolala haraka?” “Mimi nilijua
unachoka!” “Sio kwako. Wewe ukinifanyia chochote nafurahia sana.” “Acha
nikwambie ukweli Mina.” Akaanza akionyesha anataka kufunguka zaidi, ila
akaendelea kumchezea chuchu.
“Mpaka leo, mimi sijajua ni kwa nini ni mimi peke
yangu ndio wazazi walinichagua kunileta huku nchi ya mbali na nyumbani,
tena bweni! Halafu ilivyokuwa mbaya zaidi, hawakuwa wakija kuniona.
Nakumbuka muhula wa kwanza tu kuwa huku, niliporudi nyumbani, nilimuomba
sana mama kurudi kusoma nyumbani kama kina Paulina. Nililia mpaka machozi,
lakini nikarudishwa huku. Ile kitu ikaniuma sana.”
“Ikawa kuugua kwangu na furaha yangu ni huyu askofu
wakati huo alikuwa padri tu. Ikaendelea hivyo mpaka nikaamini hakuna anayenihitaji.”
“Na ndugu zako je?” “Utashangaa sana Mina. Sijui ilikuaje, ni kama tukatofautiana
nao kabisa. Hapakuwa na mahusiano ndio maana nilirudi nchini ili kujaribu
kujenga, napo imekua ngumu. Nikajihisi ni kama mtu ambaye sio rahisi kuhitajika
na watu.”
“Ila nimekua nikiwa na uhitaji wa upendo wa
mama kwa kuwa kwa upande wa baba, ni kama yule askofu aliziba pengo. Nikatamani
kuja kupata mwanamke atakayenipa mapenzi ya kweli, angalau nipate mapenzi
ya mwanamke.” “Mimi nakupenda Andy.” Mina aliongea vizuri na kwa upendo.
“Basi ndio ujue ni kwa nini sitosheki na wewe.
Unanipa faraja niliyokuwa nikiitafuta kutoka mtoto. Nikiwa kifuani kwako natulia mpaka nafsi!” “Sasa hivi ndio naelewa
kwa nini unapenda ku..” “Yanyonya matiti yako?” Mina akatingisha kichwa
kukubali huku wakicheka. “Na umesema sikukeri?” “Hata kidogo. Mimi ni wako
Andy. Na ujue sitakuacha wala kukusukumia kwa mwengine. Utabaki na mimi
hata iweje. Mimi nitakung’ang’ania tu. Ila na wewe USIBADILIKE.” “Hata
iweje. Kwanza mimi sina udhaifu na wanawake. Nimekuahidi kuwa mumeo,
ujue utabakia kuwa wangu na peke yako daima.”
“Na mimi nitakua mwaminifu Andy.” Akamtoa nguo
kwa haraka, akahamia chini. Baada ya kumnyonya mpaka akalainika kabisa, akarudi
kifuani, akamlalia juu, ziwa mdomoni, mkono mmoja kwenye tako, Andy akaendeleza
penzi bila haraka huku akinyonya titi, Mina akimpapasa mgongoni taratibu huku akilainisha kiuno. Kila Andy alipoingia alimbana uume wake ili tu afurahishe. Wakafanya mapenzi na usiku
huo mpaka wakaridhika.
Wakarudi kuoga. Mina akarudi kulala akiwa amempa
mgongo. Akamsikia akimpapasa matakoni. Mara aweke mkono hivi, mara vile
ilimradi kumshika tu kama ambaye bado haamini kama mali ni yake. Akatulia tu
akimuachia uhuru wote. Alipitisha vidole mbele na nyuma akimpapasa, alipoona
mkono kifuani, akajua anatafuta ziwa ajipembeleze alale. Akalipata.
Akampapasa kwa muda, mwishoe akaona amgeukie tu.
“Asante.” Akalidaka na kuweka mdomoni. Akaanza kunyonya, Mina akapotelea
usingizini akiwa amemuachia matiti yote akihangaika nayo. Alishampigisha mabao
ya kumtosha, mwili ukasalimu amri. Akalala kama kichanga huku akinyonywa
matiti. Usiku huo ukaisha Andy mkimya akiwa amejitahidi kujifungua moyo wake
kwa mkewe.
Nchini.
Baada ya siku nne, wakarudi Dar kwenye apartment ya Andy, Mina akiwa amejawa furaha na kuridhika. Ni
Mina. Hana makuu. Anayemtaka ni Andy aliyemuwekea heshima kubwa vile,
alikuwa na furaha sana. “Karibu Mina. Hapa ndio nyumbani.” Akamzungusha kwenye apartment hiyo ya vyumba viwili tu, kama mgeni! Lakini Mina
akawa amejawa furaha kama amekabidhiwa ulimwengu mzima.
