“Vipi Jelini?”
“Nimelala sana. Ila nilikusikia usiku ukinisomea kitabu ila nilikuwa
nikishindwa kufungua macho.” Zenda akacheka taratibu asijue Jelini anajaribu
kumpooza maana alimjua Zenda kwa wivu. “Vipi maumivu?” Ikabidi Colins asogee
maana alijaa hapo kwenye kitanda! “Sisikii kabisa ila usingizi tu.” “Pole. Wape
hizo siku tatu, wakulaze tu ili usiteseke maumivu.” “Unaondoka?” “Nitajitahidi
kuwahi kurudi.” “Hapana. Fanya kazi. Mimi utanikuta hapahapa. Sitoroki.”
Wakacheka. Zenda akatamani kumbusu, lakini mama Jema alikuwepo na Colins amejaa
hana hata mpango wa kuondoka. Akamshika mkono na kumbusu. Jelini akacheka
taratibu. “Jitahidi ule. Ukiwa macho unipigie simu, nikusikie.” “Nitajitahidi.”
Zenda akatamani kumfukuza Colins aondoke pale, akashindwa aanzeje. Au abaki na
yeye! Lakini alishaaga.
“Kukiwa na uhitaji
wowote tafadhali msisite kunipigia, na wauguzi pia wanayo namba yangu.
Nimewaambia kukitokea mabadiliko yeyote yale, nijulishwe kwa haraka. “Wala
usiwe na wasiwasi. Huyu atakuwa sawa tu. Nitamuosha na kumlisha, ndio arudi
kulala. Atakuwa sawa tu, wewe katulie kazini.” “Nashukuru.” Akamgeukia Colins.
“Tunaweza kuongozana tu ili kumpisha mama, amsaidie Jelini kujisafi.”
Akamwambia Colins kiungwana lakini ndio alikuwa akimfukuza pale. Mama Jema
hakutegemea. Akapigwa na bumbuwazi. Na Zenda alivyo, akamsubiri Colins atoke
mlangoni ndipo akafuata na yeye akatoka na kufunga mlango.
Mama Jema akabaki
ametoa macho mdomo wazi. “Jelini!” “Ana wivu wa kupindukia na hajifichi. Sasa
mimi kumsaidia, simu zake zote nampigia kwa video au kupokea video.” Mama Jema
akaanza kucheka. “Sasa na huyu kijana naye mwenye sura ya kike naye ni nini?” “Yupo
hivyo na sura yake hivyohivyo. Anafanya kazi na shem.” “Mbona hilo nalijua.
Stori yake naye ni ipi!?” “Wala si ndefu. Wewe nisafishe mama yangu.” “Ila
Colins mzuri bwana huyu kijana! Midomo ya pinki kama kapaka rangi ya midomo! Macho!
Yupo kama mtoto wa kike! Ila sauti sasa! Ikajaa chumba kizima, tena
yakubembeleza!” “Acha kunichombeza mama Jema, kunitoa maneno! Mwenzio
mgonjwa.” Wakaanza kucheka.
Ipo Garama Ya Kulipa Kupata Amani/Upendo.
Kwenye mida ya saa
nne asubuhi mama Jema akiwa amejikalia peke yake akaingia mama G na Nanaa. “Jema
aliniambia mtakuja, niwasubirie nisitoke kabisa.” “Ulikuwa ukienda wapi? Maana kama
ni kitu chakununua mimi naweza kukimbia nikakununulia.” Nanaa akawahi. “Ni
chakula tu. Niliondoka nyumbani mbiombio kumuwahi huyu, sikufanikiwa kula.” “Basi
hicho tumekuletea chakutosha.” Mama G alijiandaa kwelikweli kwa mapishi, wakati
Nanaa akijituma kitandani, alfajiri hiyo kwa mumewe.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Tena kwa raha zote
baada ya kulala kwa furaha ya angalau amezungumza na Jema, akajituma kwelikweli
mpaka Geb akajua mkewe amerudia hali yake. Halafu likawa penzi la kushitukizwa,
wala hakuomba. Geb mpenda usingizi kama mwanae Liv, alitolewa usingizini na
midomo ya Nanaa. Alimtoa nguo ya chini ya kulalia, akaanza kula tamu yake
taratibu. Akidhani ni ndotoni, akanyoosha mkono kumgusa mkewe akijua amelala
pembeni yake, bila kufungua macho, alipomkosa pembeni yake ndipo akili ikamjia si
ndoto. Nanaa wake amerudi. Akaanza kucheka usingizini.
