Naomi Simulizi |+1 205 767 8163 |naomisimulizi@gmail.com Mapenzi & Pesa! - PART 1 - SEHEMU YA 45. - Naomi Simulizi

Mapenzi & Pesa! - PART 1 - SEHEMU YA 45.

 Jioni Joshua akatoka mida ya kazi tu ilipoisha. Hakutaka hata kuongeza dakika. Akamwambia dereva ampeleke sehemu anaponunuliaga maua. Akanunu roses fresh. Nyekundu tupu akitaka kujua kama bado ile furaha ya maua kwa Naya bado ipo au nayo ilipotea. Safari ya kurudi Goba ikaanza.

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~

Huku kwa James naye akawa akisubiria Jema atoke kazini wakutane kwa chakula cha usiku na kumalizia mazungumzo yao juu ya agano jipya waliloweka kwa simu. Kumu alipotoka tu, Jema akampigia simu James kuashiria siku ya kazi ndiyo imeisha. Nanaa akampigia lakini hakupokea simu yake ila akamtumia ujumbe kumwambia atamrudishia simu baadaye. Nanaa akashangaa sana. “Nini?” Geb akamuuliza mkewe. “Sielewi! Unajua jana kaka alisema hataweza kufika kwa chakula cha mchana, ila angepita jioni. Hakuja wala hakusema chochote. Sasa hivi nampigia, hajapokea ila amenitumia ujumbe kuwa atanirudishia simu baadaye!” Geb kimya. Nanaa akamuangalia mumewe akahisi kuna jambo anafichwa.

“Wewe unajua kinachoendelea?” Geb hakutaka kuwa msemaji wa James, akaamua kujiweka pembeni. “Pengine ana kazi zake. Amesema atakurudishia simu, subiri mama.” “Si kawaida yake! Mimi huwa simu zangu kwa kaka hazisubiri!” Geb akakumbuka hilo. Akajua kazi itakuwepo. Kwa mara ya kwanza James ataanza kugonganisha magari. Geb akanyamaza.

James anamtumia ujumbe dada yake yupo kwenye simu na Jema. Hakuwa hata akimaanisha anachomwandikia Nanaa. Akazungumza na Jema mpaka akafika hapo ofisini kwake. James akamsogelea garini akamfungulia mlango. “Kwa hiyo mimi ni mchumba wa James?” Jema akamfanya James acheke sana. “Niambie bwana ili nizidi kufurahi! Ona maua yangu haya.” “Nakupenda Jema. Na kama utakuwa tayari na mimi, hakuna kuchelewa tena.” “Ukimaanisha nini?” “Acha gari yako hapa, tutairudia. Unisindikize mahali kwanza huku tunazungumza kwenye gari ndipo tukale.” Jema akashuka na pochi tu. Akahamia kwenye gari ya James.

“Usinichoke lakini.” “Kwa nini tena?” “Nina biashara ya kuosha magari pia. Sasa kuna kifaa kiliharibika, ndio nilimtuma fundi akarekebishe. Na kuna kitu niliboresha. Ndio nataka nikaangalie. Huwa huko siendi mara kwa mara kwa kuwa ni biashara ambayo si rahisi kuibiwa.” “Kivipi?” “Mimi na Geb tuliweka mfumo ambao kila gari inayoingia pale kuoshwa, inajirikodi  na mimi naweza kuangalia nikiwa popote. Kwa hiyo si ya kuifuata sana nyuma. Inajiendesha au naweza kuindesha kwa simu.” “James umejijenga wewe mpaka unatisha!” “Niliamua Jema. Wakati wengine wanatumia kipindi tunaanza tu kazi, mimi nilikusudia kuwekeza. Na sio kote nilikoanza kulifanikiwa! Vingine vilishindikana ndio nimebakiwa na hizo biashara mbili tu. Ya vifaa na hiyo yakuosha magari.” “Hongera sana.” “Asante.” James akajibu na tabasamu.