Hapo napo Mina akatoa sidiria akiwa ameshajua udhaifu
wa mumewe. Andy akacheka wakati akimwangali anavyoitoa hiyo sidiria taratibu.
Andy akamsogelea na kusimama nyuma yake. Akaingiza mkono chini ya gauni mpaka
juu kabisa. Akaanza kupenyeza vidole vyake ndani ya chupi kwa mbele huku
akimbusu chingoni, mkono mmoja kwenye titi.
Akapanua miguu ili mumewe amfikie vizuri. Mkono mzima
wa Andy ukawa ndani ya chupi kwa mbele, wote wamegeukia mbele. Akaanza
kumchezea mpaka alipojiridhisha na ulaini, akamtoa chupi na kumuweka kitandani.
Penzi zito la kukaribishwa nyumbani likaanza. Kila waliposogea, ikapatikana
sababu yakuanza mapenzi upya.
Jikoni
akampatia staili ya kuinama,
kisha mtoto wa kike anajikunja, mpaka mkono mmoja anafikia kengele zake. Basi Andy alikuwa akitamani kupiga yowe! Mchezo unaendelea huku mkewe akimchezea kengele zake.
Hapo atasugua meno na kupiga bao kwa haraka sana.
Bafuni nako
ikawa pia uwanja wao wa mapenzi. Sebuleni wakiwa wamekaa
wakiangalia luninga, basi lazima kujisahau na kuhamia kwenye ulimwengu wao wa huba. Kila mahali, kila wakati, yalifanywa mapenzi
ya nguvu na kuridhishana. Uzuri Mina mwenyewe aliupenda mchezo na kuujulia vilivyo. Hakuwa mvivu nao tokea
anapevuka. Sasa kuja kuhalalishiwa dozi, hakujivunga, na Andy alimuona
jinsi anavyofurahia bila kulalamika.
~~~~~~~~~~~~~~
Mina alikuwa akiamshwa na mikono ya Andy kwenye
matiti. Basi hapo yatafanywa mapenzi ya asubuhi ya nguvu, ndipo Mina
atakimbilia jikoni kutengeneza kifungua kinywa kwa Andy kabla ya kwenda
kazini wakati Andy akijiandaa. Napo hapo akitoka na kumkuta Mina akiandaa
kifungua kinywa, kama hataomba penzi la kuagana, endapo anao muda, basi ujue
Mina ataagwa kwa mabusu marefu tu akichezewa matiti.
Mwezi huo wa kwanza hawakumtembelea mtu.
Ilikuwa Andy kazini, nyumbani kwa Mina. Mina naye hata hakumtafuta mtu.
Akatulia nyumbani akimsubiria Andy arudi kutoka kazini alee ndoa.
Mazoezi ya Andy yakawa ni mapenzi. Hakuna
gym tena. Hatosheki na Mina. Chakula cha mchana kama hajabanwa sana,
basi atakimbilia nyumbani kwa Mina. Apate penzi zito, ndipo ale
na kurudi kazini.
Kwenye kochi kukawa uwanja mzuri sana wa mapenzi kwa
wawili hao. Jikoni pia ndio usiseme. Kaunta za jikoni, Andy alizitendea haki na
mkewe. Akimkuta amesimama hapo. Awe anaosha vyombo au kukata kitu basi ataanza
kumtoa nguo za chini, nakujikuta zoezi linabadilika. Mikono itatembea huko
chini. Mbele nyuma kwenye matako huku akimnyonya shingoni. Akishamsikia anamtoa
sidiria, basi anajua anataka matiti. Hapo Mina atageuka na kumuachia kifua, penzi litaanza.
Mina alikuwa akifurahia sana aina hiyo ya mapenzi ya kushitukizwa.
Wakati wote utasikia kicheko cha Mina akifurahia anachofanyiwa na mumewe.
Akiingia tu ndani, Mina alijua ataanza na mabusu kisha
kumtoa nguo ya ndani, hapo mchezo utaendelea. Usingemkuta Mina mchafu wakati
wowote kwani Andy hakuwa akitabirika. Na hivi nyumbani kwao ilikuwa karibu na
kazini, muda na wakati wowote alimshitukiza Mina nyumbani.
Na hivi hakuwa akihitaji kugonga, basi Mina
anaweza kuwa amejilaza kitandani, akishasikia mikono ndani ikimtoa nguo ya
ndani, bila kufungua macho atacheka akijua ni mume wake amerudi kufuata
penzi. Atajigeuza hapo kumpa mumewe uhuru wote wa kupita atakapo, wakiridhishana,
ndipo Andy atarudi kazini.