Akajiweka sawa, chali
ili asijipunje. “Unapenda raha wewe!” Akamsikia Nanaa akiongea ndani ya shuka
chini. “Kutoka kwako, sijivungi mama. Wewe endelea na yako, mimi nakutengea tu.”
Akamsikia Nanaa anacheka na kurudisha mdomoni. Alipohakikisha mashine imewaka
vilivyo, akataka kumkalia akiwa uchi kabisa. Na Geb aliipenda hiyo staili pia. Akiwa
amelala, basi autazame mwili wa mkewe ukiwa mtupu kwa juu, akiwa amemkalia. Basi
atamtizama penzi likiendelea kwa muda akimshika na matiti. Na Nanaa alimjua. Hachukui
muda mrefu hapo, atakaa ili ampakate, aweke ziwa mdomoni, aendeleze mchezo
mpaka apate kimoja, ndipo anabadili mchezo. Kama hatarudia, basi atamuinamisha
mkewe ashike matako akiangalia kiuno au atarudia yakumpakata ili apate vyote
kwa wakati mmoja.
Lakini asubuhi hiyo
Nanaa akawa amechochea penzi. Mla ugali huyo kila siku, akaamka na
nguvu. Hakutaka vya haraka, wakati akijiandaa kumkalia, akamdaka na kumlaza
chali, na yeye akaingia chuvuni huku mkono ukivuta rimoti kuwasha tv kupunguza
kelele za Nanaa, maana alijua baada ya muda mfupi tu, atamchanganya. Ikawa kweli.
Geb alimchezea mpaka akampatia, Nanaa aliyekuwa hana hata wazo la bao asubuhi
hiyo ila tu kutaka kumuweka sawa mumewe, akatulizwa mpaka akarudisha akili
kwenye penzi. Akamchochochea kwa midomo, mpaka akamwaga mambo hadharani, Geb
akamuinamisha bila kusubiri atulie. Nanaa akajua asubuhi hiyo sio bao moja. Mumewe
hafungi penzi bila ya ziwa mdomoni. Hapo ndio anakuwa amekata kiu ya wakati
huo.
Alikwenda mwendo
mzuri, mpaka Nanaa akasikia raha tena. Akiwa ametoka tu kupiga bao, lakini
akaamshwa tena hisia. Geb akaendeleza mchezo kwa muda mrefu mpaka
akamshangaza Nanaa. Akamuweka chali na kumnyanyua miguu, akaibeba. Hapo ndipo
akamchanganya zaidi Nanaa aliyelianzisha mwenyewe. Akajisahau ni mama wa watoto
watatu na mama mkwe anaishi hapo, akajiachia haswa, mumewe akaongeza sauti ya
tv na kuendeleza mchezo kama alivyomfundisha James, akimwambia hiyo staili
akiitumia kwa makini huwa haiongopi kwa mwanamke yeyote maana lazima
ashike G-spot. Sasa na yeye akaipatia, akaikamata na kuendelea kuisugua taratibu
alipoona mkewe analalamika sana, kelele zinazidi, akamalizia kwa mdomo. Nanaa alipiga
kelele ya huba maana Geb alikiminya akikinyonya kwa nguvu mpaka Nanaa akapaliwa
na mate wakati akipiga bao la pili. Geb akaanza kucheka.
