Joshua na Geb waliandaa harusi hiyo kwa kiwango cha juu
sana. Kitu kidogo, cha thamani. Suti yenyewe aliyokuwa amevaa Bale,
ungejua maandalizi yake yameandaliwa na watu walio nazo.
Vai alishafanyiwa shuguli ya fujo, huko kwao Moshi, mama
yake alifanya sherehe ya fungulia mbwa, akitangaza neema kwenye uzao
wake. Alishatangulia James. Amemuozesha, akabakiwa na mabinti wawili,
hatimae kiziwanda naye akawa anaolewa! Basi mama James alijawa majigambo,
hata ubahili aliweka pembeni kumsaidia James kuandaa hiyo shuguli ya kumuaga
binti yake huko mjini Moshi.
Walikodi ukumbi, vyakula vikawa vingi vyakusaza.
Nako huko Vai alipendeza sana, kwani Jema naye alihakikisha wanaandaa vizuri
akijua kina Naya nao wamejiandaa.
Nanaa akagawana na mumewe. Yeye akasaidiana na Jema
kuandaa mambo ya nyumbani na James. Geb na Joshua ndio walikuwa wakiandaa
harusi. Pesa ipo, ikawa ni kuwaza tu, wafanye jambo zuri. Na kweli wakafanikiwa
kwenye sendoff, ikaenda vizuri na kuwawakilisha huo upande wa bibi
harusi ipasavyo.
Hapo James amesimama, mwepesii, tena kiufahari kwa ukoo
wao, mtoto wa kwanza wa kiume, akisubiri
dada yake aingie, ndoa ifunge, ameshamaliza jukumu la kumuaga dada yake,
tena alilimaliza kwa heshima akiwa mstari wa mbele akisaidiana na baba yao
mzazi. Na alishahudhuria bachelor party ya Bale. Nayo walimfanyia kama
shemeji yake, James, ambaye alioa akiwa hajawahi kufanya mapenzi na
mwanamke yeyote, Jema ndio mwanamke wake wa kwanza.
Na yeye Bale akapitishwa kwenye shule ya undani
tena kwa kina bila kufishwa. Jinsi ya kumchezea mkewe bila kinyaa
wala aibu. Akasisitiziwa kuacha mazoea na uvivu akifupisha
romance kabla ya tendo la ndoa.
Hapo amesimama akimsubiria Vai ampe kiapo chake, lakini ashajua
chakufanya usiku huo. Hawakutaka kufanya harusi ya usiku. Ilikuwa ikifungwa saa
nne asubuhi, kisha sherehe fupi hapohapo nyumbani kwa Kumu, kisha chakula cha
pamoja cha mchana, mawili hao waende kujifungia mahali kwa siku mbili, kisha
safari ya fungate ndio ianze, Kumu akiwa ndio mlipa garama.
Wasimamizi wote walishakuwa wamesimama sehemu ya juu ya kufungia
harusi, wakimsubiria Vai na baba yake.
Mpiga kinanda alipoanza tu, wote wakasimama wakijua ndio
bibi harusi anaingia. Mapigo ya Bale yakaanza kwenda kasi. Huyo Vai hakuwa
amemuona takribani siku 7 tokea alipokwenda kwao Moshi. Alishakuwa na hamu
naye, hana maelezo.
Moyo ukajawa furaha kadiri alipokuwa akitembea akiwa
ameshikwa mkono na baba yake wakimsogelea. Akajikuta amejawa tabasamu la wazi
kabisa. Hatimaye Bale akakabidhiwa mke waliyekuwa wakijuana mapungufu yao,
hakuna siri ila mapenzi matupu.
~~~~~~~~~~~~~~~
Sherehe ikawa nzuri na yakufana. Vai aliyekuwa amezoea kuchezea
ligi kuu za Uingereza, hakuwa na tumaini kubwa sana na mchezo wa usiku
huo, akijua Bale ni mgeni. Ila tu ikabaki furaha kwamba na yeye
anaolewa, tena anaolewa na Bale aliyemkubali alivyo, akijua hana uwezo wa
kuzaa. Hana chakujificha kwake.
