“Kanisani?” “Nimechoka!” Akalalamika. “Naweza kuelewa.
Umefanya kazi mfululizo bila kupumzika.” “Pamoja na mapenzi ya jana.” Colins
akacheka sana jinsi alivyolalamika. “Kidogo hivyo!” “Mwenzio mimi sijazoea vya
muda mrefu. Ilikuwa muda mfupi, unamaliziwa na…” Akasita na kubadili alichotaka
kuzungumza.
“Wewe unachukua muda mrefu sana, bwana!” Colins akazidi
kucheka. “Ila sema vinanoga.” Hapo akamfanya Colins acheke kwa sauti.
Akajificha na mto. “Basi leo sikugusi kabisa. Nakuacha upumzike, na
kesho sita…” Kamila akashituka sana na kujitoa chini ya mto.
“Mimi sijasema nataka mapumziko!” Colins alicheka mpaka
machozi. “Si umesema umechoka wewe?” “Sasa ndio kutaka mapumziko jamani! Ni ile
ya kuchoka vizuri! Mimi napenda kufanya mapenzi na wewe.” Zikaanza kissing
hapo. Wameng’ang’aniana.
Akashangaa Kamila anamuachia kisha anaingia ndani ya
shuka, akamkamata mzee, mdomoni. Akaanza utundu wa kuchezea na kokwa,
huku anamnyonya! Hapo ndio Colins akaelewa kwa nini Mike alikuwa hawezi
kulala bila huyo Kamila, na kwa nini alikuwa akimfuata nyuma kama mjinga.
Bwana alimfanyia kusudi! Kama kumkomoa! Mapya na mageni
kwa Colins, anagugumia hajielewi. Kucha anapitisha taratibu kwenye vimistari
vya kokwa, akazidi kumchanganya. Alipomuhisi anakaribia, maana na
ute nao ukazidi kumtoka, akamkalia na kujiingizia.
Safari hii hakuchukua muda mrefu, mzee akasalimu amri. “Haiwezekani
Kamila!” Kamila alikuwa akicheka, mbavu hana. “Upigaji gani kelele huo Colins
wewe! Kama nyumba ya kupanga, tunafukuzwa.” “Umenikomoa Kamila!” Hana mbavu.
“Hatutoki hapa mpaka nikulipize.” “Mimi wala
sikatai.” Colins alicheka, akacheka sana. Hakutegemea hilo jibu. “Kamila!” “Wewe
nilipize kwa kadiri ya uwezo wako. Mwenzio napenda.” Colins hana
mbavu.
“Sasa unaenda wapi?” “Chooni, kisha bafuni nijisafi
kidogo ndio tuje tuendelee. Naona jamaa amekataa kushuka.” “Kamila kwa
kujisafisha! Unajitia baridi. Acha..” Akakimbia maana alijua anataka amkataze.
Wakati yupo bafuni, na yeye akaingia. Zikaanza kissing
za kwenye shower. Za muda tu huku Colins mkono upo kwa Kamila eti anamsafisha
huku anamchezea! Alikuwa akitetemeka miguu maana pia midomo ilikuwa ikipita
masikioni, na kumnyonya shingoni. Alikuwa akisisimkwa kupita maelezo.
Safari hii na yeye akapiga magoti akaanza kumnyonya
mwenzie amesimama. Kama mtoto wa mbuzi! Miguu ikawa inakosa nguvu, inatetemeka
kwa kuchanganywa kwa raha. Akashikilia ukuta, chini Colins ametawala. Hakumuachia
mpaka akapiga bao ndio akasimama.
Naye Kamila akainama mbele yake, na mkono nyuma
mpaka akampata mzee akaanza kujiingizia. Akaelewa mchezo unaendelea. Kwa
hali ilivyokuwa, katikati ya shower, maji yanaendelea, utelezi mzuri, Colins akaendeleza
mchezo amemshikilia kiuno anapata raha.
Kamila akadhania atamaliza, lakini akafunga maji na
kumtoa hapo akimkisi na maji, mpaka kitandani wameloa chapachapa. Akamuweka chali.
“Nataka nimalizie nikiwa nakuona, Kamila.” Akajilaza chali. Akamlalia kifo cha
mende lakini akamkumbatia kwa mkono mmoja. “Naomba midomo yako.” Hapo anabembeleza,
akamgeuzia kichwa.
