Naomi Simulizi |+1 205 767 8163 |naomisimulizi@gmail.com Love At First Sight - Sehemu ya 14. - Naomi Simulizi

Love At First Sight - Sehemu ya 14.

Jumatatu hiyo akaingia kazini kama kawaida na kuanza siku, asimwambie mtu kinachoendelea moyoni. Isivyo kawaida, akaona simu ya baba yake ikiingia mida hiyo ya asubuhi akapokea na kumsalimia kisha akatulia. “Nilitaka kujua unaendeleaje?” “Unamaanisha nini!?” Andy akauliza kwa mshangao kidogo. “Nataka kujua unaendeleaje kwa ujumla.” “Kama mnawasiwasi juu ya Mina, tafadhali mjulishe na mama na wengine pia, msiwe na wasiwasi. Yule binti sio tu hayupo kwenye maisha yenu tena, hata kwangu! Kwa hiyo hata mkimuona huko nje, tafadhalini sana, naomba mumuache kabisa na maisha yake, hausiki na kina Ruhinda tena.” Andy akasikika akizungumza kwa uchungu.

“Pole sana Andy. Lakini silo hilo nililokupigia. Nilitaka kukujulia hali.” “Leo ni jumatatu baba. Kila mtu anajua jumatatu zako jinsi zilivyo. Ni ngumu hata kumtafuta Paulina! Leo uje unitafute mimi ambaye hata jumamosi ni mpaka mimi ndio nikutafute kukusalimia! Tafadhali msinifanye mimi ni mjinga wa kiasi hicho!” Akajibu Andy. “Sikutaka kukuudhi. Nikutakie siku njema.” “Asante.” Akajibu Andy na kutulia akisubiri baba yake ndio akate simu. Mzee Ruhinda hakutaka mengi, akakata, na yeye akarudisha simu juu ya meza.

Kwa Mina.

Akiwa darasani ametulia, akaitwa kuwa ana mgeni. Mina akashangaa. Ilikuwa saa tano asubuhi. Akatoka, akamkuta mama Ruhinda ofisini kwa mwalimu. Kilikuwa chumba kidogo tu. Akashituka sana. “Mimi nilishamuacha mtoto wako. Muulize mwenyewe.” “Nilitaka tuzungumze.” “Hapana. Mimi sina chakujieleza tena. Jana nilikwambia ukweli wote ukasema mimi ni takataka. Kama umenifuata hapa ukijua ninasomeshwa na Andy, muulize huyu mwalimu. Ada analipa Ron, wala si Andy. Naomba muulize na atakuonyesha jinsi Ron anavyolipa.” Mina akatoka kwa haraka pale ofisini akiwa amepaniki.