Lakini tumaini lilianza kidogo jinsi alivyoweza kumkiss
baada ya kufungishwa ndoa. Wakiwa wameshotoa viapo vyao. Bale alilitendea haki
hilo kiss mpaka akamshangaza Vai.
Kwa kituo bila papara.
Mvumilivu Anakula Mbivu Na Baraka Za Mungu Juu Yao.
Sasa mlango wa chumbani ulipofungwa, kwamba ndio
wamebakia wao wawili, akashangaa uchangamfu wa bila maneno ukaanza kutoka kwa
Bale aliyejua yupo viwanja vya ugenini asijue mwenzie alishaupangilia
huo usiku kwa muda mrefu, na hapo ana shule ya kutosha.
Vai alianza kwa kucheka kadiri alipokuwa akimnyonya
shingoni, midomoni, huku akimtoa nguo. Vicheko vilianza kupungua, pale alipotua
kwenye chuchu, mkono ndani ya chupi akipekenya tamu yake kama pipi. Na
yeye akawa kama amemfanyia kusudi, kumbakisha na chupi tu.
Taratibu mpaka kitandani huku aking’ang’ania kunyonya
ulimi wake, mkono unaendelea na kazi yake ndani ya chupi. Kabla hajamuweka
kitandani, Vai akaona anamchelewesha, akatoa chupi yeye mwenyewe huku
akigugumia. Akamuweka kitandani haraka sana akapanua miguu kwa haraka, mwenzie
ana nguo!
Akaanza kumng’ang’ania zipu ya suruli kama achomoe, Bale
akaongeza nguvu akimsugua kwenye kijimrija cha sehemu ya kukojolea bila
kupotea japo alikuwa akiteleza sababu alikuwa akitokwa ute kupitiliza.
Akamfanyia hivyo kwa muda akamuona anakakamaa, mikono ametoa kwenye suruali,
amemshika kwa nguvu mpaka akapata bao ambalo hakutegemea. Alipotulia
ndipo akatoa mdomo kwenye chuchu na mkono huko chini, Vai anahema haswa.
Akaanza kujitoa nguo zake na kurudi kitandani. Ikawa kama
na yeye amezidiwa, akakimbilia matiti alikoona huwa akipitisha mdomo
huko anaishiwa nguvu kwa haraka, akaingia yeye mwenyewe akitetemeka.
Vai anawaka kwelikweli hapo kitandani anakomulikwa
na taa. Chuchu za rangi ya pinki, mwenyewe Bale alikuwa kama ana njaa wakati
ametoka kula! Akashindwa kutoa mdomo, mzee anasugua chini. Bale hajawahi onja joto
la mtoto wa kike, akasalimu amri kwa haraka sana mpaka akajisikia vibaya
mbele ya Vai.
Vai alipomuona anakosa raha, na ujasiri kupungua, akaanza
yeye utundu mpaka mzee akaamka tena, akamuweka chali na kumkalia. Alijizungusha
mtoto wa kike akijipimia, akashangaa Bale anapiga magoti, akamuweka
mbele yake. Akawa amemkalia ila amempa mgongo.
Alikuwa akimpapasa kwa hisia, huku Vai akiendelea kujizungushia
mzee kalengeshwa golini, akiikatikia huku akinyanyuka kidogo na
kukaa. Mikono ya Bale ikawa huru kufanya anachotaka kwenye huo mwili
huku akimnyonya maeneo ya nyuma ya shingo mpaka mgongoni alipomgeukia. Mkono
mmoja matitini, mwingine mbele kwenye tamu ya Vai.