Akachomeka, mkono mwingine akapata kiganja chake. Akapitisha
vidole huku amemkumbatia. Mchezo uliojaa penzi zito, ukaendelea. Anamsugua ipasavyo.
Kamila anasikia raha, Colins ile hali ya hisia pale ikazidi kumfurahisha. Ile kusuguliwa
kiharage kwa muda, huku amekumbatiwa. Wameshikana mikono, wananyonyana midomo
kwa aina yake, mchezo unazidi kuchezwa taratibu.
Kamila akasikia furaha na ulinzi wa kipekee akajiachia
hisia zote. Wakati anafika kileleni na Colins naye akawa anapandisha. Alipomaliza
tu, na Colins naye akawa anamalizia. Hakutoka kwa haraka maana Kamila alikuwa
akiendelea kumbana huku akimalizia.
Akabaki amemlalia. Kamila amemkumbatia kwa mikono yote
miwili anampapasa mgongoni huku anambana vilivyo akimalizia. Colins alikuwa
akisikia raha ya ajabu mpaka akamaliza ndipo akajitupa pembeni na kumvutia juu
yake na kumkumbatia vizuri kwa upendo. “Asante Kamila.” “Na mimi nimefurahia. Sikujua
kama kifo cha mende inaweza kuwa tamu hivi! Asante.” Wakabaki wamekumbatiana wakihema kwa nguvu.
~~~~~~~~~~~~~~~
“Nikuulize kitu Kamila?” Akatingisha kichwa akikubali akiwa
amemlalia kifuani, anapitisha mikono mwilini mwake. “Kuna kitu umekirudia mara
nyingi sana juu ya mapenzi. Ni katika kufahamiana vizuri na kujifunza
pia. Utakuwa sawa nikikuuliza juu ya Mike?” Kamila akakaa sawa. Tena akajivuta
kabisa kwenye mto wake akimwangalia ila kwa wasiwasi kidogo.
“Ulitaka kujua nini?” Colins naye akajiweka sawa,
akamgeukia kabisa akiwa amelala kwenye mto wake na yeye. “Sio jambo baya.
Nataka nijifunze kitu hapo.” Akaendelea. “Unaonekana wewe ulitulia na
Mike tu. Hukuwahi toka nje ya mahusiano, japo ni kama hapakuwa na muda mwingi
sana wa ufanywaji wa mapenzi. Kama nimekuelewa vizuri, au?”
“Acha nikwambie ukweli Colins. Kadiri siku zilivyokuwa
zikienda na Mike, alikuwa akibadilika mpaka ikabidi kwenda kutafuta
ushauri wa madaktari. Mapenzi yale ya kuiba ya shuleni, alikuwa yupo
vizuri sana. Kama hivi wewe tu. Unafanya mapenzi mpaka unaridhika
kabisa. Alikuwa akiweza kukuridhisha muda wote kwenye ufanyaji mapenzi
tu.”
“Tulipoanza kuishi pamoja, akaanza kama utani tu. Mara
wakati mwingine ashindwe kabisa, mara wakati mwingine anaweza ila kwa
muda mfupi sana, kisha kunimalizia kwa romance. Hakuwahi kuniacha
hivihivi. Sasa ile ikawa inamnyima raha yeye mwenyewe. Tukafikiri ni
kazi nyingi, ndio tukaanza mtindo wa kuwa tukisafiri kwa mapumziko, lakini nako
huko haikuwa ikisaidia.”
“Ndipo tukaenda kutafuta ushauri wa daktari, maana na
mimi mimba zilikuwa hazishiki, anajilaumu yeye, na ziliposhika, zilikuwa
zikitoka. Ndio tukaenda kwa daktari, wote hatukukutwa na tatizo.”
“Alikuja kupona?” “Hapana. Hiyo hali iliendelea hivyohivyo mpaka mwisho wake.”
“Naomba uwe mkweli kwangu Kamila. Ni kwa nini
uliendelea kuwa naye wakati hakuwa akikuridhisha kitandani?
Nina sababu ya kukuuliza hili ndio maana nauliza.” “Kwangu Mike alikuwa zaidi
ya kunimaliza haja zangu za kitandani! Alinipenda yule mwanaume, kuliko nafsi
yake. Ilikuwa ni bora kubaki na Mike, kuliko kuwa na mwanaume atakayeniridhisha
mimi kitandani, halafu akaridhishe na wanawake wengine huko nje,
na pia asinipende. Akanidharau na mengine mengi kama unavyojua matatizo
ya mahusiano.”
