Zenda akapoa ila
akavutiwa naye. “Nimeelewa Jelini.” “Kweli Zenda? Maana mtindo wa kuwa na
wanawake wa kulala nao tu, nitataka uache na usinidanganye. Maana
wale wanaume wa kule baa walikuwa wakisema hivyohivyo eti sio sabuni! Hivyo
mimi sitaki.” “Sawa. Njoo basi uniambie kitu gani kingine hutaki.”
Jelini akabaki amesimama kama ambaye hajaridhika naye.
“Mimi mbona muelewa
sana! Nimekusikia kila kitu.” “Na uache bwana Zenda!” “Sawa.” Akajibu na
kumsogelea mpaka pale. Mikono moja kwa moja ndani ya gauni. “Sitakusaliti
Jelini.” “Kweli?” Mkono ulishafika ndani ya chupi mbele. Jelini akasisimkwa
mwili mzima. Mkono mwingine nyuma. Akaanza kumchezea ndani ya chupi mbele mpaka
miguu ikaanza kutetemeka.
“Usisogee tafadhali.”
Akamsihi akinong’ona nyuma ya shingo yake. Maana aligeuka akasimama nyuma yake,
akaanza kumnyonya shingo, masikio huku akimchezea kisime taratibu. Akaanza
kukichua taratibu. Miguu yote ya Jelini ikawa ikitetemeka, akawa anajihisi
kuloa kabisa. Akamgeuza kupata midomo yake. Akaanza kumnyonya huyo Jelini kama
pipi. “Naomba kukutoa nguo zote, nikufaidi kwa macho pia.” Jelini alikuwa
akiweweseka, akahisi anamuongoza njia mpaka kwenye chumba huku akimnyonya midomo.
Akamvuta mbele kidogo, kisha akamgeuza na kusimama nyuma yake tena, mkono ndani
ya chupi tena. Safari hii alikuwa akimchezea huku akimvua chupi yake, akamgeuza
mbele akawa anamwangalia, mikono yote ikahamia kwenye matako na hips. Akaanza
kumpapasa kwa uchu huku akimnyonya shingo. Jelini akatamani alale, akamzuia.
“Nataka kuuona huu
mwili wako ukiwa mtupu Jelini.” Kisha akamtoa gauni na kuanza kumfungua
sidiria. Akahamaki baada ya kumuona mwili mzima ulivyo. Jinsi alivyojigawa na
mwili kutulia. Aliwiva, bila romansi mashine ya Zenda ikasimama wima, hatari.
“Jelini wewe ni mzuri! Mzuri sana.” Jelini akamuwahi midomo na kumrudisha mkono
kwenye kinena. Akajua alipenda alivyomchezea. Akamchezea kidogo kisha akapiga
magoti mbele yake, na kuanza kunyonya kama mbuzi. Haikuchukua hata dakika,
Jelini akapiga bao amesimama ndipo akamuweka kitandani, na kuvua nguo haraka,
akakimbilia matiti. Aliyanyonya huku akimchezea tena kisimi. Jelini alikuwa
akipata raha, akajisahau anatakiwa afanye nini.
“Niingizie Zenda.”
Akalalamika. “Nataka muda na wewe Jelini!” “Kidogo tu halafu tutaendelea romansi.
Mwenzio nina hamu, unanifanya nisikie raha.” Mzee Kasa mwenyewe mzee alishakuwa
hewani muda mrefu sana, baada ya kuona mwili wa Jelini ukiwa mtupu, ukamtamanisha,
akaona kuanza penzi bila kushibisha macho, midomo na mikono ni kujipunja. “Nisaidie
Zenda.” Jelini akalalama akiwa taabani kitandani. Akaona ampe kitu roho
inataka, hapo Jelini hakuwa amemchezea hata kidogo. Zenda akaanza taratibu, kwa
utulivu bila papara, akamuona anahangaika, akajua anataka aongeze kasi.
Alipoongeza mwendo, ndio kilio cha Jelini kikaongezeka, lalama nzuri
aliyoipenda Zenda, maana ilimvutia na kuamsha hisia zote. Kidogo tu, akapiga
bao.