Iliyokuwa ikisikika hapo ni miguno ya utamu. Vai mlalamikaji
kwenye raha, hajiwezi akichezewa kinembe. Mlowaji wa haraka kwa
sababu ya hisia nzito alizokuwa amezibeba kwa Bale, akisubiria
hilo penzi. Naye Mungu hakumpunja kwa uume wa mumewe. Ukamtoshea kwa
raha kama zote! Ile hali ya utelezi na uchezaji wa Vai, na huku akimchezea kama
mwanzo, akaanza Vai mwenyewe kupiga bao. Ile kelele nzuri, ikamfanya na Bale
naye apate la pili, wakajitupa pembeni wanahema.
“Nimekumisi Bale! Siku 7 bila wewe!” “Mimi ndio zaidi.
Nakupenda Vai! Nakupenda sana! Halafu kumbe ndio mzuri hivyo mpaka ndani!”
Vai akacheka sana kwa aibu akijificha pembeni yake. “Hakika nakupenda Vai. Na asante
umenikubali.” “Na wewe asante kunipokea nilivyo.” Wakaanza kukiss.
Safari hii ikawa kiss ya muda mrefu haswa wakiwa wamekumbatina hapo
kitandani, kiubaridi cha A/C kikiwasaidia wasitokwe jasho la kukera.
Huku Kwa Colins
Ilipofika majira ya saa moja, akiwa bado ofisini akapokea
simu kutoka kwa Peter yule mwenye hoteli. “Najua hunifahamu, Colins
ndugu yangu, lakini sina jinsi ya kukushukuru. Yaani wewe ukifika pale hotelini
kwangu, kula na kunywa yako yote ni juu yangu.”
Akacheka alivyomsikia mpaka sauti imebadilika.
“Naona na
sauti imetoka kabisa!” “Aisee sisi tulipotoka hapo kwako, tulijiongeza.
Nilitafuta ndugu zangu polisi, nikawaonyesha ile video, nikawapa na motisha
kidogo, wakaenda kukamata wale wanawake wawili. Mmoja alikuwa ndio
ametoka hospitalini, lakini wakahakikisha wanawakamata. Wameshikiliwa tena na
polisi. Wanasema wale ni wauuaji, hawawezi kukaa nje bila ulinzi.
Wanaweza dhuru mtu mwingine.”
Colins alifurahia, asiamini!
“Haiwezekani!”
“Jamaa wote pale kituo cha polisi walinishauri nichangamke lasivyo wale
wanawake wanaweza nirudisha migombani.” Lafudhi
ya kichaga iliweza kusikika bayana. Colins akacheka sana kwa ushindi. “Kama
walivyoniwahi mara ya kwanza, na mimi nimewawahi.” “Sasa na yule wakili wako
asichelewe.” “Mbona ameshafanya kama ulivyomshauri! Amemtafuta hakimu na
kumwambia amepata ushahidi mpya tena wa hakika. Hapa tunapozungumza, ushindi
upo upande wangu kabisa.”
Wakati Wakuvuna Kila Mmoja alichopanda.
Alifurahi Colins, ikawa kama ametuliwa mzigo mzito. Love
na Kemi wametoka mtaani! Alitamani kuruka ruka akifurahia uvunaji
wao. Hatimaye amefanikiwa kuwafikisha kwenye mavuno yao. Na Jelini amefanikiwa kumpatia haki yake. Safari
hii atakapoitwa mahakamani, hatafika mnyonge tena, ila mshindi. Akajikuta
akivuta pumzi kwa nguvu sana na kuzishusha taratibu.
Akabaki akifikiria. Akajikuta ni kama kilichokuwa
kikimzuia asiwe na furaha, KIMEISHA. Ukweli ukabaki palepale, Jelini hatakaa akamrudia tena.
Ezra ameshikilia kweli kweli! Kinachomzuia na yeye kuendelea na maisha
yake ni nini! Akaona mama yake yupo sahihi.
“Kama Kamila
aliyependwa hivyo, yupo tayari kuendelea!” Colins akawaza huku akijisuta
akirudia maneno ya mama yake. “Sembuse mimi niliyepitishwa kwenye machungu
tokea mwanzo, nazuiliwa na nini! Ni kweli sijui hata raha ya mapenzi! Kwamba
nikaishi na mwanamke akanipenda na kunitunza, akinisubiri kwa kunivumilia kama
hivyo Kamila!” Akazidi kujitia morari mwenyewe.