Akarudi darasani, akachukua vitu vyake vyote, akaondoka kabisa pale chuoni. Ikabidi yule mwalimu ampigie simu Ron. Akamueleza, Ron naye ikabidi aende kuomba ruhusa kwa Andy.

~~~~~~~~~~~~~~

“Nitarudi muda si mrefu.” “Kwema?” Andy akauliza. Ron akavuta pumzi, akaingia ndani ofisini kwa Andy maana alikuwa amesimama tu mlangoni akiaga kwa haraka. “Mwalimu wa Mina amenipigia simu. Mina ameondoka shuleni.” “Kwa nini!?” “Sina uhakika. Ila kwa maelezo yake nahisi huyo anayesema alikwenda kumfuata pale atakuwa ni mama yako. Maana amejitambulisha kwa huyo mwalimu kama mama Ruhinda, akaomba kuzungumza na Mina. Anasema Mina aliingiwa na hofu baada yakumuona tu, japo mama yako hakusema kitu chochote kibaya. Ila Mina akaondoka.” Akamuona Andy anafunga macho.

“Naomba nikamtafute. Nizungumze naye ili atulie. Week hii ni ya mtihani. Nataka angalau amalize hii course tu, ndio tujue kinachofuata. Sitachelewa, naweza kuhisi alipo.” “Samahani sana Ron. Nakuhakikishia haitakaa ikatokea tena. Unafikiri ni sawa tukiongozana?” “Hapana Andy. Mimi namfahamu Mina. Tunaweza kumtia hofu zaidi. Acha niende tu mimi mwenyewe.” “Sawa. Samahani sana.” “Nitarudi, sitachelewa. Na nitamalizia kazi zote za leo kabla siku haijaisha.” “Hamna shida.” Ron akatoka kwa haraka.

Andy kwa Wazazi.

Hapo hapo Andy akampigia simu baba yake. Baba yake akapokea kwa haraka sana. “Nilikuomba uzungumze na mama, umwambie Mina hayupo kwenye maisha ya kina Ruhinda tena, amwache kabisa. Sijui kama ulifanikiwa kumfikishia ujumbe?” “Kuna nini tena?”  Akauliza mzee Ruhinda. “Nimeuliza swali dogo sana. Hata kama hamniheshimu kwa lolote, basi hata katika hili ungelitilia uzito. Sasa hivi ni saa tano na nusu, siku ya jumatatu. Nafikiri unajua kuwa na mimi nina kazi. Nimekupigia kukuuliza swali dogo sana. Nafikiri ninastahili jibu.” “Nilimweleza Andy.” Akajibu mzee Ruhinda.

“Nafikiri atakuwa hajaelewa. Basi, nikuombe tena, katika ratiba yako ngumu, angalau mara moja tu na ninakuahidi sitakusumbua tena, wewe wala mama, tafadhali naomba mpigie hapo mama, utuunganishe, nijaribu kuweka sawa hili ili tuachane kwa amani.” Bila swali jingine, mzee Ruhinda akampigia simu mkewe.

Baada ya muda mfupi sana, Andy akasikia baba yake akiita. “Andy, mama yupo hewani na sisi.” “Shikamoo mama.” Andy akasalimia. “Marahaba Andy, unaendeleaje?” Akauliza mama yake. “Nafikiri baba alikwambia juu ya Mina.” “Aliniambia na mimi nilimfuata kwa jambo la amani tu.” “Mama please! Hata kama mnaniona mimi ni mjinga kiasi gani, lakini mnipe heshima yangu, jamani! Ni jana tu umetoka kumtusi mpenzi wangu. Mbele yangu mkimdhihaki na kunicheka bila hofu!” Akaongea kwa uchungu.

Mmenidhalilisha mbele ya mwanamke wangu na watoto wale wadogo. Ulinitukana mimi na Mina bila hofu, mbele hata ya watoto wale walionekana kumuheshimu Mina, mkahakikisha mnatoa kabisa heshima yake japo Mina aliendelea kujishusha kwenu.”

Mmenicheka na kunidhihaki bila heshima na kumtusi yule binti bila huruma. Ni jana tu. JANA! Hata masaa 24 hayajapita. Nakutumia ujumbe leo asubuhi kuwa lile tatizo, au ile takataka kama ulivyoiita jana, imeondoka. Si kwako tu. Hata kwangu. Tafadhali mkae naye mbali. Hayupo kwenye familia yenu tukufu ya Ruhinda, leo unamfuata shuleni!” Wazazi wake wote, kimya.

Mnachotaka kwangu ni nini jamani!? Mbona kama naona nimefanya kwa upande wangu bila dharau ila kuwaheshimu tu! Ulitaka niwe na Lora. Nimeheshimu wazo lako. Nimechukua hatua, nimekuwa na Lora. Nimerudisha majibu vizuri tu, kuwa Lora hanifai. Ulitaka nikwambie na matusi aliyonitukana pia?” Kimya.

“Lora amenitusi vibaya sana, lakini kwa heshima ya mahusiano yenu na wazazi wake, sikutaka kufanya hayo mambo yakawa makubwa. Nikaona niyaache kama yalivyo. Leo nawaletea Mina. Hata hamumfahamu, mnamtukana vibaya sana, mwanamke ambaye alinipenda na kuniheshimu bila jina lenu hilo!”

“Mmemtoa mpenzi wangu kwenye maisha yangu. Sikusema chochote. Kwa heshima kabisa, nikawaheshimu, nakuondoka nyumbani kwenu. Kana kwamba mnaona haitoshi, yuleyule binti mliyemtusi na kumdhalilisha vibaya sana, leo unamfuata shuleni kwake, kwenye chuo ulichosema hata hakijulikani! Mnataka nini kwangu? Ni nini mnataka mkione kinatokea ndipo mridhike?”  Andy akaendelea kuuliza kwa uchungu.