“Naomba tuwekane
sawa, Jelini.” Akaanza kucheka na kujifunika na mto. “Kwani wewe mara ya mwisho
kufanya mapenzi ni lini bwana!?” Jelini akacheka sana akijificha kwa aibu.
“Hata sikumbuki!” “Kweli Jelini!?” “Mungu nishahidi. Ndio maana mwenzio
niliogopa sana. Nilihisi labda wananifanyia mambo mabaya nikiwa nimelewa.
Nisamehe Zenda nilishindwa kuwa mvumilivu.” “Umenipunja.” Jelini akazidi
kucheka amejifunika.
“Mimi nilikuwa na
hamu na huo mwili wako. Midomo hata haijatosheka!” “Sasa hivi nakuachia wewe.
Sikujua kama ndio unajua kufanya hivyo! Mimi nilijua utaingia tu halafu
unakojoa.” Zenda alicheka sana. “Mimi ndio dada Doro alivyoniambia wanaume wengi
wakishafikisha umri fulani, wanakua hawana nguvu. Ila wewe unanguvu sana mpaka
nasikia raha! Umenifanyia vizuri, sikumbuki kufanyiwa hivyo maishani.” “Basi
nipe nafasi. Wewe ni mzuri mno. Unamwili mzuri Jelini, nataka kukufaidi
taratibu na ndio maana upo hapa nyumbani, tena peke yetu. Sikutaka kuingiliwa
na mtu wala kitu chochote. Na simu zote nimefunga.” Akamsukuma taratibu mpaka
akalala chali, akaanza kumchezea yeye.
Zenda hakuamini jinsi
anavyojua kuchezea mpaka kengele! Alimnyonya huku akimchua kwa mikono yake
laini ila akiweka nguvu kumkanda kwa kumbana. Akachezea mistari ya kengele,
akiwa anamchua kwa mikono, basi midomo inahamia kuchezea kokwa mpaka
zinajificha. Mtu mzima akajikuta hoi, anahangaika, Jelini akamchuchumailia.
Anapanda na kushuka akikatika. Zenda ndani ya dakika tatu akamwaga mambo
hadharani.
“Haiwezekani Jelini!”
Jelini alimcheka mpaka machozi. “Unalia sana Zenda!” “Wewe mtoto ni nini
umenifanyia, mpaka nimepaliwa mate! Mimi si mkojoaji wa dakika moja!” Jelini
alicheka sana. “Hapana Jelini, umenifanyia makusudi kunilipiza kisasi.”
Alicheka Jelini mpaka akajilaza. “Wewe mtoto utanifanya nishindwe kazi,
nibakiwe na kazi ya kukuvua nguo tu.” “Sio ajira mbaya.” Zenda alicheka sana.
“Wewe huna shida?”
“Kwa ulichonifanya hapa, wewe niite hata ofisini kwako.” Zenda akakaa. “Kwamba
hutakataa!?” “Muda na wakati wowote ukijisikia tu, niite mimi sio wanawake zako
wa zamani.” Zenda akaanza kucheka. “Mimi nilijua ni mapenzi, kumbe wivu!” “Hiki
ulichonifanyia mimi, usimfanyie mwingine. Hata asubuhi ukiamka, unataka, mtume
dereva aje anichukue. Nikurekebishe kabla ya kwenda kazini.” “Hutanichoka?”
“Wewe nimekupenda Zenda.” Zenda alicheka sana.
“Nilikuonya Jelini,
ukanibishia. Umeona sasa?” “Sasa hivi nimeamini.” Jelini akakubali bila kupinga
nakumfanya Zenda azidi kucheka. Kwanza alimrudisha akamfanya ajisikie kijana.
Vile tu kumuita Zenda, akasahau ana watoto wakumzidi Jelini. “Unaenda wapi
sasa?” “Bafuni. Hutaki nikusafishe?” “Acha tuoge ndipo tule. Halafu tuendelee
kidogo.” Walipofika bafuni akaanza kumkiss, Jelini akampokea midomo, akamvuta
mkono na kuuweka kwake, akajua anataka. Akamgeuza akaanza kumchezea mbele huku
akimnyonya shingo mpaka mgongoni. “Mbona kama hili tako sijalifaidi kabisa!”