“Halafu nilimpenda sana Mike. Sana. Sikuwahi hata
kufikiria kama naweza guswa na mwanamme mwingine nikaweza kuridhika.
Hivi ulivyokuwa umenishikilia hapa baada ya mapenzi, ndivyo nilivyokuwa
nikilala na Mike. Mchana na usiku utakua mikononi mwake. Na ukisikia
anakuvuta katikati ya usingizi, ujue umegeuka au umetoka mikononi mwake akiwa
amelala, ameshituka na kukuta haupo, ndio anakurudisha.”
“Alinijali kupita nitakavyokwambia. Ni kwa nini umeniuliza?”
“Na mimi nilipita kama hapo alipopita Mike, lakini mimi ilikuwa
kinyume kabisa. Sikujua kama unaweza pendwa hata kama ukiwa na tatizo
kama hilo! Kwangu ilikuwa fimbo. Hakika Love alinitesa yule mwanamke!”
“Pole.” “Hakuna unachoweza mfanyia akaridhika. Na
wakati wote atakukumbusha jinsi anavyoteseka sababu haridhiki
kwenye mapenzi. Anaweza akatafuta mwanamme mwingine huko nje, pia kosa linakuwa
langu.” “HAIWEZEKANI Colins!”
Akahamaki. “Acha Kamila. Ndio maana mimi binafsi umenishangaza aisee! Na
nafikiri pia umechangia sana kunifanya niwe hivi.” “Kwa nini!?”
“Hivyo jinsi ulivyo Kamila! Huna makuu! Mtulivu! Umejawa
shukurani hata kwa kiss la shavu tu!” Akaanza kucheka kwa aibu. “Sikutanii
Kamila! Hujui kulaumu! Unaridhishwa na vitu vidogovidogo! Hakika umenitia ujasiri
na nafikiri sikuwa na tatizo ila ile hali ya kunyanyaswa. Kusemwa
kila wakati na kuonyweshwa sijui au nina kosa, ndio ilikuwa ikinimaliza nguvu. Lakini
wewe umenifanya nimetulia mpaka mawazo, ikanifanya mwili kufanya kazi
yake vizuri.”
“Kingine kikubwa umenishangaza, nilipojirudi hujanilaumu
kukusukumia mbali nikikuletea Jelini kila wakati! Umenipokea kwa unyenyekevu,
kiasi kilichonifanya nikatulia kabisa. Hakika wewe ni Mungu aliye
nifuta machozi.” Akafurahi huyo na kuongeza.
“Na ujue sikuachi mpaka uniache wewe mwenyewe kama
hivyo alivyoniacha Mike. Mwenzio mimi sio msaliti. Sijui kuhangaika
hangaika.” “Na mimi nipo hivyohivyo Kamila.” “Usikimbilie kusema hivyo. Wewe bado
Jelini yupo. Akirudi je?” Hapo hakujibu. Akanyamaza kabisa na kumuona
amepotelea mawazoni. Hilo akalitunza moyoni ila akamuacha.
~~~~~~~~~~~~~~~
“Tumekubaliana na Mill alete watoto kanisani. Tuwe
pamoja. Baada ya hapo awe na sisi wote, angalau watoto wajue watu wengine.”
“Kwani sasahivi anafanyaje?” “Ndio amefanikiwa kuwapatia shule zinazoendana na
kule walipoishia. Anataka waanze jumatatu. Ila akitoka anawaacha na mtu
alimpata kwenye kampuni ya wafanyakazi.”
“Watoto wake hawampendi kabisa. Wanasema
hawaelewani lugha. Ila Mill anasema ni tabia tu mbaya ya wanae, kwani
alishawaambia wakitaka kitu wawe wanawasiliana na yeye, halafu yeye ndio
atakuwa akiwasiliana na huyo dada, ambaye anasema anaelewa kingereza
japo kuzungumza inaweza isiwe nzuri sana. Mill anasema kama ingekuwa ni watoto
wa kawaida wasingesumbua.”