“Mna watoto wa nne. Ni mimi peke yangu mlinisukumia mbali na familia. Tokea mtoto nimekuwa nikilelewa na watu baki. Hakuna hata kati yenu aliyejua ninakuzwa vipi! Naumwa au mzima. Baba mlezi wangu aliwapigia simu kuwa nilifaulu vizuri sana grade 8. Jimbo litanisomesha. Sikuwaona hata mmoja wenu kuja kwenye sherehe yangu yakuhitimu. Sio hiyo tu. Zote sijawaona mkija kufurahia na mimi mahafali ya kitu hata kimoja. Kila nikirudi nyumbani mnaniambia mlikuwa huku na kule kwenye safari za kikazi. Sikuwahi kulalamika, japo nilikuwa nikiwaona kwenye picha za mahafali ya wenzangu!”

Ubusy wenu ukawa ukitokea kwenye mambo yangu tu! Kuna kipindi niliugua kule Nairobi, nililazwa nikiugua karibia ya kufa. Nikaona ni heri msipigiwe simu, kuhofia jibu lenu la kuwa mpo nje ya nchi kikazi. Nikaona niwaache tu. Sijawahi kulalamika wala kuuliza.”

“Haya, kwa kutafuta undugu na nyinyi, nikaamua kurudi kutafuta kazi hapa nchini tena kwa mshahara wa chini tu, tofauti na ile niliyoacha Nairobi. Ili tu kuwatafuta ndugu zangu. Nimerudi nikiwa sihitaji kitu chochote kutoka kwenu, ila undugu tu. Hata miaka mitatu haijaisha mnaniona mimi ni mzigo! Mnanidhihaki na kunidhalilisha kwa kiasi hiki! Tena mbele ya watoto wadogo! Kwamba wao wanaakili kuliko mimi! Paul mdogo wangu kabisa, ananicheka waziwazi bila hofu! Na anafanya hivyo kwa vile ambavyo mmenivunjia heshima!”

Sihitaji kitu kutoka kwenu tena. Sitawazonga kwa lolote, TENA. Ninayo familia inayoniheshimu na kunijali. Na nyinyi mnayo familia niliyowakuta nayo. Inayoendana na hadhi yenu. Naomba kwa heshima kabisa wazazi wangu, kwa kuwa tumeshaona hakuna jema litakalotokea kati yetu isipokuwa kuwaletea fedheha, TAFADHALI tuachane kwa amani.”

“Niombe radhi kwa kutokuwaelewa tokea mwanzo. Ninarudi kule mliponipeleka. Sitawabugudhi tena. Na mimi naomba mumuache kabisa Mina. Tafadhali. Sijamsaidia yule binti hata shilingi. Anasomeshwa na kaka yake. Hamna mnachomdai.”

“Mama, naomba nishukuru kwa zawadi ya uhai uliyonipa, kwa kunileta hapa duniani. Kwa malezi ya mpaka uliponihamishia Nairobi. Asante baba kwa kunilea na ada zote mlizokuwa mkinilipia mpaka grade 8. Mungu awabariki sana. Nawatakia maisha mema yenye furaha na amani.” Andy akakata simu.

Maji Yamezidi Unga.

Hapo hapo Andy akaandika barua yakuacha kazi. Akachanganya na siku zake za likizo. Akatakiwa angalau afanye kazi siku 15 ili kuwa ametoa notice ya mwezi. Akaanza kupiga simu Nairobi kuangalia ni wapi anaweza kupata kazi. Kule alipokataa kazi, akakuta walishapata mtu. Hakuna nafasi ya kazi. Akabaki akifikiria.

Siku hiyo iliharibiwa vibaya sana. Hakuweza hata kufanya kazi. Akabaki amekaa tu hapo akimsubiria Ron kujua kama alifanikiwa kumpata Mina au ndio amesababisha KUPOTEA kwake tena.

Mill&Pam

Wakati ya Andy na Mina yameingiliwa vibaya sana, Mill na Pam walikuwa wakitizamia kwa uchu muda atakao kuwa Mill nchini wapate faragha. Alipata mtu wa kumsukumia kigari chake kilichokuwa kimejaa masanduku, yeye amemkumbatia Pam wakielekea alipoegesha gari. Wakafika, wakaweka mizigo nyuma mpaka mbele. Alipofunga tu mlango wa nyuma, na kumlipa aliyemsaidia, akamvuta tena Pam akamkumbatia akaanza kumnyonya kuanzia shingo. Tayari Pam akawa ameshaloa.

Akapata midomo, akahangaika nayo, akajua anatafuta ulimi. Akajiachia mtoto wa kike, ulimi ukadakwa. Utafikiri alikuwa akimumunya pipi! Uchu ulimjaa Mill, mikono haitulii mwilini kwa Pam. Akafanya vyakutosha akimpapasa ila si kwa kumdhalilisha hadharani. Lakini vile alivyokuwa amemkumbatia kwa hisia akinyonya midomo yake, atafikiri ameshamvua nguo huyo Pam, anamuona mwili aliokuwa akiutamani!

Baada ya muda akamuachia. “Nakupenda Pam. Nakupenda mpenzi wangu. Usije choka kunisikia nikikwambia hivi. Hakika nakupenda kuliko nafsi yangu.” “Na mimi nakupenda Mill. Twende nyumbani upumzike. Nitakubembeleza utalala.” “Uliniahidi nini?” Pam alicheka mpaka akainama kwa aibu.

“Naona maelezo yamebadilika! Au ndio umebadili mawazo?” “Hata kidogo. Utalala kifuani mpaka uchoke wewe.” “Kaburi ndio litanitenga na wewe Pam. Sio kukuchoka.” “Ukumbuke hayo maneno yako Mill. Tafadhali usije sahau.” “Naanzia wapi!? Nataka nini tena?” Basi safari ya kwenda nyumbani kwa Mike na Kamila, Tabata, ikaanza. Wanaona hawafiki.