“Vyote hivi vyako Zenda. Muda na wakati wowote.” Alifurahi mzee huyo, asiamini.
Jelini akageuka na
kupiga magoti, akaanza kumnyonya yeye tena. Alimchezea mpaka akamuona yupo
tayari, akamuinamia na kujiingizia. Kisha akamshikisha matako, akawa akayakamata
vizuri, akaendeleza mchezo taratibu Jelini naye akamuelewa, hapendi fujo, akawa
akikata nyonga taratibu na kumbana. Milio ya Zenda, alijua anamtendea haki.
Baada ya muda akamkamata kiuno chake, ukaanza mchakamchaka akajua anakaribia.
Aliposikia migugumo akajua ndio anafika, akawa anatema, Jelini anakaba ili
asiogelee huko ndani mpaka akamaliza, akabaki ndani, anatetemeka mwenyewe.
Safari hii hakumcheka, akamuacha akimkamua taratibu kwa kumbana mpaka akamaliza
kabisa, alipotoka akasimama, akamgeukia na kumkumbatia kwa upendo.
“Asante Jelini
wangu!” Jelini akacheka akiwa kifuani. Akamsafisha akiwa bado amesimama. Kila
alivyokuwa akimsafisha, na jamaa naye anaanza kusimama tena. “Jamaa amegoma
kutulia. Wewe ni mzuri sana Jelini. Hata nikifunga macho sasahivi bado nakuona
ukiwa uchi, nakutamani zaidi.” Akacheka taratibu na kumrudisha mdomoni. Akaanza
tena kumnyonya taratibu Zenda akiguguma. “Naomba safari hii iwe kitandani, na
taratibu kama ulivyofanya hapa.” Akatoa mdomoni kwenye mashine na kumshika kwa
mkono, midomo ikahamia mdomoni kwake. Wakanyonyana midomo kwa muda tu lakini
Jelini akawa bado hajaachia mashine. Anamchua taratibu huku wakipeana kisi.
Akaaanza kumsukumia
nje ya shawa. Akajua ndio anataka watoke. “Usiniachie tafadhali.” Jelini
akaendelea kumchua huku wakitafuta mlango wa kurudia chumbani wakilowesha kila
wanakokanyaga. “Nifunge maji?” Akakataa kwa kichwa na kumdaka midomo, kama
anayesema asimuachie. Wakapanda kitandani na maji yao, Zenda akamlaza chali,
hapo ndipo aliponyonya kila alichotaka, tena taratibu bila pupa. Jelini
akamuacha tu afanye atakayo kwenye mwili wake.
Mzee alihangaika na
huyo mtoto kama fisi aliyepewa bucha. Akahangaika hapo wee, Jelini akimpa
ushirikiano wote. Akamgeuza na kumwinamisha. Akaingizia kwa uchu akitetemeka
kama ambaye ndio mara ya kwanza. Akaendeleza mchezo akiingia na kutoka mpaka
akafanikisha bao jingine la hapo kitandani akiwa amempigisha magoti Jelini, kisha akajitupa kitandani.
Jelini akatoka
kumsafisha. Kuja kumaliza, akawa amelala hana habari na alipo. Alichofanya ni
kumfunika. Akakusanya nguo zake, ndipo akapata nafasi ya kuangalia chumba. “Huyu
Zenda analala kwenye chumba cha kioo jamani! Hatari gani hii! Kikivunjika
usiku!” Akaangalia na kushangazwa na hicho chumba. Kuzuri mno, ila alimuona
alibonyeza sehemu vitu vikashuka kikawa kama kuna pazia. Akashangaa na aina ya
kitanda na makochi humo ndani. Kila kitu ni nyeupe tupu, dhahabu imekua
imezungukia kama pindo. Masinki ya bafuni yote dhahabu, tena yapo kama
mabakuli! “Huyu baba anapesa sana!” Akaangalia hapo, akaona aondoke tu.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Alamu ya saa kumi na
nusu alfajiri ndiyo iliyomtoa Zenda usingizini. Ulikuwa muda wake wa kuamka
aliozoea zaidi ya miaka 40. Hata alamu isingelia, angeamka tu. Akajikuta uchi,
ila amefunikwa. Akashituka sana. Ndipo akili ikamrudia kilichokuwa kimeendelea
usiku uliopita. “Jelini!” Akakurupuka hapo kitandani kama mchale. Akazidi
kumuita. Nyumba kimya. Akajua aliondoka. Alijisikia vibaya sana. Akaenda
jikoni, hata chakula alichokuwa amempikia hakuwa amekula. Ndipo akakumbuka
alivyozima kama mshumaa usiku uliopita.