“Basi tutawataarifu wazazi watukute kanisani. Sisi tuwahi
wasije jikuta peke yao tena.” “Hapa sijui kama unavyakula! Ningekupikia kitu
chakula harakaharaka kabla ya kuondoka.” “Usijali. Tutakula tukitoka kanisani,
halafu tutafanya manunuzi ya vitu unavyovitaka tuje navyo.”
“Kwani tutarudi tena hapa?” “Ninapokwambia siwezi tena ishi
bila wewe Kamila, namaanisha. Kama utakataa
kurudi hapa, ujue nitakufuata utakapokuwa.” Ikamgusa Kamila, akatulia maana ya
kutojibu juu ya Jelini ilishamtia wivu.
“Nataka kuwa na wewe Kamila.” “Basi tujipange vizuri.”
“Unamaanisha nini?” “Nina vitu bado kule kwa wazazi. Halafu sasahivi si
kama vile nilivyokuwa na Mike. Sikuwa na watu wazima wakunisimamia kwenye maisha yangu. Nilikuwa nikiishi vile ninavyata
mimi na Mike. Sasahivi siwezi tena.
Nimeshajenga mahusiano na wazazi wako. Binafsi nawaheshimu sana. Wamenipokea
kama binti yao. Siwezi nikajiondokea tu kama zamani. Sijui kama
unanielewa?” “Nimekuelewa na nimekuheshimu kwa hilo.” Akafikiria kidogo kisha
akaongeza. “Acha basi nitazungumza na wazazi.” Wakakubaliana kwenye hilo.
Watoto Walipa Garama Ya Maamuzi Ya Wazazi.
Walifika kanisani, wakamkuta Mill na wanae wanawasubiria
kwenye gari. Safi. Walivyo tu na usafiri wao, walitangaza neema ya
kiuchumi. Ila madogo yakakataa kusalimia. Mill alipolazimishia
salamu, wa kike, yeye akasalimia. Wakiume aliwatizama. Akawaambia tu, ‘hi’
na kurudisha macho kwenye game yake alikuwa anacheza kwenye simu.
Wakaamua kuwaacha.
Wakazungumza kidogo na Mill, kisha Colins akaenda dirisha
la nyuma alikokaa mtoto wake wa kiume. Colins akamjaribu. “Una game gani
upya?”. Kwa jinsi alivyomuuliza na lugha ya mchezo, fasaha kwake,
kingereza kilichonyooka, yule mtoto akamtizama Colins. Ila akamuuliza kwa
jeuri. “Wewe unajua ipi?” “Huwa nahakikisha nakuwa na kila toleo. Hata hii
waliyotoa juzi ninayo.” Hapo akampata.
“Haiwezekani!!” Akamuuliza kwa kuhamasika haswa. “Ooh
yeah! Siwezi kukosa. Inaniongezea uwezo wa kufikiri na kuweka mawazo
yangu sehemu sahihi.” Hapo akawa kama amembana. Akatulia kidogo kisha
akaongeza. “Game zangu zote zilipotea.” “Hazijapotea. Sema ukweli,
usidanganye.” Mdogo wake akadakia kiushari. “Haimuhusu.” “Inamuhusu kama
umeamua kumwambia.” Wakaanza kubishana hao ndugu wawili.
“Nimekwambia haimuhusu mtu. Acha kuingilia mambo yasiyokuhusu.”
“Trey aliuza. Nishaingilia. Utanifanya nini?” “Eti nini!?” Mill akashituka
sana. “Nakuonya Mia wewe!” Akamtisha mdogo wake kwamba asiseme.
“Utanifanya nini? Utanifanya nini?” “Miles, nyamaza. Haya, Mia niambie.”
Akamgeukia mtoto wake wa kike, huyo Mia.
“Trey alikusanya game zote ulizokuwa umemnunulia
Miles akawa anauza ebay. Umeuza zote. Nikamsemelea kwa mama, mama
akamuuliza, akakataa. Akanichapa akisema mimi namsingizia mwanaume
wake. Ndio Miles alivyoona mama amenichapa sana, akatafuta ushahidi online
mpaka akapata. Akamuonyesha mama. Wakagundua huwa anauza vitu vyetu
vingi tu. Mama akaniomba msamaha, akasema tusimwambie mtu kama Trey
anauza vitu vyetu.”