~~~~~~~~~~~~~~

Ikawa kama Tabata nyumbani kwa Mike ni mbinguni! Njia nzima Mill analalamikia foleni. Mwishoe akawapigia simu wenyeji wake. “Sio tena mimi nafika hapo na Pam wangu, mnaanza yale maswali yenu ya kiswahili. Nishawaambia habari za safari, nzuri. Nimefika salama. Naendelea vizuri. Kama kuna swali jingine mniulize sasahivi huku barabarani kwenye mji wenu wenye foleni. Kama nafanyiwa kusudi bwana!” Pam akawa anacheka akisikiliza wanavyozungumza watatu hao.

“Mimi naulizia mizigo yangu, Mill!” “Sanduku lako lipo. Yaani nikiwa naegesha gari hapo, uwepo kuchukua sanduku lako, lasivyo utalipata nikiwa naondoka. Na mwambie mumeo kuwepo na umeme na mafuta ya jenereta ya ziada sitaki mnipe umeme wenu wa mgao.” Mike akasikia.

“Mill hana imani na mimi!” “Hamtabiriki bwana! Mnaweza nilaza nikijipepea bure!” “Sawa kaka. Maagizo yako tokea Doha nimeyapata. Nyumba yako imewashwa A/C tokea asubuhi.” “Mashuka baridi lakini?” Mill akauliza kutaka uhakika. “Nakwambia tokea asubuhi kunapuliza. Mpaka godoro baridi. Ushindwe wewe tu.” “Hapo sawa.” Mike na Kamila wakashika kazi ya kusubiria barazani ili wakifika wamuwahi kabla hajaingia kwake na huyo Pam aliyetangaza hataki kuingiliwa.

~~~~~~~~~~~~~~

“Kwamba wewe unawasha A/C muda wote?!” “Unafikiri natania? Na wenyewe wanajua. Nataka kuwashwe A/C hata masaa 6 kabla sijafika. Nikute kila kitu baridi, hapo ndio nitalala vizuri.” Pam akashangaa kimyakimya.

“Unafikiri kwa nini nafikia kwa kina Mike? Wamenitengenezea kaji nyumba kaupendeleo. Utapaona. Pazuri sana, halafu pametulia. Nikiwa pale utafikiri nimelala tu huko kwangu. Hakika siwezi tena kulala kwenye joto na wala feni halinitoshi. Najikuta nakesha.” “Mill wewe! Si garama sana!” “Sina starehe nyingine isipokuwa kulala vizuri. Sinywi pombe. Sina wanawake wa kuwahonga. Mwanamke niliye naye ni wewe tu. Pesa yangu ni yangu na wewe. Sasa kwa nini nijitese kwa starehe moja tu niliyo nayo?” Pam akacheka na kutulia, ila akajua anaenda kulala pazuri.

Kwa Mara Ya Kwanza Pam Nyumbani Kwa Mike & Kamila.

Kwakweli walimkarimu Pam. Wakaonyesha wazi wamefurahia ujio wao. “Chakula ulichotaka nikupikie kipo ndani, tayari. Maji, juisi vipo kwenye friji. Asubuhi nitaacha vyakula sebuleni. Nyinyi pumzikeni. Chakula kazi yangu.” “Mambo si ndio hayo! Kama fungate vile!” Mpaka Pam akaona aibu. “Tunashukuru.” “Karibuni. Shida yeyote, msisite kutuambia. Mill anajua.” Kamila akasisitiza.

Wakachukua mizigo yao na kuingia ndani. Kwa hakika palikuwa pazuri. Kanyumba kadogo lakini ndani ulikuwa muundo wa tofauti na alivyowahi ona Pam. Akaona ajitulize. “Kuna baridi!” Mill akamcheka. Akavuta blangeti dogo lililokuwa limening’inia kwenye kochi kama urembo, akamfunika.

“Asante. Maana nimeshaanza kutetemeka!” “Nitapunguza baridi.” Akachukua kibegi kidogo tu akawa anaondoka. “Nikusaidie kuingiza na hili sanduku jingine?” “Hilo ni lako.” Akajibu akipotelea chumba cha nguo.

Pam akashangaa sana na kuliangalia tena hilo sanduku. Lilikuwa kubwa haswa zaidi ya walilompa Kamila. “Fungua uangalie wakati naoga. Halafu hicho kiti chenye matairi mbele ni ya mama.” Pam akapigwa na butwaa. “Ni walker. Itamsaidia kutembea sio kujisogeza kwa kusota mavumbini. Na nimenunua aina hiyo makusudi. Ili akiwa anatembea, akichoka anaweza kaa hapahapa kwenye walker.”

Akarudi na kuifungua kabisa akawa akimuonyesha jinsi ya kutembelea, hana habari jinsi alivyomgusa Pam mpaka machozi. Mama yake anatoka mavumbini!

Mill akawa anaendelea kumuonyesha, akahisi hakuna muitikio, maana aliifungua na kuanza kuitumia kabisa kuonyesha jinsi ya kuitumia ili iwe rahisi kumuelekeza mama yake, akageuga kumuangalia kama anasikiliza, akashangaa analia. “Pam!” Akaiacha na kumsogelea.

“Ni nini tena mpenzi! Au nimekosea? Nimevuka mipaka!?” “Hapana, sijategemea Mill. Mama anesota miaka mirefu hakuna hata aliyewahi kumuwazia au kufikiria jinsi ya kumtoa mavumbini. Bibi ndiye anahangaika naye tu.” “Nisikilize Pam. Unakumbuka nilikwambia nimesomea mambo ya unesi nataka kufungua sehemu ya kutunzia wazee?” “Nakumbuka.”

“Sasa hiki nilichofanya kwa mama ni moja ya kazi zangu. Maana unaweza pata wazee ambao hawana nguvu ya kutembea. Mimi natakiwa kufikiria kama muuguzi jinsi ya kufanya maisha yake kuwa rahisi pale atakapokuwa akiishi. Kuna mizigo mingine kuna jamaa anasafirisha na makontena, analeta vitu Tanzania, tunamlipa.” Mill akaendela.

“Nimemuwekea mama hapo mpaka viti maalumu vya kukalia chooni, na kiti chakuogea. Pamoja na wheelchair nzuri, narahisi kutumia. Sio kuishi kwa shida.” “Mill!” “Ni kazi yangu?” “Lakini umemfikiria mama yangu Mill, bila kukuomba!” “Wewe ndio mimi. Kinachoendelea kwako jua kinaendelea kwangu. Nikikwambia nakufikiria, jua nakufikiria mpenzi. Kwa hiyo usijali. Wewe ni wajibu wangu.” Pam akambusu.

“Acha nitoe shombo ya barabarani, nije nikukumbatie vizuri. Sijaoga zaidi ya masaaa 20. Sijisikii vizuri. Nisubiri mpenzi wangu. Nakuja sasahivi. Wewe angalia vitu vyako.” Akambusu na kusimama kurudi maliwatoni.