Akamuona amepotelea mawazoni. “Usiniache sasa hapa garini peke yangu! Rudi huko ulikokimbilia.” Jema akacheka taratibu na kurudisha macho kwake. “Ninaposema hakuna kusubiri tena, namaanisha naomba tusisubiri tena Jema.” Jema akatulia tu akimsikiliza. “Sisi wote si watoto. Nataka tuanzishe familia kwa haraka tu. Au wewe unasababu ya kusubiri?” Jema akatulia kidogo akitafakari.

“Eti Jema?” “Unauhakika James?” “Juu ya nini?” “Naona tusiharakishe! Tupeane muda.” “Hizo ni hatua za wasio juana Jema. Au niseme ni hatua za wajaribishao. Mimi sijaribishi. Nitakubeba hivyohivyo na wewe naomba ujifunze kuishi na mimi tukiwa wote. Halafu acha nikwambie ukweli ambao pengine unaweza ukakushangaza.” Jema akamwangalia.

“Sijui ni kwa nini, tokea nimeanza kukufuatilia, kwa mara ya kwanza hisia za kimapenzi zimeanza kunisumbua.” Jema akainama. “Tokea nakua ni hisia nilizokuwa hata siziruhusu lakini safari hii imenishinda Jema. Nakutaka wewe, na nataka na mimi kuwa na mpenzi wangu. Mke kabisa. Sijui kama naleta maana?” “Nimekuelewa.” Jema akajibu akiwa ameinama na tabasamu.

“Najiona ndio hicho tu kinapungua kwangu. Sasa sitaki kuendelea kujipunja. Labda uniambie wewe haupo tayari na mimi.” “Nakupenda James.” “Basi naomba tusisubiri zaidi, tafadhali.” “Ndio tunafanyaje?” “Tuanze taratibu za kuoana kwa haraka.” “James!” Jema akashangaa sana. “Hakika sikutanii Jema. Na kwa kuwa nimejiambia hata kama nitazidiwa vipi, kwa jinsi tulivyojitunza mpaka ukubwani, sitakugusa mpaka siku ya fungate yetu. Tuanze kwa baraka za Mungu. Ila si kwamba hata sasa hivi sitamani! Natamani sana. Sasa kwa nini tujitese, au wewe haupo tayari?” Jema aliona aibu sana. Maana James aliongea kwa wazi mno.

“Eti Jema? Au unaona navuka mipaka?” Jema akajifunika uso akicheka. “Unisamehe pengine nimekua muwazi sana, tena kwa haraka.” “Sio kosa, ila sikutegemea bwana!” James akacheka sana. “Basi naacha. Ila ujue mimi nipo tayari na wewe.” “Nakupenda James.” Hilo Jema akalirudia. “Na naamini hatutashindwana.” Hilo likamfurahisha sana James. “Nikuulize swali gumu?” “Subiri papoe kwanza bwana!” James alicheka mpaka machozi.

“Nishatibua hali ya hewa?” “Sana!” Jema akajibu akicheka huku ameinama. “Mtu akikuangalia kwa haraka, anaweza kusema wewe ni wale wasichana wa mjini walio kubuhu!” “Kweli James!?” “Hakika. Nisingeusikia huo kweli kwenye mazungumzo yako, hakika ningejua ulishakuwa kwenye mapenzi kwa muda mrefu tu.” “Na bado ungenioa?” “Ooh yeah! Nisingejali. Mimi nilisubiri kwa sababu zangu binafsi, siwezi nikataka kila mtu aishi kama mimi.” “Sasa haukuwa ukiteseka?” James alicheka sana.

“Naona kumeshatulia, unataka tuendelee.” “Hapana James bwana! Sio ujibu kwa undani!” “Ila nikisema asubuhi ndio zaidi. Ni sawa?” “Haaaa!” Jema alishituka, akajifunika na pochi yake kwa haraka. James akazidi kucheka kama mazuri. “Sikumaanisha hivyo bwana James!” James akazidi kumcheka. “Nakuandaa ujue una mume wa namna gani. Si ndio tunafahamiana?” “Bwana taratibu!” “Wakati mimi nataka kuoa haraka? Unataka tuingie kwenye ndoa hujui wajibu wa asubuhi?” Jema alicheka sana akiwa amejificha. “Basi Jema. Siongei tena. Itoshe kwa leo.” “Wewe umeshaanza malizia tu.” James akacheka sana.