“Acha kunikomeshea
bwana Geb!” Geb anacheka hana mbavu. Akakaa na kumpakata mkewe, Nanaa akajua
hapo ndipo anajifidia. Huanza akijificha katikati ya matiti ya mkewe huku
akimkumbatia na kumpapasa kwa uchu kila mahali, mpaka Nanaa mwenyewe anajua
mwili wake unapendwa. Atamsaidia kumnyanyua huku wakiendelea taratibu, kisha
ziwa litawekwa mdomoni, hapo hataki fujo. Nanaa atamuona jinsi anavyopandwa na
hisia akimpapasa kwa nguvu mpaka anamaliza, ziwa hatatoa mdomoni kwake mpaka tone
la mwisho kabisa, ndipo anaachia ziwa na kujilaza pembeni. Basi Nanaa naye
atamkamua kabisa mpaka aridhike ndipo ananyanyuka. Asubuhi hiyo ilikuwa bao
moja kwa mbili, lakini mchezo wa haja.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Nanaa anashuka chini
baada ya kuoga kwa haraka, anakuta mama G alishapika kila kitu yupo chumbani
akijiandaa, Jery anaondoka na watoto. Akaaga wanae, siku ikaanza mwepesi!
Akaanzia ofisini na mumewe. Mama G akampitia hapo akiwa na vyakula ndipo
wakaelekea hospitalini. Wakaaa na mama Jema kama lisaa tu, wakaondoka kwa ahadi
ya kurudi tena kesho yake mida kama hiyo. Hilo walilofanya likamfariji mama
Jema aliyezoea kulea peke yake akisaidiwa na dada zake, wanawake watafutaji wa
mjini. Wapo busy kila wakati.
Kina mama G wanatoka,
na wao wakaingia. Mode na dada yao mkubwa. Wakakaa na mama Jema kwa muda tu
wakiongea yao na kucheka, na wao wakaondoka na kumuacha mama Jema peke yake. Lakini
ameshiba, hana afanyalo maana kila kitu mgonjwa alikuwa akifanyiwa. Labda usafi
tu wa ziada na kumpaka lotion asipauke, basi.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Wakati Nanaa na mama
G wanatoka wapo sehemu ya kuegesha magari, wakamuona Bale anapita na magongo
yake. “Hujambo Bale?” Mama G akawa kama amemuita. Naye aliposikia salamu ya
kutambuliwa, akageuka. “Shikamoo. Sikuwa nimewaona.” “Unaendeleaje?” Akawasogelea.
“Siyo mbaya, namshukuru Mungu. Huwa nakuja kwa mazoezi hapa.” “Joshua anajitoa
nyie! Hakika naamini Mungu atakufungua macho na moyo, uone jinsi huyu mtu
anavyojitoa kwako Bale, na umuheshimu kwa hilo. Hapa anakulipia garama kubwa
sana. Nina uhakika ni mamilioni ya pesa anayokulipia hapa. Angeweza kukuacha tu
au kukupeleka kwenye mahospitali ya hali ya chini, lakini ona garama za juu
anazokulipia!” “Nanaa, najua. Hakika najua.” Bale akajiweka sawa akiegemea
magongo.
“Najua sistahili
kabisa kwa nilichomfanyia, najua. Lakini hata kwako na mama hapa, naomba
nikiri nilikosa. Nimekosa mno. Najua ni ngumu kueleweka, na mimi
sijui jinsi ya kujitete au kumfanya mtu akanielewa. Lakini ninachoweza kusema
na kuwaomba, ni msamaha. Naombeni mnisamehe. Yaani kabla mtu
mwingine hajaweka hukumu yake kwangu, mjue mimi mwenyewe naishi na hukumu kila
siku. Nimeua..” “Sasa hapo Bale lazima utoke.” Akawahi mama G.
“Unanisikia Bale?” “Sina
ji…” “Hapana Bale. Kama Mungu mwenyewe anasema amekusameha na hatazikumbuka
tena dhambi zako, sasa wewe usimsikilize tena shetani. Hutatoka hapo. Atakuwa
na kazi ya kukukumbusha kila wakati, na wewe mkumbushe shetani umesamehewa.