~~~~~~~~~~~~~~~
Akatoka kurudi nyumbani akiwa amekusudia mwanzo wa zaidi
ya muvi za kifilipino. “Huyu Kamila si anadhani alipendwa na
Mike!” Colins akazidi kujipampisha. Akiandaa usiku huo wa mapinduzi.
Akafanya yake huko mtaani akitaka kumfurahisha Kamila, kwa manunuzi ya kipekee.
Si kitajiri kama alivyozoeshwa na Mike, lakini very romantic.
Akaangalia muda, akaona itoshe, awahi kurudi nyumbani kwa
haraka akitarajia kumkuta Kamila lakini mpaka anafika nyumbani, bado hakuwa
amerudi. “Salimia watoto ya muda wote huo!” Akajinung’unisha. “Huyu
Mill asije jinufaisha na upweke wa Kamila.” Gafla haamini mtu na Kamila
aliyekuwa naye siku zote! Akaendelea kuwaza akiangalia muda na kuzunguka humo
ndani. Mwishoe akahisi watamshitukia. Akatoka na laptop yake na kukaa kwenye
meza ya kulia chakula, akimsubiria Kamila huku akijifanya busy na ya
msingi. Kumbe akili ipo alipo Kamila na Mill.
~~~~~~~~~~~~~~~
Mama yake huwahi
kutoka. Saa nane mchana, kazi huwa amemaliza. Mzee yeye ndio anafanya kazi
kwenye hospitali tatu. Akimaliza kwenye hospitali kuu ya Muhimbili, basi
hufanya kliniki ya mambo ya moyo kwenye hospitali nyingine mbili mbali na hiyo
yao. Kwa hiyo kwenye mida ya saa mbili usiku ndio anakua anaingia nyumbani.
~~~~~~~~~~~~~~~
Akamkuta Colins mezani na laptop yake. “Vipi?” “Safi tu,
shikamoo.” “Marahaba. Unahama lini?” Akitegemea ni swali rahisi ambalo lingemchangamsha,
ila akamuona amenyamaza. Akashindwa kuelewa.
“Pesa hizi huwa hazitoshei Colins! Hata kama unataka
kufanyia biashara ile nyumba, inaweza kusubiri.” “Tatizo sio pesa.” Akajibu
hivyo bila yakumuangalia baba yake na kuendelea na yake kwenye laptop. Mzee
akataka kuuliza zaidi juu ya hilo, akaona anyamaze.
“Mama yako yuko wapi?” “Amepita hapa sasahivi, yupo
chumbani kwenu.” Mzee akamfuata mkewe.
~~~~~~~~~~~~~~~
“Huyu vipi mbona tena hana haraka ya kuhama!?” Akanong’ona akimuuliza mkewe. “Nafikiri ni sababu ya Kamila
tu, vile alivyokataa kuhama naye. Ndio amekwama. Na najua ni
sababu ya kugomba kwake huko, amemtisha
mtoto wa watu, na Jelini haimtoki
mdomoni. Ndio unamuona amekwama hapa!” Mzee akazidi kuumia akijutia.
Akakaa kabisa. “Nimemuharibia maisha yake!” Akawaza kwa sauti. “Lakini mimi
nilijua namsaidia!” Akaendelea kusononeka. “Njoo hapa baba Coly.” Akatoka
kabisa, ikabidi amfuate. Mpaka alipokuwa amekaa Colins.
Hakuna Jinsi Ya Kutengeneza Nyuma.
“Kaa hapo, mimi nataka kuzungumza na nyinyi wote wawili.”
Mzee akabaki na mshangao usoni. “Kaa
Henry!” “Ukishaniita jina langu nakua kama nipo matatizoni! Sasa safari
hii nimefanyaje tena!?” Colins
akabaki akiwatizama.
“Nitakwambia kama nilivyomwambia Colins. Hapo mlipo wewe
na Colins, lazima mtoke. Wote wawili mmekwama, na wala haiwasaidii.