~~~~~~~~~~~~~~

Pam alishangaa aina ya vitu alivyoletewa. Mill ni wale wanaume wanao nunua mpaka chupi za mpenzi. Sidiria alimuuliza size anayovaa, muda mrefu tu. Alipobabaika  hajui size, akamtuma kwenda kwenye duka wanalouza nguo za ndani. Sio mtumbani alikozoea kununua yeye. Akapimisha sidiria mpaka akapata iliyomkaa vizuri na ndipo akamtumia na Mill. Hakujua kama ndio angemfanyia manunuzi ya hivyo!

Aliletewa hizo nguo za ndani. Chupi na sidiria. Nguo za kulalia nzuri sana. Manukato mazuri. Akanusa. Pam mwenyewe alipenda harufu yake. Lotion, sabuni zake. Kukaja na nguo sasa. Alimnunulia nguo nzuri! Pam alikuwa haamini kama kuna mwanaume anaweza fanya manunuzi ya kike, akapatia kwa kiasi hicho.

~~~~~~~~~~~~~~

“Sijala kwenye ndege makusudi ili nije kula chakula cha Kamila.” Akamtoa mawazoni alipokuwa amepotelea. Akamwangalia na kumfanya Pam karibu adondokwe mate. Alijifunga taulo kiunoni, jingine anaendelea kujikausha kichwani. Kifua kipana, kilichobeba nywele zilizomfanya Pam aduae. Mill alijaliwa nywele nyingi kama kichwani kwake. Akatamani kama apitishe vidole hapo kifuani achezee hivyo vinyweleo!

“Umepata ulichokipenda?” Ndio akagutuka na kurudisha macho kwenye sanduku. “Kila kitu hapa ni kizuri! Mpaka nimechanganyikiwa, siamini! Asante kunipenda Mill.” Mill akacheka sana. “Bora umegundua kama unapendwa.” Akasogea kilipowekwa chakula.

“Nikupashie chakula kingi au kidogo? Na kukataa ujue unajipunja. Kamila anapika, hujawahi ona hata kwenye mahoteli makubwa.” Akacheka na kusimama. “Basi acha mimi nikupashie moto wakati unavaa.” “Usijali. Wewe endelea na vitu vyako. Kikiwa kwenye microwave nakuwa navaa nguo za kulalia. Nimechoka. Nikila tu nataka tujitupe kitandani.” “Kwa mipango! Unakuwa kama ulishapangia kila kitu hata kabla hujaja hapa!” “Utanizoea. Ndivyo nilivyo. Hata Mike ameshanizoea. Ni kwako tu ndio huwa najichanganya.” Pam alicheka sana.

“Sasa mimi nimefanyaje?” “Linapofika swala lako, najikuta kila kitu kinasubiri. Mipango yote inakuwa kama haina maana tena! Pam wangu, kwanza.” Pam akajisikia raha huyo! “Na mimi nakupenda Mill. Nakupenda SANA.” Akamsogelea na kuanza kupata kiss. Yeye amesimama, Pam amekaa. Hakufika mbali akamuachia.

“Unanukia vizuri Mill!” Akamuona kama anafikiria. “Mbona hata sijajipaka kitu! Au umependa shower gel yangu?” “Pengine hiyo. Imetulia.” “Asante. Acha nije.” Akaondoka tena kurudi chumba kidogo cha nguo, akimsindikiza kwa kujiiba. Palikuwa padogo tu, lakini nyumba iliyokamilika kwa muundo mzuri sana. Akabaki hapo ametulia akiangalia vitu alivyoletewa, ila zawadi ya mama yake ndio ikamgusa zaidi. Akasimama kujaribisha kutembelea kama alivyofundishwa na Mill.

Mill akamkuta anahangika nayo. “Mmmh!” “Si ngumu hata kidogo. Anaweza kuifanya kiti akakalia popote, hata jikoni. Anailock hapa ili matairi yasitembee. Akitaka kutembelea, akichoka, anaweza kukaa.” Akamfundisha mpaka akaweza.

“Mama ataona ni muujiza! Nakushukuru Mill! Nakushukuru sana. Maana magongo alishindwa, alikuwa akianguka na kujiumiza zaidi sababu ya kuchoka, analemewa na mwili. Bora angekuwa na mguu hata mmoja wa kusimamia. Ila mikono ndio imekuwa kama nyayo! Anasota kila mahali!” “Sasa hiyo itakayokuja ndio itamfaa zaidi. Ni wheelchair nyepesi sana.” “Alikuwa nayo zamani, Eric alimnunulia. Ikaharibika, mkewe Eric akasema wao hawawezi nunua ingine. Na mimi kila nikitaka kununua, mama akawa anasema wao wanashinda na pesa zaidi kuliko hicho kigari. Basi nikaishia hapo. Yaani ni kama umenikumbusha. Nahisi nilizembea tu.” “Usijali. Ndio maana na mimi nipo. Nikijisahau na wewe utanikumbusha. Njoo ule.” Wakakaa kula lakini alionekana amechoka.

“Wewe unaonekana umechoka sana. Macho yako yamezidi kuwa yakusinzia.” Mill akaanza kucheka. “Kwani nina macho ya kusinzia mimi?” “Lona alikuwa anakusifia huyo! Anasema una macho makubwa kiasi, duara halafu yapo kama sleeping eyes.” Mill alicheka, akacheka sana. “Lona alikupenda mwenzio!” “Lona si mwenzangu. Mimi mwenzangu ni Pam.” Basi Pam hapo kichwa kikazidi kuvimba.

“Sasa mwenzio mimi si mlalaji wa mchana. Nitakaa hapa nikusubiri mpaka uamke.” “Nilivyo na hamu na wewe Pam! Siwezi tena kusubiri mpenzi. Bora nisilale tukae wote. Nikuweke kifuani kwangu. Nikukumbatie vizuri, nahisi ndio nitaridhika.” “Pumzika, ukiamka utanikuta hapahapa. Nimechukua likizo kwa ajili yako Mill.” “Hapo unafanya usingizi uzidi kupaa. Bora nisilale.” “Basi tutalala wote.” “Nakuhakikishia sitalala mpaka na wewe upitiwe na usingizi. Na nitakukumbatia vizuri.” Pam akacheka na kutulia.

“Nakuona msafi. Lakini kama ungependa kuoga, huko bafuni yanatoka maji ya moto na baridi. Ila kama upo sawa kubadili nguo za kulalia hivyohivyo, ni sawa.” “Kama ni vyakulala mpaka na nguo za kulalia, bora nioge tu. Mwenzio natoka kwenye nyumba za kujipepea na mkono.” Mill akaanza kucheka tena. “Na naogea ile shower gel uliyoleta ili ninukie.” “Basi njoo nikuonyeshe.”

Wakati anaoga, yeye akaanza kuandaa kazingira. Akamsikia amemaliza anaelekea chumba cha kuvaa. Akamfuata. “Maji mazuri na sabuni inanukia vizuri.” “Nina hamu na wewe Pam! Natamani nikuombe usivae nguo, twende nikakukumbatie hivyohivyo pale kitandani.” Pam akababaika vilivyo ila akamwambia.

“Kuna kitu naomba tuzungumze kwanza” “Mbona unanitia wasiwasi!” “Sio kitu kibaya.” “Basi usijifunike hiyo khanga mpenzi. Vaa hizo nguo za kulalia nilizokuletea. Nakupisha kabisa.” Akatoka. Akavaa. Mwenyewe alijua anavutia.