Usimpe nafasi. Na najua hata kama ungepata nafasi na baba yako sasahivi,
ukamuomba msamaha, kwa jinsi nilivyomjua baba Naya, na upendo aliokuwa nao
kwenu nyinyi watoto, angekusamehe kabisa.” “Unafikiri
hivyo?” Bale akauliza machozi yakimtoka.
“Sina shaka juu ya
hilo kabisa. Baba Naya aliwapenda sana nyinyi watoto. Na alimjua Mungu kwa kumuishi.
Ndio maana hakuwahi kuhadaika nje ya mapenzi ya Mungu mpaka kifo chake. Wewe
jinyenyekeze chini ya mkono wa Mungu. Fuatisha alichokwambia baba yako enzi za
uhai wake. Punguza haraka kwenye maisha, utafanikiwa kiroho, nafsi yako na
mwili wako pia. Joshua ni Mungu kazini. Mwache afanye kile Mungu
anamuagiza kwako.”
“Na mwigize jinsi
anavyofanya mambo yake. Binafsi amenisaidia sana nilipokuwa kwenye wakati kama
wako. Amenishauri, ameniombea, nikatembea kwenye ushauri wake. Sio rahisi,
lakini namuamini Mungu atanitoa kwenye kosa langu maana nimeshaanza kuona
mwanga. Sasa na wewe fuata anachokwambia. Na ujue ni nafasi ya upendeleo
wa juu sana huyu Mungu amekupa kuwa na mtu kama Joshua. Yule kaka ana mambo
mengi sana, lakini ona anavyojitoa kwako. Na ujue Joshua hafanyi
jambo bila kibali kutoka kwa Mungu wake au bila kutumwa na Mungu. Ndio ujue
Mungu hajakukataa Bale. Bado anakupenda na anakuhitaji.”
Bale akalia sana hapo mbele yao.
“Naya
anaendeleaje?”
Akauliza akifuta machozi. “Anaendelea vizuri.” Mama G akamjibu kwa kifup tu. Akawashukuru
na kugeuza akiwa anachechemea na magongo yake na wao wakimsindikiza kwa macho,
mpaka akapotelea, na wao wakaondoka.
Pumu Na Mkohozi.
Mchana Colins akarudi
tena. Ila Jelini alikuwa bado amelala. Akakaa hapo, mama Jema akimwangalia tu
jinsi anavyomfunika Jelini na kuhangaika hapo akimtizama na kumshika viganja.
Akakaa hapo kama lisaa. “Atapona tu.” Akajiambia, mama Jema kimya. “Ila
afadhali hivi anavyolala ili asisikie maumivu.” Akaendela Colins, macho kwa
Jelini. “Hivi ameamka hata kula chakula cha mchana kweli?” Hapo akamgeukia mama
Jema. “Hajaamka. Na jana ilikuwa hivyohivyo. Alilala siku nzima.” “Si atadhoofu!”
“Hayo maji hapo ni ya kumpa nguvu.” Akarudisha macho kwenye mkono uliokuwa na
dripu. Akamuweka huo mkono vizuri. Akakaa hapo muda wakutosha tu akimtizama
Jelini kama asiyetosheka. Mwishoe mama Jema akamuona anaangalia saa yake,
akaaga na kutoka.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Kwenye mida ya saa
kumi Jema akaingia. “Unacheka nini mama Jema?” “Pana hekaheka hapa, hujawahi
ona. Zaa mwanangu ujionee.” “Haya?” Jema akataka stori. “Wewe unamjua Colins?”
“Yule anayefanya kazi na James, anasura kama mtoto wa kike lakini sauti nzito
na midomo kama kapaka rangi ya pinki?” “Umemaliza. Sasa sijui kamfahamia wapi
Jelini, kutwa yupo hapa. Nasikia alikuja usiku na James wakamkuta Jelini
kalala. Alfajiri kaamkia hapa, si kamkuta Zenda. Sasa wanaongeleshana pale,
mimi na Zenda tunawasikiliza. Wanaongea kama wanao bembelezana. Yule
baba kapatwa wivu, akatumia kama kaji uungwana lakini chalazima, kumfukuza.” “Mama!”