Amani na furaha vikatawala akisubiria chuo cha IFM
kifungue, aanze chuo kama walivyoahidi nyumbani kwao kwamba ndoa haitamzuia
kusoma.
Mina Kurudi Nyumbani Kutembea.
Mwezi wa tatu ndipo wakaanza angalau kutoka na kwenda
kanisani na kutembelea ndugu wa Mina. Mama na kaka yake. Walitoka kanisa la RC
walilolichagua wao wawili kuwa ndipo watakapokuwa wakienda wao na watoto wao,
ndipo wakaelekea nyumbani kwa kina Mina. Walikuwa wakiwategemea.
Kwa hakika Mina alikuwa amebadilika. Sio Mina yule
mtoto. Alirudi nyumbani kama mke wa Andy. Amevaa vizuri na akapendeza.
Walifurahi sana kumuona Mina. Zaidi mama yake ambaye waliachana vibaya. Ukimya
wao akajua utabiri wa Ron umetimia. Amempoteza mwanae. Sasa kurudi
nyumbani, akafurahia sana.
“Umependeza Mina mwanangu! Wote wawili mmependeza.
Hongereni.” Andy na Mina wakacheka wakiwa ndio wameingia tu. Wazi walionekana
wapo kwenye wakati mzuri. “Asante mama.” Andy akaitika, Mina akicheka tu.
Akamshika mama yake mkono wakaelekea jikoni baada ya Andy kukaa. Wakawasikia wakicheka
huko jikoni.
“Amemfurahia huyo mtoto?” Mina akashangaa sana. “Mtoto
gani!?” Mama yake akajua Mina hajui kama ni mjamzito. “We Mina! Kwani
siku zako umepata mara ya mwisho lini?” Mina akatulia. Hakukumbuka hata lini
alivaa pedi akiwa na Andy.
“Mama!” “Ndio hivyo.” Mina akajishika tumbo. “Sasa
mbona umepoa tena? Ndio baraka zenyewe hizo!” “Mimi najiona kama sipo tayari
kuwa na watoto sasahivi! Tulikubaliana shule kwanza. Ikiisha angalau
nitafute hata kazi ndio yaje maswala ya watoto!” Mina akakosa raha kabisa.
“Yaani tulishakubaliana kabisa nirudi shule! Hapa
nasubiri tu chuo kifunguliwe!” “Sasa ndio ujue hiyo ni mipango ya Mungu,
huwezi kuikwepa.” “Nitafanyaje mama?!” “Zungumza na mwenzio kwanza.”
Mina akatoka hapo jikoni, Andy akamuona amebadilika sio kama
walivyoingia hapo. Akamshika mkono kwa upendo. “Vipi?” “Nipo tu sawa.” Andy
akabaki akimtizama kama Ron.
“Una nini wewe?!” “Niache Ron. Hayakuhusu.” Ron
akaanza kucheka kishabiki. “Mwenzio nimekuwa mkubwa, sitaki tena uchokozi
wako Ron!” Ikabidi tu wacheke.
Andy alipoona hali yake imebadilika hawakukaa sana,
walipokula tu akaaga. “Tutarudi tena wakati mwingine mama. Naona siku imekuwa
ndefu. Ngoja akapumzike. Naamini atakuwa sawa.” Mina alishapanda kwenye gari.
Andy akamuaga mama yake na Ron wakaondoka.
Njiani Mina akawa kimya sio kawaida yake. Andy
akamvuta mkono njiani na kuubusu. “Nakupenda Mina.” Andy akaongea kwa upendo.
Mina akamwangalia na kunyamaza.
Walifika nyumbani Andy akafungua mlango, Mina akataka
kupitiliza, Andy akamdaka mkono.
Akamkumbatia vizuri, akafunga mlango. Wakabaki
wamekumbatiana wakiwa wamesimama. “Kuna nini?” “Nataka kurudi shule, Andy!”
Mina akaongea kwa kulalamika. “Mbona ndio kinachofuata mpenzi wangu!” “Sasa
mbona hukuhakikisha hilo limetimia?” “Kivipi tena?! Mbona kila kitu kipo
tayari!” Andy hakuwa ameelewa. “Sasa nitasomaje nikikiwa na mtoto?” Andy
akatulia kwa sekunde kadhaa kama ambaye hajaelewa. Mina akajitoa pale na
kuelekea chumbani.