Tupende tusipende ukweli ni kwamba tumeshaharibu,
hatuwezi kutengeneza, na Jelini anaolewa. Umenisikia Colins? Na kabla
hujajibu.” Akamgeukia mumewe.
“Japokuwa Love amekosea
sana, ameingiza familia yake kwenye matatizo na aibu yote hiyo, Simba na mkewe wamesamehe
makosa wanaendelea kupambana kumsaidia
binti yao. Wamefanikiwa kumtoa jela, wapo naye siku nzima hospitalini, wakimuuguza.
Nyinyi mmebaki mnapambana, na vita yenu haiishi.” Kimya
akisikiliza akijua bado hawajui kilichompata Love.
“Sio mimi, ni Colins ndio hataki kunisamehe!” Mzee
akajikuta akisemelezea kama mtoto. “Wewe…” “Subirini kwanza. Maana nyinyi
wawili nawajua. Hamtakaa mkamaliza na mnamfanya Connie anashindwa kurudi
nyumbani.”
“Mimi sijamzuia
kurudi nyumbani!” “Kweli Coly!?” Akamuuliza kwa kumsuta. Akajirudi. “Ameniumiza
mama!” “Sasa utakaa na jambo hilo mpaka lini? Mwenzio anahamu na wewe,
anakazi ya kunisumbua! Haishi kuja
kazini kwangu anakulilia. Na wewe mwenyewe ndiye uliyemzoesha vibaya,
umemlemaza mwenzio, hawezi kuishi
bila wewe.” “Mbona aliishi karibia mwaka mzima bila kujua nilipo?”
“Coly, ni vile umekasirika, umekataa kuelewa ukweli. Hapakuwa na mazingira ya kukufikia
mwanangu! Na usifikiri ilikuwa rahisi kwetu kuishi bila kujua ulipo.
Lakini kina Simba walikuficha
kwelikweli, na uongo wakupitiliza. Muulize baba yako kama sikumpigia
simu nikiwa Kigamboni nakutafuta, nalia,
usiku, sikuoni, na bado wananidanganya. Nikamwambia baba yako, nina hisia
mbaya, zinanisumbua juu yako, kuna
kitu hakipo sawa.”
“Hapo nilikuwa nazunguka kama mwehu, na pale hospitalini ulipo
sasa ni kama wote walionywa waseme
walichoambiwa. Unafikiri wananiita mvivu
pale kazini kwa kusingiziwa?” Kimya.
“Nilikuwa natoka mida ya kazi, tofauti tofauti ili kuona
kama nitakukuta popote! Nilikuwa nikikufuata mida tofauti tofauti kila mahali
ili tu kuhakikisha sidanganywi, ni kweli upo busy, na ni mzima.
Nilifanya hivyo kwa muda mpaka nikaridhia kuna jambo halipo sawa.”
“Muulize
huyu kama sikumtoa kwenye kliniki zake nikamwambia lazima atoke, anitafutie
mwanangu mpaka nimpate, kuna jambo halipo sawa! Napo pia alidanganywa,
ndio na yeye akafanya kama mimi. Kuvizia pale mlipokuwa mkiishi na Love, mpaka
akakupata. Ulitaka nifanye nini Coly?” Mpaka
mama yake akaanza kulia tena.
“Basi mama yameisha. Nimeelewa. Na samahani kwa kukuku…” Akanyamaza.
“Sasa hapo lazima uombe msamaha
wakueleweka Colins.” “Baba!” “Sasa unaombaje msamaha wa hivyo?! Umemkosea
sana mama yako.” Wakaanza kulumbana tena hao wawili hawamalizi.
“Bora nife,
naona ndio mtaridhika na ndio kutakuwa na amani humu ndani.” Wote
wakanyamaza. “Basi mama. Mimi nimekosa.” Mzee akakohoa kama anayemuuliza
umekosa nini. Colins akamwangalia na kutingisha kichwa kwa masikitiko kama
amjibu, ila akaendelea.