Jema akashangaa.
“Bila aibu akamwambia
atoke ili nimsafishe Jelini. Sasa naye alivyo, mchana akarudi. Kasimama pale
pembeni ya kitanda cha Jelini zaidi ya lisaa. Anamfunika hivi, anaweka mkono
vile, anaushika huo mkono na kujiongelesha mwenyewe.” “Wewe unasemaje?” “Kimya
najiangalizia, maana ni kama asubuhi Jelini alimwambia, ‘uliniambia nikae
mbali na wewe, nikaliheshimu hilo. Kwa nini upo hapa?’ Akasema..” “Mama!
Jelini huyo?” “Jelini. Sasa huyo Colins anaonekana kama anajutia sana alichomwambia
huyu. Naye Jelini hataki kabisa kumuongelea Colins kwangu ili nijue
kinachoendelea. Sasa sijui walifahamiana wapi! Lakini ukiwaangalia na
kuwasikiliza, utasema Zenda ana haki ya kuwa na wivu.” “Kazi ipo!” “Si kidogo.
Na amesema atarudi.” “Mama wewe!” “Wewe usiwahi kuondoka, waje hapa, tujionee.”
Wakaanza kucheka.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Baada ya muda
akaingia James na Colins. James akambusu mkewe, na kumtakia hali kisha simu
ikaingia, akatoka. Mama Jema akamkonyeza Jema maana Colins alipitiliza moja kwa
moja kwenye kitanda. “Mama wewe!” “Sasa wewe angalia tu.” Colins akaanza
kumtengeneza shuka kama limekaa vibaya! Wao wamekaa upande wa makochi,
wakiwatizama Colins na Jelini.
James akarudi. “Vipi
Jeremy?” “Anakazi yakuniongelesha kingereza hapo, namwambia mimi siwezi
kuzungumza. Ananimbia ananifundisha nisione aibu kuongea. Kwa hiyo siku hizi
ukija pale kwetu ujue lugha imebadilika. Si kichaga tena.” James akacheka sana.
“Naona mpaka mwaka
uishe, nitakuwa nimekuwa mzungu na mimi.” “Na anavyopenda kujifunza!” Jema
akamsifia. “Sana. Na kichwa chake kizuri sana. Hesabu huko ndio anaongoza. Na
najua akiweza tu lugha, basi. Atawaburuza hao wazungu mpaka wamjue.” Ukimsikia
mama Jema akimzungumzia Jeremy, utadhani mwanae wa kumzaa. Alimpenda kama
kiziwanda wake.
Muda wote huo Colins
alikuwa kama hayupo pale kwenye kile chumba. Kasimama pembeni ya kitanda cha
Jelini akijipa kazi zisizomuhusu. Jema akamkonyeza mumewe. James akamtizama,
amemshika Jelini mkono. James akakunja uso kama na yeye hajaelewa, akamsogelea.
“Vipi?” James akamuuliza. “Haya mabandeji kichwani yanatisha!” Akaongea Colins
akimtizama Jelini. “Namuhurumia!” “Atakuwa sawa tu.” James akamjibu na kujaribu
kubadilisha mazungumzo ili kumtoa Colins pale, lakini Colins akawa anamjibu
macho kwa Jelini. James akashangaa sana.
Disko Imeingia Mmasai Wa Uchi.
Mara Zenda akaingia
na maua na mfuko mzuri sana, hawakujua ndani kuna nini. Ila akasalimia na
kupitiliza alipokuwa mgonjwa, napo Colins akawa amejaa. “Sasa hapo ndio weka
mgongo vizuri, jiegemeze, uone.” Mama Jema akamnong’oneza Jema. Jema
akajiweka sawa. “Vipi Jelini? Aliweza
hata kuamka kidogo?” Zenda akauliza. “Amelala siku nzima. Kidogo tu alifungua
macho tena nilikuwa nikimfuta, akarudi kulala.” Mama Jema akajibu. James
akashangaa Colins hasogei!