“Mimi nikamwambia sikubali. Yeye hakuniamini mimi,
alimwamwamini Trey. Nikamwambia akija yule mwanaseheria wako, namtuma aje akwambie
kule ulikokuwa. Akanipiga tena. Akasema nikisema tu, watakuja kutuchukua
pale nyumbani, watatupeleka tukaishi nyumba za watu wengine. Tena watatutenganisha.
Akaniambia nikisema sitakaa nikamuona tena Miles, ule ndio utakuwa mwisho
wetu wakuja kuishi pamoja. Na huko yule mwanasheria wako atakapotupeleka ndio
tutateswa sana. Bora tunyamaze yaishe.” Mill aliumia, aliumia sana,
akashindwa chakujibu.
“Halafu Trey alikuwa akimpiga sana Miles.” “Mia!
Mia wewe!” “Kwani uongo? Unaogopa nini sasa? Kwani atatufuata huku?” “Shauri
yako! Kumbuka mama alivyokwambia.” Hapo wakashangaa ananywea kabisa, mpaka Mill
akashangaa.
Akageuka tena. “Mama yenu aliwaambia nini!?” Kimya.
“Mia?” Baba yake akazidi kumuuliza. Kimya. Akawa kama ameingiwa hofu
kabisa, akanyamaza kabisa, safari hii hakujibu wala kuzungumza tena. Pakazuka
ukimya.
“Ni sawa nikimkaribisha kwangu kwa ajili ya kucheza?
Inaweza saidia.” Colins akamuuliza Mill kwa kiswahili akijua wale watoto
hawaelewi hiyo lugha. Mill alikuwa ameshabadilika kabisa. Macho yamebadilika
yakawa mekundu kama anayezuia machozi.
“Una uhakika? Maana watoto wenyewe ni kama hivyo
unavyowaona.” “Usijali.” Kisha akarudi dirisha alilokuwa amesimama akimwangalia
huyo mtoto. “Hey Miles.” Akamuita taratibu.
“Nina chumba maalumu cha games. Kina kila aina ya game.
Ungependa kuja tucheze wote?” Akamwangalia na kunyamaza. “It’s okay.”
Kimya. “Au unahofia nitakufunga sana?” Hapo akampata. Na alimfanyia makusudi. “No way. Wewe huwezi
kunifunga. Hata kama sijacheza muda mrefu, lakini wananijua mimi. Nilishafika
kwenye level…” Akaanza kujigamba. Akijisifia kwa Colins vile
alivyomahiri kwenye huo ulimwengu wao wa games.
Colins akacheka kwa kumtuliza. “Mimi naona tuache muda
ujibu. Tutakuona.” Akawa amehamasika kwelikweli. Furaha. Na vile lugha yao
wanaelewana, akaonekana kumfurahia Colins.
Kisha akamgeukia baba yake. “Naweza kwenda kucheza naye?”
Na yeye akamgeukia Colins na kumuuliza. “Lini unakuwa na nafasi?” “Ijumaa
wakitoka shule, mimi na anti Kamila tutakuja kuwachukua. Tunaenda kula, ndio
tunakwenda kumtafuta mshindi.” Wakashangaa hilo wamelifurahia haswa. Angalau
Mill akatulia.
~~~~~~~~~~~~~~~
Wazazi walikuja wakiwa na Connie. Wakaingia ibadani,
watoto wametulia tu. Wakaenda kupata mlo wa pamoja, kwenye hoteli ileile
aliyowekewa sumu Jelini lakini Colins akawa ameshatengeneza urafiki na yule
mwenye hoteli. Alipapenda tokea mwanzo, akaona madhari yake yangemfaa
Mill na wanae. Kwamba watoto wangepata kitu cha kuwafurahisha.
Ila akagundua Kamila amepoa! Akamtumia ujumbe katikati ya
kundi hilo la watu. ‘Upo mbali na hapa!’ Akasoma
na kumuona anatabasamu. Akamjibu, ‘Nipo sawa tu.’ Wakatulia, macho kwake muda wote. Kisha akamuomba Mill
kama wanaweza kuzungumza pembeni. Wakatoka wao wawili wakitembea ufukweni,
Kamila akiangalia watoto.
Colins & Mill.