Pam&Mill
Hukuhitaji
kuambiwa kama maisha ya Pam yamebadilika. Kuanzia harufu mpaka mavazi. Na
vilibadilika kimyakimya mpaka kushangaza wenzie kazini na kubaki
kujiuliza ni mwanaume gani amempata! Hilo likazidi kuwa kero si kwa Lona
tu anayependa kushindana naye, ikawa sasa hata kwa Sandra bosi wake. Wivu
ukazidi kumuumiza.
Gari aliyokuwa akiindesha
Pam ilikuwa nzuri, ila haikuzidi ya Sandra ambayo ilikuwa kwanza ni ya
garama, kisha mpya. Lakini bado aliona la Pam ni bora zaidi. Akaanza
kumtafutia sababu, ilimradi tu. Ila sasa pakumpata Pam ikawa
ngumu. Mkimya. Hazungumzi yake wala ya watu.
Jerry naye kama aliyeapishwa,
hata mkewe hakumwambia mtu wa mwisho aliyekuwa akiwasiliana na Pam ni
Mill! Na hata Mill alipofika nchini hakumwambia na hakujua mpaka anaondoka.
~~~~~~~~~~~~~~
Mapenzi ya mbali
na ya kwenye simu yakaendelea. Mwishoe wakaona haitoshi. Wakaamua
Pam ajaribishe kuomba Visa ya kumfuata Mill nchini Marekani. Mill
akaandaa kila kitu. Akamjazia maombi mtandaoni akimuombea Visa ya kumtembelea.
Akayafanya yote na kumuandalia mpaka nauli. Kimya kimya tu, hawakutaka hata
Jerry ajue ili watu wa kazini wasijue. Lakini Mike na Kamila walijua.
Wakamsaidia
kujiandaa kwa interview ya ubalozini. Akiwa na kila kitu chake na
ushahidi wa kuaminisha anakwenda tu kutembea, atarudu
nchini kwake si kuvamia huko Marekani, lakini WAKAMNYIMA Visa. Haikuwa uchungu
tu kwa Pam, zaidi ikawa kwa Mill, aliyekuwa amechanganywa na Pam,
anahisi kuibiwa huku nchini.
Akamsaka baba
yake na kumuomba aandae mazingira ya kwenda kulipa mahari huko kijijini
aliko mama yake Pam. Mzee akalipokea kwa mikono miwili akifurahia kushuhudia
kijana wake mkubwa kuoa kabla hajaondoka duniani.
~~~~~~~~~~~~~~
Pam akamwambia
mama yake, wakaweka mipango na kaka yake. Kabla hapajapoa baada ya kukosa
Visa ili Pam asije akakata tamaa, Mill akarudi tena NCHINI na
safari hii ikabidi isiwe siri. Jerry na Sandra kama rafiki wa karibu wa
Mike na Mill ikabidi kuwashirikisha kwa nia njema kuwa anamchumbia
Pam, wanakaribishwa na wao.
Adui Wa Mtu Ni
Wa Karibu Yake.
Kwa makusudi,
Sandra akiwa amejawa wivu akatangaza kwenye kikao cha siku
inayofuata ofisini. Kwa hakika alizua ugomvi hapo. Wasichana wote watatu
wakamgeuka Pam, kwamba ameiba mwanaume wa Lona. Sio sawa. Akawaacha wakigombana
akarudi ofisini kwake akiwa amefurahia alichokitaka kimetimia.
Pam ni wale
wasichana waliojaliwa good personality, kama Nanaa wa Simulizi wa ‘Ni Wangu!’. Chochote anachoweka mwilini, anavutia
huwezi shindana naye. Ndio maumbile yake, alivyojaliwa na Mungu. Sasa
Sandra yeye mvaa vya hali ya juu, na bado hakuwa akimfikia. Wivu.
Lona akazidi kulalamika
akiumia kuwa hata siku ile alipokuja Mill pale na kutangaza kuwa yeye ni masikini
waliweka tu show na Pam. Kwamba walikubaliana wafanye hivyo mbele ya
watu kama kumtoa Lona kwenye picha. Maana kama ni kweli masikini, mbona
maisha ya Pam yamebadilika gafla? Inamaana pesa ipo na Pam amemzidi
mahesabu. Ugomvi.
~~~~~~~~~~~~~~
“Kwa nini umefanya hivyo Sandra?!”
Mumewe akamfuata ofisini na kumuuliza kwa kumshangaa sana. “Kwani ulitaka iwe siri
mpaka lini?” “Kulikuwa kuna ulazima gani wa wewe kusema? Was not your
story to begin with, so was not yours to tell!” “Hii kampuni ni yangu, na…”
“Oooh! Kumbe ni yako na si yetu?!” “Wewe unajua ninachomaanisha Jerry!