“Sasa atakua
ameondokaje hapa!”
Akajisikia kuumia akimuhurumia. Alishampenda Jelini. “Huyu mtoto atanidharau
aisee! Atajua nimezeeka sana, sina nguvu yakuwa na mtu kama yeye. Jelini
ataniacha akatafute kijana wakuwa naye usiku kuchwa!” Akajidharau sana, na
wivu nao ukaanza kumsumbua. Akabaki akiteseka rohoni wakati Jelini amelala
kwao, hana habari ila furaha tele. Akaangalia muda ili ampigie, akagundua ni
mapema sana, atakuwa bado amelala. “Na kama alitembea sana jana alipotoka
hapa, atakua amechoka. Mtu mzima nimekua hovyo kabisa! Usiku wa kwanza ndio
nimeweka historia mbaya hivi!” Siku ikaanza kwa kujilaumu. Mzee Kasa asubuhi
hiyo alikimbia kwenye mashine mpaka kifua kikaachia kwa hasira. Wasiwasi ikawa
alivyotoka kwake kama je, alipitia baa! Wivu.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Huku kwa Jelini
akaamka asubuhi na mapema kumuandaa mwanae. Mama yake anamwangalia tu. Mwanae alikuwa
na furaha, anaongea na mama yake hamalizi. “Sasa huyo ataachwa na basi.
Mmekutana hapo wote maneno mengi, hamuangalii muda.” Ndio wakagutuka na
kuongeza uharaka. Akampiga mwanae picha za kutosha mpaka anapanda kwenye basi
ya shule ndipo akarudi ndani.
Asijue mwenzie
alivyoumia, akamtumia picha tatu za mwanae na kumshukuru. ‘Nashukuru Zenda. Amefurahi huyo! Hakuna tena kugombania
daladala asubuhi. Ameniambia akirudi atakuwa akiongea kingereza, halafu
atanifundisha na mimi.’ Zenda aliposoma akacheka na kumpigia. “Umefanana naye sana. Anaonekana mtoto mzuri sana.” “Zaidi ya
mama yake. Amefurahi, nimemsindikiza mpaka ameniambia! Asante Zenda. Na asante
kwa usiku mzuri.” “Kwanza kwa nini uliondoka bila yakuniaga?”
“Ulikuwa
umelala Zenda. Nikajaribu kukuamsha, hukuamka. Ndio nikakufunika tu. Nikabaki
nikishangaa chumba kipo kwenye kioo! Nikaona nisiendelee kukaa pale kisije
pasuka bure!”
Zenda alicheka sana. “Wewe mtu gani unalala kwenye vioo
bwana! Kwanza watu wa nje si watakuwa wakituona?” “Hapana. Sisi ndio tunaona
nje, wao hawatuoni. Na nivile sikuwa nimekuonyesha, kuna sehemu ukibonyeza
unaweza kuweka picha yoyote kuzunguka chumba kizima na kukufanya ulale vizuri.
Kama ukitaka kuweka anga na mbalamwezi. Bahari, iwe kama umelala ufukweni. Giza
kabisa ila mziki mtulivu wa kukubembeleza. Chochote kile ungechagua na
kukufanya ukalala vizuri.” “Mmh! Mimi niliogopa bwana. Sijawahi ona magorofa ya
vioo mpaka sakafu! Ila pia nilitaka kuamkia alipo Jeremy kumuandaa leo.”
Jelini akaongea wala asionyeshe kuna ubaya alifanyiwa.