“Nishatumbua jipu?” “Kumbe! Sasa hilo swali gumu ni lipi tena?” James akamwangalia kisha akaanza kucheka tena. “Basi usiulize tena bwana!” “Hutaki tena?” “Nakuhisi vibaya.” “Mimi tena?” “Kabisa. Tubadili mazungumzo bwana!” “Hata hivyo tunakaribia kufika. Tukitoka hapo, kuna mahali nakupeleka kula, kusherehekea, ‘NDIYO’ zetu.” “Halafu ndio utaniuliza?” “Na kukuomba juu.” James akamalizia nakumfanya Jema akunje uso.

Wakafika hapo, Jema akashangaa sana. “James hapa ni kwako?!” “Kwani ulishawahi kuja?” “Zaidi ya mara moja! Nikawa najiambia huyu mtu aliyefanya hivi atakuwa ameona mambo ya Ulaya.” “Kumu huyo. Ndiye aliyenipa hili wazo. Alisema aliona alipokwenda Marekani kumtembelea jamaa yake. Akajiambia kama angekuwa ni mtu wa biashara, angefanya. Basi aliponipa wazo na kuniunganisha na jamaa yake wa huko, na yeye akawa mwema. Akaniunganisha na huyo mmiliki ambaye walipita kuosha gari yake akiwa na Kumu. Akanielekeza na kuniambia alipogiza vifaa vyake, ndipo na mimi nikafungua.” “Aisee nimekukubali James!” “Mbona hilo nalijua.” Jema akacheka sana.

“Bwana si kwa hivyo!” “Mimi kukubaliwa kwa namna yeyote ile, sichagui. Tena na wewe!” “Eeehee?” “Nikubali vyovyote tu.” Jema akazidi kucheka wakiwa wameegesha gari sehemu ya ofisi zilipo. “Kama umechoka unaweza kunisubiria kwenye gari. Sitachukua muda mrefu.” “Naomba nikashangae zaidi ndani.” “Karibu.” Wakashuka garini.

Huku Kwa Joshua.

Joshua alishuka garini na maua yake akiwa ametoka kuagana na Naya muda sio mrefu kwani walikuwa wote njiani akimsindikiza kurudi nyumbani. Akaona nyumba imetulia, akajua Naya yupo chumbani. Akaingia ndani baada ya kumshukuru dereva. Kumbe Naya alipoagana naye tu akakimbilia kuoga. Akajisafisha jasho na kutoa harufu zote mwilini mwake akabaki fresh. Akavaa lingerie nyekundu. Joshua alitoa macho baada ya kufungua mlango wa chumbani, na macho yake kukutana na hicho kivazi mwilini mwa mkewe akiwa amekaa kitandani pembeni kama aliyekuwa akimsubiria yeye.

 “Naya!” “Umependa? Nimekuta kwenye moja ya mizigo yangu iliyoonyesha ni sanduku tulilokwenda nalo honeymoon.” “Nimeikumbuka, na niliipenda sana mwilini mwako. Naya wewe ni mzuri na una umbo zuri sana mpenzi wangu.” Baada ya hizo sifa Naya akapata ujasiri, akamsogelea karibu akiwa nusu uchi na hiyo lingerie iliyomuacha uchi kabisa ila kufunika matiti yake tu na kufunika mbele ya uuke.