~~~~~~~~~~~~~~

Akamkuta amekaa kitandani. “Acha kunyongea bwana! Sio kitu kibaya.” “Ni nini?!” Akakaa. “Pam wewe ni mzuri jamani! Mpaka ndani unavutia! Una mwili mzuri sana.” Akacheka kwa aibu na kukimbilia ndani ya comforter alizokuta hapo kitandani.

“Acha nikwambie ukweli. Unavyoniona hivi, mwenzio sijawahi fanya mapenzi.” Mill alishituka karibu asimame. “Na si kwamba ni kwa tabia nzuri kwamba nimejitunza tu, hapana. Ni hasira niliyokuwa nayo kwa wanaume. Ni wewe umenifanya niwe hivi. Sijawahi fikiria kama naweza mpenda kiumbe mwanaume mbali na babu yangu na Eric. Nawaonaga ni wanyama wanaweza mgeuka mtu wakati wowote.”

“Ikanijengea chuki mbaya sana kupita kiasi. Ikanifanya hata kuzungumza na wanaume iwe inabidi, lakini hata urafiki au mazungumzo yasiyo lazima huwa sifanyi.” “Ndio maana walikuwa wanasema unaringa!” “Wala si hapa tu. Mpaka shuleni nilikuwa hivyohivyo. Na ilikuwa bora nichapwe na mwalimu wa kike kuliko wa kiume, ilikuwa ikinisumbua sana. Tena wakati mwingine nilikuwa nikikataa kabisa kuchapwa na mwalimu wa kiume. Mpaka wakawa wananijua. Ila ikanifanya niongeze nidhamu ili nisiingie matatizoni.”

“Pole Pam wangu.” “Inaniuma Mill! Inaniuma sana. Mama yangu ni mtu mzuri sana. Amejawa upendo kama bibi. Hana neno! Mnyenyekevu mno. Najiuliza mtu anawezaje kumtenda vile! Hakika imenisumbua kwa muda mrefu sana mpaka ulipokuja wewe.”