“Mimi
sijafurahia tulivyoachana jana.” “Kwa kuwa sikukuaga?” Jelini akauliza kwa
upole. “Hapana Jelini. Kwa kuwa mimi sikukuaga.
Nilikupikia. Nilitaka ule chakula changu halafu nikusaidie usafiri kukurudisha
nyumbani. Sio uondoke kama malaya uliyekuja kutoa huduma, kazi yako imeisha,
ndio basi.” “Jamani Zenda!” “Kweli Jelini. Sikupenda. Mimi huwa sipiki. Ila
wewe nilikupikia ili kukufurahisha. Sikupenda ulivyoondoka. Hujala, wala sijui
ulifikaje nyumbani!” “Mimi mwenzio mtoto wa mtaani. Sipati shida kufika
nitakako. Muda na wakati wowote ule.” Akaongea bila hata wasiwasi.
“Sio ukiwa
na mimi, Jelini. Nataka kuwa na uhakika na usalama wako. Nimejisikia vibaya
sana.” “Tafadhali kuwa na amani Zenda.” “Sina amani. Nimejiona mtu mzima
hovyo!” “Sivyo mimi nilivyokuona Zenda! Mimi nimefurahia muda na wewe. Nimetoka
kwako wala swala la chakula halikuwa kichwani. Nimerudi nyumbani moja kwa moja
nikalala vizuri kama kachanga na wala sikunywa pombe, kwa kuwa nilikuwa kwako
na ukanipa wakati mzuri. Tafadhali usiharibu historia ya usiku wetu wa kwanza.”
“Basi hicho ndicho kinaniumiza.”
“Hapana.
Naomba pokea kile nilichokipata mimi. Vyakula vipo tu Zenda. Na watu
wanausafiri wa uhakika, lakini si nilichokiona kwako wakati naondoka pale
chumbani kwako. Ulilala kwa amani sana. Na mimi nililala hivyohivyo. Ningeweza
kula na ukanirudisha nyumbani tukigombana njia nzima au hatuongeleshani. Kipi
sasa bora?” “Lakini kweli. Hapo umenituliza.” Jelini akacheka taratibu.
“Asante kwa
wakati mzuri Jelini wangu.” “Karibu na mimi asante. Acha nikuache ufanye kazi.
Utanipigia utakapopata mwanya.” “Sawa. Ila nataka uwe na usafiri wa kueleweka
Jelini. Sitaki mambo ya kubabaisha.” “Usijali. Siku moja na mimi nitafika huko.
Acha tufurahie tulicho nacho.” Jelini akamshangaza sana Kasa. “Kwamba huyu mtoto
hajaelewa swala la kwamba mimi ninayo pesa?!” Waliomzunguka Kasa, wakiwa
naye karibu wanajua shida zao zimeisha, Jelini wala! Akamshangaza sana.
“Huwa
unafikiria kama ni kuja kuwa na gari, ni aina gani?” Jelini akacheka. “Nini?” “Sasa sio uanze kufikiria mimi napenda mambo makubwa
na mazuri wakati sina hela.” Kasa akacheka. “Kwamba
gari ya ndoto yako ni la garama sana?” “Mimi nahisi kuzidi lako. Si unajua
ninavyopenda vitu vizuri?” “Nakujua Jelini.” “Basi hilo gari langu, unaweza ona
aibu kupanda kama mchafu.” Kasa alicheka sana. Muda huo wa kazi, mzee
akaweka kila kitu pembeni anamsikiliza Jelini.
“Kwanza
nataka kubwaaa! Yaani mimi mwenyewe kupanda nafanya kudandia.” “Jelini huyo. Na
rangi?” “Ninazo mbili, lakini silva ile inayong’aaa ndio nafikira zaidi. Basi
Zenda. Ndani sasa!” “Eeeh?” “Ila nahisi ndani nitakuiga yako.” Akamalizia kwa kupoa
na kumfanya Zenda acheke sana. “Kwamba umeishiwa?”