“Nimekosa mama. Nimekuvunjia
heshima.” Mzee akakohoa tena. Colins akaelewa. “Nilikukaripia. Niliacha mtu mwingine aniuguze. Nimekulaumu.
Haya, kingine ni nini baba?” “Naona hayo ndio makosa yako makubwa.”
“Kweli baba!?” Colins akashangaa, asiamini.
“Kwahiyo unataka tuendelee tena, ili uje uombe tena
msamaha hapa?” “Sawa. Mimi naomba yaishe.” “Unamaanisha kwetu sote!?
Yaani familia nzima au?” Mzee akachomekea. Akanyamaza akiuma
meno.
“Wewe muweke wazi
mama yako jinsi unavyotaka yaishe.” “Baba wewe una…” Akaona anyamaze. “Sema
tu. Na leo ijulikane anayetaka kuendelea kumuumiza
mama yako ni nani, ili isije tokea kuja kulaumiana
baadaye, mambo yanapokuja kuharibika.” “Wala hakuna litakaloharibika.
Nitakufa kwa pressure isiyoweza kushuka, wote tupumzike. Na kama
hamjajua, nyinyi wawili ndio mnaoharibu amani ya humu ndani,
mpaka na wageni nao wanashindwa kuishi humu.”
“Mbona mimi nimeshaomba msamaha mama! Na nimeomba
yaishe.” “Yanaishaje nusunusu?” “Naona tuanze mimi na wewe mama.” Mzee akacheka
sana na kuongeza. “Kwamba mimi na Connie ndio tunabakia kuwa wabaya
wako?” Colins hakujibu ila akaendelea na mama yake.
“Umeridhika mama?” “Mimi hivyo vya msamaha wa
nusunusu siviwezi Colins. Wewe unauwezo wa kurudisha amani
humu ndani au kuendelea kupoteza na kuumiza watu, wakati wenzetu wote maisha
yao yanaendelea vizuri.” “Hujui kilio walicho nacho kina Simba usiku huu.”
Wakashituka sana.
“Kwa nini tena!?” “Jioni hii Love amerudi tena rumande.
Na wala hatakaa akatoka TENA, kuja kumdhuru mtu mwingine. Nitahakikisha
maisha yake yanaishia jela daima.” Wote wakabaki wakimwangalia kwa
mshangao mkubwa kama walioona chatu ndani ya nyumba.
“Na katika ‘hili’ naomba usiingilie mama. Ni bora kumsamehe
Connie kuliko Love.” “Mbona mimi ambaye nataka amani ndio hunitaji!?”
“Wewe ni chanzo cha yote baba.” “Kwa kukupenda na kukujali
nikikuwazia mema ya baadaye ndio kosa langu?” “Kwa kutonisikiliza mimi
na kumsikiliza Love.” Wakaanza tena kubishana, hawamalizi. Wakamuona Mama
Colins ananyanyuka.
Colins akasimama kwa haraka na kumuwahi. “Mama! Mama!”
“Acha nikuache Coly. Naona umeamua kuangamiza hii familia. Acha
nikuache. Lakini hivi sivyo tulivyokutegemea. Tulijua tumepata mtoto wa
kiume wa kwanza, utaendesha hii familia vizuri. Lakini naona umeamua kuingamiza.
Yaani wewe dada mmoja tu anakushinda kweli!? Je ungekua mrithi wa ndugu 11
kama Joseph aliyeuzwa na ndugu zake utumwani?”
“Akateseka mpaka
kufungwa jela kwa makosa ya kusingiziwa tu. Tena kote huko anapata
shida, wala si siku moja au mwaka! Ni miaka anateseka akiwa amesababishiwa na
ndugu zake! Mbona yeye alisamehe ndugu zake wote na kufanyika msaada
mkubwa sana kwa familia yake hiyohiyo iliyo mfanyia ubaya kuliko huu
wetu!? Wewe tunakwambia tulifanya kwa upendo, unashindwa kusamehe!?”