“Swali langu la mwisho. Niambie ni kitu gani kinaweza tutenganisha sisi? Kosa gani naweza kutenda ukanikinahi na kunitelekeza?” “Nakujibu, na usifikiri nimekurupuka. Ila hakuna Pam. Mapungufu yetu tutajifunza kuishi nayo. Nakupenda Pam. Sijawahi penda hivi, mpaka hata Mike ananionya kuwa na tahadhari akihofia naweza kuja jiua, endapo chochote kikitokea. Kama uje uniache wewe.” “Mimi hapana Mill. Hivi unavyonishika wewe, hakuna mwanaume anaweza nishika hivi nikakubali. Si kwa uaminifu tu, ila najawa hasira ya ajabu! Mpaka mama alikuwa akinisihi nikaombewe. Anahisi nina roho chafu.” Mill akacheka.

“Kweli! Yaani hajaamini kusikia kama kuna Mill. Wewe nakupenda Mill. Na ukinishika, natulia kabisa.” “Nitakuenzi Pam. Acha maneno yaje yaongee. Na hata kama haupo tayari kufanya mapenzi sasa, usiharakishe. Ila niruhusu nikukumbatie mpenzi. Tafadhali Pam.” “Na mimi nataka unishike. Ila iwe humu ndani sio huko nje kwenye baridi.” “Huna sharti utanipa nikaukosa huo mwili wako.” Akaingia haraka kwenye hayo macomforter mazuri ya kuvutia kwa macho.

Akaanza kukiss kuanzia shingoni. Pam akaanza kunyevuka huku mikono ikipanda kwenye hips. “Naomba kukushika Pam. Nakutamani mpenzi wangu. Au siruhusiwi?” “Nakupenda Mill. Ni wewe peke yako nataka unishike utakavyo.” “Unauhakika?” “Nipo tayari na wewe Mill. Na mimi nilikuwa nakusubiria kwa hamu.” Akamtoa ile nguo nyepesi ya kulalia.

Akamkiss tena shingoni, akashusha midomo, kwenye chuchu alizokuwa na hamu nazo kupita maelezo. Akaanza kunyonya hayo maziwa, huku mkono unaendelea kucheza huko chini mpaka kwenye tako.

“Nataka kukuona mwili wako Pam. Hivi siridhiki!” “Nasikia baridi Mill!” Akaruka kitandani na kwenda kupunguza A/C. “Sasahivi patakuwa sawa.” Akavua nguo kabisa, Pam akajificha uso maana alibaki uchi bila nguo hata moja. Mzee wa haja amesimama. Mill akacheka. Na kurudi pale kitandani nakuanza kumbusu kuanzia kucha ya mguu akimsifia. Kila mguu aliushika kwa mikono miwili akipapasa huku akimbusu na kunyonya kwa hisia zote mpaka mapajani.

“Pam, nakupenda mpenzi.” Akambusu kitomvuni na kumfanya Pam azidi kusisimkwa. Hapo alivyokuwa akipapaswa aliachia miguu yote naana Mill mwenyewe alikuwa katikati ya miguu akijipa zamu ya kubusu kila paja akipapasa.

Mikono ikatua nyuma kwenye matako, akajivuta mpaka kwenye kinena. Analamba kwa ulimi aliofanya mgumu, akarudia hivyo akizidi kumtesa mwenzie. Eti akapita hapo na kurudi kwenye matiti, nusura Pam alie. Alitamani aendelee hapo kwenye utamu wenyewe, lakini ni kama alipita tu. Miguu ilikuwa ikitetemeka kwa kuzidiwa. Na Mill naye akaonekana matiti ndio starehe yake kubwa.

Alichomsaidia ni vile alivyopitisha mkono hapo. Mpaka akanyanyua kiuno. Maana alianza kukivuta kisimi chake taratibu, huku midono ipo kwenye matiti. Akaanza kuminya kama anakamua, ila taratibu. Sasa vile alivyokuwa akinukia vizuri. Halafu na mizawadi aliyokuwa ameletewa! Na Mill alijua kuzungumza naye mpaka kumtuliza nafsi. Halafu sasa, aliyokuwa akimfanyia, bila ya kutegemea, Pam akapiga bao akiwa anachezewa kisime mpaka akaona aibu kelele alizokuwa akipiga.

Naye Mill hakusubiria. Akaendelea na romance mwenzie akihema baada ya bao zito. Alipoona ametulia akihema taratibu, akazidisha utamu, Pam akaanza kunung’unika tena. Kana kwamba haitoshi, akashangaa anahamia kumnyonya. Pam akashangaa maana alijua wazi amemwaga vilivyo, kama aliyekojoa kabisa! Lakini Mill hakuonea kinyaa. Alikuwa akinyonya kama pipi aliyoipenda haswa! Alijua kumnyonya huku akimchezea mwili mpaka akapiga tena bao.

“Niangalie Pam.” Akambusu tena na tena akiwa juu yake. “Jua leo tunaweka agano kati yetu, mpaka kifo. Sawa?” Bado Pam alikuwa akijaribu kutulia, maana pumzi alizokuwa akitoa baada ya bao ni kama aliyekuwa akikimbia kwenye mashindano.