“Samahani sana kwa tabia za watoto wangu.” “Mill, hawa
watoto wana nafasi kubwa sana ya kukua. Tafadhali kwangu na kwa familia hii
inayokuzunguka sasahivi, huhitaji kujificha wala kuomba msamaha. Sasahivi hawa
watoto ni jukumu letu wote. Kama unadhania ni aibu, basi
jua ni aibu yetu wote.”
“Inaniuma Colins, inaniuma sana. Sikujua kama
walikuwa wakitesa wanangu! Na sijui walikuwa wakiwaambia nini kiasi cha kuwatisha
mpaka wanaogopa kuzungumza!” “Muda utajibu Mill. Ninachoona kikubwa wanahitaji uhakika
kuwa kule hawatarudi tena, na wewe hutakaa ukawaacha tena.
Wakihakikishiwa hilo, utaona wanatulia. Kwa kuwatizama kwa haraka, ni kama
wanahofia walipo. Hawana uhakika na usalama wao. Kama wewe upo na hutawaacha
tena.”
“Kingine, kumbuka kule mlikokuwa mkiishi, ndugu wa upande
wako waliyemuona ni Mike na Kamila. Nao wakapotea. Wakabakiwa na
mama yao na watu wake. Hawana uhakika kama ukija ondoka tena, wanabakiwa na
nani, isipokuwa kurudi kulekule. Na kingine, wewe unajua waliwaambia nini ulipoondoka?
Mahali ulipo?” “Aisee nimerudi na mambo mengi! Yaani leo ndio hata
nimejua kama walikuwa wakipiga wanangu na kuuza vitu vyao!”
“Sasa hilo ndilo la msingi. Pata nao muda wao kama wao.
Kibinafsi kabisa. Ukiweza shuka kwenye ngazi yao. Unaweza kuwapata kirahisi.”
“Unafikiri sijajaribu! Ni kama kumejengwa ukuta katikati yetu, na sijui
jinsi ya kuuvunja. Tukiwa sisi watatu hatuzungumzi kabisa, bora Mia huwa
anaweza hata sema njaa inamuuma, lakini si Miles! Amebadilika kabisa. Muda wote
anajifungia chumbani kwake, na hataki mtu amuingilie.”
“Basi kumbe wazo la kuwatoa sio baya!” “Nimeshangaa wewe
amekukubalia! Mkali kwa kila mfanyakazi ninayempelekea. Mkali kwa kila
mtu, angalau kidogo kwa Mia ndio anajitahidi naye. Ila si vinginevyo.”
“Wape muda, wanaweza badilika mpaka wakakushangaza na wewe.” “Aisee nasubiria
kwa hamu sana.” Wakatulia wakiendelea kutembea.
~~~~~~~~~~~~~~~
“Nampenda Kamila.” Mills akamwangalia. Kama akataka
kusema kitu, akakwama. “Nataka kumuoa.” Akaongeza. Mills alinyamaza kama
aliyeshitukizwa, hakutegemea. “Nataka iwe mapema. Nikimaanisha sitasubiri.”
“Utanisamehe kama nitavuka mipaka Colins. Lakini nina deni kwa Mike, lazima
nimwangalie Kamila, bila ya kuzembea japo najua umemsaidia sana Kamila,
ila ujue nawajibika kwake.” “Na mimi nitaliheshimu hilo.”
“Sasa mbona ni kama nilisikia yupo mwanamke kwenye maisha
yako, huna nafasi ya yeyote yule. Iweje leo gafla unaniambia unataka kumuoa
Kamila?!” Kabla hajajibu akaongeza. “Si kwa kukutisha, ila Kamila alipendwa
na Mike. Mimi na utuuzima huu, sijawahi ona mwanadamu aliyempenda
mwanadamu mwenzie kama Mike alivyompenda Kamila. Ni nini nataka kusema?”
Colins kimya akimsikiliza.
“Mapenzi ya kuungaunga, jua wazi utamtesa
yule binti. Na Kamila ni msichana mtaratibu sana. Namfahamu kwa kuishi
naye. Na namfahamu kwa asilimia nyingi kwa kumuona mwenyewe na kuhakikishiwa
na Mike. Kama nilivyokwambia, nina deni ambalo siwezi ondoka hapa
duniani, sijalilipa. Wewe unaonekana ni mtu mzuri sana. Sitaki tuje
tukosane.”
~~~~~~~~~~~~~~~
INAENDELEA.
0 Comments:
Post a Comment