Acha kujidai kupaniki. Mimi ndio niliianzisha na misingi yake.
Sasa hivi tupo…” Jerry akatoka. Ila wala Sandra hakujali.
Alilolitaka limetimia.
Wote wajue na wao wamchukie Pam. Na alijua hao watatu watamsaidia
kuyafanya maisha ya Pam kuwa magumu mpaka aache kazi mwenyewe. Kumfukuza
aliona aibu kwa sababu ya mahusiano kati ya mumewe na Mill ambaye
sasa atakuwa mume wa Pam. Halafu kina Mike ambao anaheshimiana nao sana,
ndio hao sasa wanakua rasmi kina shemeji wa Pam. Inamaana wote wako upande wa
Pam. Akashindwa kumfukuza kazi bila sababu ya kueleweka.
Kuchumbiwa kwa
Pam
Aisee kupenda ni
kitu kingine. Mill alikusanya watu wake muhimu, akiwepo baba yake, Mike,
Kamila, Jerry, Sandra na baadhi ya wadogo zake mpaka milimali, Mlalo
kwenda kutoa mahari ndipo roho ikatulia. Ikafanyika sherehe ya KIMILA kama
anayekabidhiwa mke kabisa. Ikawa ni harusi ya kisambaa kabisa.
Mama Eric
alifurahi, angalau Pam amepata mwanaume wa kueleweka. Yaani ndani ya
muda mfupi mpaka wafahamiane, wawili hao wakawa wamefika umbali mkubwa sana.
Hilo likakaa sawa na kumfariji Pam kwamba hajakosea kwa Mill.
~~~~~~~~~~~~~~
Kazini kukawa na
fujo ila Pam ametulia kimya akisikiliza na kuangalia jinsi wanavyopaniki.
Maneno ya kejeli yakaongezeka. Na yeye akaongeza umakini wasije
mpatia sababu huku akiendelea na Mill wake.
Baada ya miezi
mingine sita baada ya kukosa Visa ya kwanza, Pam akarudi tena ubalozini
kuomba Visa tena. Na safari hiyo pia akakosa akiwa na ushahidi
wote wakueleweka. Ikazidi kumchanganya Mill.
“Itabidi sasa mimi nitafute uraia.
Tufunge ndoa kabisa ya kanisani kama ushahidi. Nianze kukuombea Green Card,
hapo hawatakuwa na sababu ya kukunyima.”
Ukasikika kama ni MPANGO mzuri lakini hata yeye Mill alijua ni safari ndefu
sana. Kutoka kuwa mwanafunzi mpaka aje apate uraia! Si mchezo.
~~~~~~~~~~~~~~
Aina ya Visa
aliyokuwa nayo Mill ilikuwa F1, ya mwanafunzi. Yeye mwenyewe hata kupata Green Card alishindwa. Ilikuwa ikisumbua sana. Masomo ya kwanza
aliyosoma na kuhitimu huko nchini Marekani, wazawa wengi walikuwa wakisoma.
Sheria ya kampuni kumuombea mfanyakazi mgeni, Green Card, au hata kibali
tu cha kazi, ilikuwa lazima aionyeshe serikali ya Marekani kuwa, amehangaika
kutafuta mfanyakazi mzawa. Akakosa ndipo sasa inabidi amuombee
MGENI. Kwa hiyo kwa njia ya kazini, kwa shahada alizosomea mwanzo, ilishindikana.
Anamtia moyo Pam
kuwa itawezekana kwa yeye kumtafutia Green Card wakati hata yeye mwenyewe anaishi na Visa ya
uwanafunzi iliyo na masharti kibao!
~~~~~~~~~~~~~~
Akaanza
kuhangaika. Hataki kumuacha Pam nchini Tanzania, yeye hawezi kurudi nchini.
Malengo yake yote, ramani yake nzima, ni kuishi nchini Marekani
alikojua atafanikiwa kwa haraka sana. Kazi ya kurudi nchini kwa Pam ikaendelea.
Hajulikani yupo Marekani au Tanzania. Anamtaka Pam kama aliyepagawa.
Akija nchini hataki mtu mwingine, ila mwili wa Pam tu. Ajifungie
naye mahali, mpaka muda ukiisha basi anaondoka nchini wanaendelea
na mapenzi ya kwenye simu.
~~~~~~~~~~~~~~
Mbali ya
Mapenzi, Uhalisia wa
Maisha UNAANZA kuchukua Sura Yake.
Inaendelea…
0 Comments:
Post a Comment