“Hata iweje, tunabakia mimi na wewe tu. Umbali huu tuliofika mimi na wewe, hutaenda na mwingine.” Yaani anakaribia kutolewa bikra na bado anaombwa mahusiano mpaka kifo! Halafu mwanaume mwenyewe ni Mill! Ashapigishwa mabao mawili, kwa starehe ya kutotoa jasho! Hicho kikawa kiapo cha kitoto sana. “Nakupenda Mill. Siwezi ruhusu mtu mwingine afike umbali huu na mimi.” Zikaanza kissing ndefu tu za kutosha kisha akalemewa yeye mwenyewe. Ikawa kama huo mwili wa Pam unazidi kumchanganya.

“Nitakuwa mwangalifu Pam wangu. Sitakuumiza. Naomba kufanya mapenzi na wewe.” Hapo anamuongelesha, ashamkumbatia vizuri. Kifo cha mende, vidole, mkono mmoja amepishanisha. Anamwangalia kwa karibu pale alipomlalia. “Nakupenda Mill.” Akambusu sikioni. Kwa kuwa alikuwa ameloa. Mate aliyomuachia na ute wake mwenyewe aliopiga bao, Mill akaanza kupenya taratibu. Ila akamuhisi anaanza kutetemeka.

“Utakapoona nakuumiza, niambie. Nitaacha.” “Hapana. Endelea tu. Nataka wewe ndio uwe mwanaume wangu wa kwanza.” Akambusu midomo akaendelea kuzama mpaka akapasua bikra ya mrembo Pam, asiamini kwa vile alivyo Pam, amewezaje kubakia hivyo! Kweli hapakuwa na mwanaume aliyemkonga moyo wake kama yeye Mill!

Mill alikuwa haamini. Japokuwa yeye ni mwanaume wa mwendo mrefu, lakini hapo kwa Pam hakuchukua muda mrefu akasalimu amri mpaka akashangaa na kuona aibu, akitamani ajitetee. Maana mchezo haukuzidi hata dakika 3, akawa amemaliza.

Pengine ni joto la mwanamke aliyempenda na kumsubiria kwa hamu kwa muda mrefu! Au kwa sababu alishapitisha muda mrefu jogoo hajaonja joto la kike! Lakini alishamwaga mambo hadharani, akabaki ndani, ila amemlalia Pam, akihema pembeni ya shingo yake. Aibu! Hajui aseme nini! Akajiona kubwa jinga!

Akamsikia Pam akigugumia. Akashituka na kukumbuka Pam alikuwa bikra. Atakuwa amemuumiza. Akakurupuka. “Pole sana. Maumivu makali?” Hapo ndio ukawa mwanzo wa hilo penzi lilolojaa ahadi, maagano na kufungamanishwa na furaha ya ajabu. Kwa Mill kujishindia mwanamke mzuri kwa kiasi hicho halafu akawa wa kwanza. Na kwa Pam kumpata Mill mwanamme anayejali mpaka mama yake.

~~~~~~~~~~~~~~

Alikaa hapo chumbani na Pam bila kuchoka. Na yeye akawa muungwana. Siku mbili hakumgusa akiuguza kidonda, lakini akapata njia za kuufurahia huo mwili vilivyo. Aligundua njia nyingine za romance wakifurahia bila kufanya mapenzi ya kuingiliana. Lakini hakuacha kumchezea kwa hili na lile mpaka siku ya tatu Pam mwenyewe akalemewa.

“Tujaribu tena.” Akabembeleza wakati akimnyonya matiti. “Unauhakika?” Akatingisha kichwa kukubali, hapo alikuwa yupo tayari maana alikuwa akimchezea kwa muda tu. Midomo ikipita kwenye matiti akihakikisha kila titi linaingia mdomoni kwake, huku akipekenya chuchu kwa ulimi, halafu mikono imeenea kwenye huo mwili kama amezawadiwa tunu! Hakuwa na anapoacha. Kuanzia kichwani mpaka unyayoni, na hakuwa akiridhika wala kuamini huyo Mill.

~~~~~~~~~~~~~~

Penzi likakolea mpaka muda wake wa kuondoka nchini ukafika. Alikuja kwa majuma matatu tu, ambayo kwao yalikuwa machache sana. Siku mbili za mwisho Mill akaona akamtambulishe kwa baba yake. “Naomba nikukute hujalewa baba, na iwe nyumbani. Sitaki kuanza kukufuata naye kwenye mabaa.” Akamsikia akicheka. “Kama unaona hutaweza, basi.” “Acha kukasirika wakati nimekwambia nitawasubiria nyumbani. Vipi Mill? Na usiniletee kinyago cha kuniharibia ukoo.” “Kuwa na imani  na mimi baba.” Akakata simu.

~~~~~~~~~~~~~~

Love at first Sight.

Alikopita Andy na Mina, na wazazi kusaidia kushindwa kwao, ndiko Mill naye anakompitisha Pam wakiwa wamejawa penzi zito lenye ahadi na agano.

Kila mmoja anahangaika kivyake kupanga tofali zake, kujenga.

Ni nini kitaendelea?


CONVERSATION

0 Comments:

Post a Comment