“Basi mama. Yameisha. Baba naomba usiongeze neno.
Wewe nyamaza kabisa. Ila mama jua nimesamehe. Hutanisikia nikigomba tena.” “Na
Connie?” Akanyamaza. “Colins?” “Nitamtafuta.” “Labda ungempa mama yako siku
unayopanga kumtafuta Connie.” “Baba?” “Ni wazo tu! Mbona ukali tena!?”
Akamtizama, hakumjibu, akamgeukia mama yake.
“Wewe usiwe na
wasiwasi mama. Nitamtafuta.” “Lini?” Mama yake akauliza. “Kwa sasa nina mambo
meng..” Mzee akakohoa tena. Mpaka akamfanya Colins akacheka kwa masikitiko.
Akamgeukia mama yake na kumshika kwa upendo. “Unataka
tukazungumze tukiwa peke yetu? Mimi na wewe tu. Kwa utulivu.” Akamuuliza kwa kumbembeleza.
“Unataka kwenda kumdanganya mama yako huko! Ukamrubuni kwa maneno
ya kumbembeleza mpaka umpoteze malengo. Wewe zungumza hapa tumalize,
ndio muondoke. Na nakuhakikishia itakusaidia wewe mwenyewe.” Hata hakumgeukia
baba yake, wala kumjibu.
Akaendelea na mama yake. “Eti mama? Twende?” “Inamaana
wewe upo busy kiasi chakushindwa kumtafuta dada yako na kumjulia hali
tu?!” Mama yake hakusogea, akamuuliza swali akijua mumewe yupo sahihi.
Akiondoka naye tu hapo, ndio basi.
“Eti Coly?” “Basi namtumia ujumbe sasahivi kumtakia usiku
mwema.” Mama yake akabaki amesimama. “Kwamba unasubiria!?” “Si umesema
sasahivi, au unanidanganya? Mwenzio yupo kipindi cha mwisho huko chuoni.
Akili haijatulia. Kweli wewe unashindwa kumtuliza akamaliza shule yake vizuri,
na mimi nikajivunia mwanangu!? Watatucheka familia yetu mpaka lini?!”
“Basi mama.” Akavuta simu ilikuwa mezani pembeni ya
laptop. Akaanza kuandika. “Ungempigia kabisa, ndio ingekuwa vizuri zaidi.”
“Naomba baba wewe usiingilie kabisa. Tafadhali sana. Nyamaza.” “Kwamba
wewe unaona shida kusikia sauti ya dada yako?” Mama mtu akauliza. Colins
akamwangalia baba yake akamkuta anacheka kama wasimuone. Alipoona anamwangalia
akaacha kucheka na kumuuliza. “Mimi nimetoa wazo. Kosa langu ni nini?” Akajishauri
akionekana anapata uzito, ila akapiga.
“Coly!” Connie akampokea kwa haraka na kwa upendo kama aliyekuwa
na simu mkononi. “Vipi? Unaendeleaje?” “Nimekuumiza,
lakini unajua nakupenda Coly. Naomba nisamehe.” Connie akaanza kwa kubembeleza sauti kama mama yake.
Wakamuona anaondoka hapo kuelekea chumbani. Wakajua amelainika,
anakwenda kuweka mambo sawa.
~~~~~~~~~~~~~~~
“Asante.” Mzee akanong’ona. “Tafadhali usirudie tena baba
Colins. Umeingiza familia kwenye…” “Kwa hiyo na wewe umeamua kumpokea
mwanao?” Mama Colins akamwangalia na kuanza kuondoka.
“Mbona mimi hujanirekebishia, unaondoka?!”
“Nimekurekebishia kwa Connie, mwanao. Ridhika.” “Hii familia inapenda
kunitenga! Misamaha yenu ya upendeleo upendeleo!” “Wewe endelea kufanya
kwa vitendo. Maneno huyo yamemchosha.” Akaingia chumbani kwake,
mzee akafuata.
~~~~~~~~~~~~~~~
Inaendelea…
![]() |
0 Comments:
Post a Comment