“Nimekumbuka gari yako kwa ndani, sijawahi ona. Ila ujue wewe Kasa una vitu
vizuri sana mpaka nahisi wewe unaishi maisha yangu!” Kasa alicheka sana
akiwa ofisini nakushangaza mpaka sekretari zake.
“Kwamba?”
“Maana jana pale ulivyokuwa umelala, nikaanza kuchunguza pale chumbani kwako
mpaka bafuni! Lile sinki lako la kusafisha mikono mtu anaweza kufanya bakuli
kabisa, akaweka chakula kwa wageni wake wa maana.” Zenda alizidi kucheka.
“Halafu lile sinki lako la kuogea!” “Nilikuona kwenye
kamera uliingia na kujilaza.” “Haaah! Haiwezekani Zenda!” Jelini
alishangaa sana. “Nilikucheka sana.” “Tabia yako mbaya
bwana Zenda! Sasa kwa nini unaweka kamera chumbani?” “Kuna vitu vya thamani
sana mle ndani na mimi huwa naruhusu watu wa usafi kuingia na kusafisha. Lazima
kuficha kamera.” “Kwa hiyo ningekua mwizi, ungenikamata?” Zenda akacheka
tu.
“Kumbe
ningejua kama kuna kamera mimi nisingekuwa…” “Ukishangaa vile?” “Kumbe umeona?”
“Mpaka kushika mdomo! Nilikuona.” Jelini akacheka sana. “Mimi naitaka hiyo video nijione.” Zenda akazidi
kucheka. “Fanya kazi mwaya. Mimi nina maneno mengi.
Nitakufanya usifanye kazi.”
“Si bado
ile ajira ya kukuvua chupi bado ipo au nimefutwa kazi kwa kulala kizembe?” Jelini alicheka.
Akacheka sana. “Wewe niambie tu, nijue kama kazi ipo au
la.” Akaongea Zenda kwa kubembeleza. “Ile ni
ajira yako ya kudumu Zenda. Haina…” “Kustaafu je?” “Tutastaafu wote.”
Zenda, alicheka sana ila alimfurahisha huyo mzee asijue tu. Na ujasiri ukarudi.
“Mimi naona
tununue hilo gari la ndoto zako, uwe unanifuata popote kunipa hiyo kazi.” Jelini akawa
hajaelewa, akacheka sana na kuongeza. “Sasa na wewe uwe
na subira Zenda! Mambo taratibu. Leo ndio mtoto ameanza shule. Kesho nyumba ya
kukutania. Kesho kutwa gari. Pesa ngumu!” “Jelini wa mipango huyo!” “Usicheze
na Jelini wa siku hizi, nimepata rafiki mwenye akili, ananiongoza
mwenzio vizuri.” “Baa?” “Akuu! Unataka nirudi kujisahau tena? Mambo hayo siku
hizi nimeacha.” “Ukipata mwingine wa kukununulia?” Zenda akamtega. “Kwani hawapo? Wapo Zenda. Tena wapo wengi tu. Ndio wale
niliokwambia wanakupa bia moja, wanadai. Sasa unajiuliza huyu mtu anakudai kwa
bia moja. Akikununulia gari je?” Zenda alicheka sana.
“Akuuu! Mimi
mwenzio sitaki mambo ya kuhongwa na watu nisio waamini.” “Wanaume wangapi
sasahivi unawaamini?” “Sasahivi ni mmoja tu. Zenda wangu. Ananifanya najisikia
vizuri na ananifanya nafikiria vitu vya maana. Halafu anajua kunifanya
nijisikie mimi wa maana. Mwenzio Zenda wangu wala hanidharau japo yeye amesoma
sana kuliko mimi. Halafu nikiwa na Zenda wangu tunacheka, tunafuraha. Halafu
ananijulia kitandani. Nikiwa naye wala sihisi kama nabakwa, ila nafanya mapenzi
na mtu anaye nipenda.”
Zenda alifurahi sana. “Natamani Zenda asikie hayo!”
Jelini akacheka sana.
“Zenda
anapendwa mwenzio.”