“Vipi na wewe kazi?” Akamuuliza James.
“Tunaendelea tu. Tumepita mara moja kumuona Jelini, nihamie kazi ya upande wa
pili kabla sijafunga siku.” “Pambana ukiwa bado una nguvu. Inakuja kulipa sana
baadaye.” “Nashukuru kunitia moyo.” “Kabisa. Ukianza hiyo nidhamu mapema, na
ukapata mke kama Jema anayekutia moyo, mkatulia hivyo, malipo yake ni mazuri.
Sio baadaye tu, hata sasa.” “Nashukuru.” Akamtizama Jema na kucheka.
“Ila hilo namshukuru
Mungu, aisee. Mke wangu muelewa mno. Ananifanya napata moyo wa kuendelea.” “Na
hilo ndilo la msingi. Nyumba ikishagawanyika, hakuna baraka inakaa. Kwa hiyo
mkigawana majukumu. Hata kama ni kwa muda, kwamba huyu apambane na kuweka ya
nyumbani sawa, na wewe kuweka uchumi sawa, basi mkikusanya juhudi zeni, ujira
ni mkubwa zaidi.” Mzee Kasa akashauri kiuungwana, James na Jema wakashukuru kwa
nidhamu. Aliyefanikiwa akikushauri, lazima kusikiliza.
“Na wewe Colins
umeoa?” Mama Jema akamkonyeza Jema baada ya Zenda kumuuliza swali Colins.
“Bado.” Akajibu Colins na kurudisha macho kwa Jelini. Akamfunika tena vizuri
huku akiweka sawa shuka la ndani. James akashituka, akaona amtoe pale. “Mimi
naona sisi tuondoke. Jema, tutoe.” Colins akawa muungwana. Alivyosikia tu
hivyo, akamuweka sawa mkono na kuaga na yeye. “Mungu atamsaidia atapona mama.
Poleni sana.” “Asante Colins mwanangu.” Akatoka, James na Jema wakafuata nyuma.
Baada ya muda Jema
akarudi. “Sasa mama Jema?” “Nisubiri unipe lifti.” “Dereva yupo nje
anakusubiri.” Zenda akamwambia mama Jema. “Aah, nashukuru sana. Utakuwa
umenisaidia. Ni sawa nikimuomba anipeleke nikamchukue na Jeremy?” “Mama Jema
wewe! Mpaka mtu ajute?” Mpaka Zenda akacheka. “Nimeomba tu! Kama haiwezekani
tutapanda hata bajaji.” “Hana kazi nyingine. Wewe mtumie mpaka umalize shuguli
zako zote, ndio umruhusu. Usiwe na wasiwasi.” “Sasa si umeona bora
nimeomba? Nashukuru sana. Na ndio nitapitia na sokoni kabisa.” “Mmmh!” Jema
akaguna akikusanya vitu vyake. Wakacheka.
Wakajaribu kumuamsha
Jelini. Akafungua macho. “Mama!” “Mimi ndio naondoka.” “Zenda yuko wapi?”
“Yupo. Amekuletea na maua.” “Niwekee hapa kitandani niyashike. Ya jana sikuweza
hata kuyashika.” Zenda akajisogeza. “Vipi?” “Pole na kazi?” “Asante.
Unajisikiaje?” “Vizuri. Nimefurahi upo. Nishike mkono.” Jema akamtimza mama
yake. Wambea hao! Zenda akamshika mkono usio na dripu na kuubusu. “Pole.”
“Asante. Umekula?” “Nimewaambia waniletee chakula saa kumi na mbili. Utakuwa
macho tule wote?” “Nitajitahidi. Nalala mwenzio, kama teja!” “Acha wamalize
hizo siku walizopanga ili wakikutoa kwenye hizo dawa usisumbuke na maumivu.”
Akavuta pumzi kwa nguvu na kutulia. Mama yake akamuwekea hayo maua hapo
kitandani, wao wakaondoka.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
0 Comments:
Post a Comment