Akamfanya Zenda acheke sana. “Haya bwana. Kwa hiyo hata
iweje hataibiwa?” “Mimi bado sijaona wakumuibia Zenda wangu.” Jinsi
alivyojibu akamfanya azidi kucheka. “Fanya kazi wewe
Zenda!” “Mwenzio nasikia raha kuongea na wewe.” “Hata mimi. Ila sitaki
kukuharibia kazi.” “Huwezi. Hizi kazi zina misingi iliyomea mizizi ya miaka na
miaka.” “Sasa kwa nini hufanyi kazi na Kasa?” “Kama unamaanisha Kevin, hawezi
kunifanyia mimi kazi. Mimi ni makini sana na mambo yangu. Sitaki uzembe.
Nimejitengenezea timu yangu ambayo sitaki kijana mdogo aje na kuanza kuwatingisha. Ila dada yake na mumewe niliwaajiri.
Wananifanyia kazi.” “Dada yake anasifa unazozitaka kwa wafanyakazi wako?”
“Yeah! Kemi yupo very smart. Na anamsimamo sana na maadili mazuri ya kazi. Kwa
hiyo yeye anaweza kuendana na mwendo wangu lakini si Kevin. Bado amekataa
kukua. Japo anatamani sana kufanya kazi kwangu.” “Sasa unamwambia nini?” “Ni
bora kumlipa mshahara bila yeye kuwepo.” Jelini akashangaa sana.
“Haiwezekani
Zenda! Kwamba unamlipa mshahara japo hafanyi kazi?!” “Kabisa. Na kwa akili yake
yeye, anafurahia. Lakini Kemi asingekubali, angeona ni kumdharau. Ndio maana
nipo na Kemi na si yeye.”
Jelini akapoa na kuanza kufikiria. Maana Zenda alibadilisha sauti ya kimapenzi,
akasikika kitajiri na mamlaka. “Unahitaji usafiri
Jelini.” “Najua Zenda wangu. Taratibu baba.” Akacheka kidogo. “Mimi nitakununulia.” Jelini akatulia.
Zenda akashangaa.
Akaangalia simu. “Upo?” “Nipo Zenda, ila najiona kama sipo
tayari kwa gari!” “Kwa nini tena?” “Mimi sina kitu Zenda. Sina hata namna
yakujiingizia kipato! Si bora ianze biashara kabla ya gari ambayo itahitaji
pesa?” “Kumbe unaakili hivyo!?” Jelini akacheka taratibu. “Kweli umenifanya nikupende zaidi! Ila usiwe na wasiwasi.
Tutafute gari huku tukifikiria njia sahihi ya wewe kujiingizia pesa. Mimi
nitakusaidia Jelini.” “Kweli Zenda!?” “Wewe unaniamini. Sasa kwa nini na mimi
nisikuamini?” Jelini akafurahi sana.
“Wewe
fikiria biashara gani ya kufanya, na mimi nitakushauri. Ila usafiri nilazima.
Wewe una mtoto mdogo. Ikitokea usiku anaumwa au unahitaji usafiri wa usiku,
utafanyaje?” “Asante kutufikiria Zenda.” “Basi anza kuangalia hilo gari
unalotaka, kisha nitumie. Mimi nina njia nzuri za kuingiza vitu nchini.” Jelini alifurahi
sana. “Mwenzio nimefurahi Zenda. Mpaka nasikia kulia.”
“Usilie ila fikiria, halafu utaniambia. Acha nirudi kazini.” Akarudi
ndani kwa mama yake.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Jelini Kalamba Dume?
Nini
kitaendelea kwenye Penzi hilo Jipya?
Mtoto wa Kasa, Kevin, aliyekataliwa na Jelini na yeye kujiweka
pembeni sababu ya tofauti zao kimaisha, akihofia wakwao
kutomuelewa kuwa na msichana kama Jelini, LAKINI baba mtu amejiopolea. ANAFAIDI PENZI LA
Kimwana bila kujali umri wala shule. Historia ya nyuma ya Jelini kwake ndio
imemfanya amuhurumie Jelini wala si kumuhukumu, anamwaga pesa kama hamna kesho!
Itakujae kwa Kevin/Kasa? Kemi atampokea Jelini?
Patamu panakuja mbeleni.
0 Comments:
Post a Comment