Kama inavyoonekana pichaniMkono mmoja wa Joshua ulikuwa nyuma yake akificha maua, Naya hakuwa ameyaona, akakimbilia midomoni ya mumewe, mkono tayari kwenye zipu kwani alishaona amesimamisha. Akamtoa kwenye zipu kabisa akiwa bado amesimama na suruali yake. Akawa akimchua kwa mkono mmoja mwingine akimchezea masikio. Joshua akazidiwa akataka kutoa suruali kabisa ili jamaa atoke nje kabisa, awe huru hewani, mkewe amchezee vizuri, akakumbuka maua. Akasogeza mdomo maana Naya alikuwa akimnyonya ulimi wake kama pipi.

“Nimekuletea zawadi Naya.” “Acha isubiri.” Naya akaongea akitaka kurudi midomoni. “Naomba nipokee basi!” Joshua akaongea kwa msisitizo akimkwepa kidogo. Naya akashituka sana akajua amekosea. “Samahani, sikujua kama upo nayo mkononi.” Akamuachia kila mahali. Joshua akajuta. “Usingeachia huku chini!” “Nilifikiri unataka nikupokee! Au nimeshindwa kuelewa tena?” Ile hali ikawatoa kwenye dimbwi zito la mapenzi aliyoanzisha Naya, ikawa ni kama amemkatili. Joshua akamuona ameingiwa hofu ya ajabu. Ikabidi ajirudi kwa haraka “Nilikuletea maua.” Akamkabidhi. Akamuona mpaka mikono imeanza kutetemeka kwa hofu. “Nashukuru. Asante.” Naya akashukuru macho kwenye maua lakini si kwa furaha kama alivyotarajia Joshua.

Joshua akajua hakumbuki na ameshaharibu. “Asante.” Akashukuru tena bila ya kumtizama na kugeuka kuelekea upande wa pili wa hicho chumba, sehemu kilichopo 


chumba chao cha nguo na viatu. Huko nyuma matako yote nje. Alikuwa amependeza na kuvutia sana. Joshua akamsindikiza kwa macho na kuona vile alivyobadilika sio kama alivyompokea. Akaingiza vifaa vyake ndani na kujifunga zipu kwa haraka akamkimbilia. Akamkuta alishatupia kigauni juu. “Ulikuwa ukipenda sana maua, Naya. Kuliko kila zawadi niliyokwisha wahi kukupa.” Akajiongelesha. “Nilijua ungelifurahia!” “Na kweli ni mazuri.” Akajibu Naya taratibu akishindwa kumuangalia. “Samahani nimekukatili mpenzi wangu.” Akacheka taratibu akiangalia hayo maua. “Samahani Naya.” Akarudia kwa upendo akibembeleza. “Hamna neno.” Akajibu lakini akamuona machozi yakimtoka, akajifuta kwa haraka. Joshua akaumia sana. Naya aliyempokea alijawa utayari kweli kwake.

“Samahani Naya.” “Hamna neno. Naona alishapika. Chakula kipo tayari. Nakwenda chini kwenye kile chumba chenye vifaa vyangu, nitarudi baadaye kidogo.” Akatoka bila ya kusubiri jibu. Joshua akanywea kabisa. Mwili ukawa kama umemwagiwa maji baridi. Akahisi amefanya haraka kulazimishia hayo maua. Akajichukia na hata kuchukia hayo maua.

Ukweli Naya hakuwa akikumbuka kabisa. Akarudi kwenye hicho chumba na kujifungia. Akaanza kutafuta sehemu alizokuwa ameandika zamani kusoma kama aliandika habari za maua. Joshua akabaki akifikiria, akaona amfuate. Akashuka kwa haraka, akakuta mlango umefungwa kwa ndani na funguo. Akagonga. “Kuna kitu nafanya. Ni sawa nikiendelea? Nitakuja kulala baadaye. Naomba utangulie tu.” “Chakula?” “Nilikula mida ya jioni. Bado nimeshiba. Nikisikia njaa kabla yakulala, nitakula ndipo nije kulala. Na kwa kuwa nilishaoga, sitakusumbua.” “Hunisumbui Naya!” “Basi nitakuja kulala.” Joshua ndio akajua haruhusiwi kuingia humo ndani, na yeye ndio hatoki tena.

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~

Alifanya kila kitu bado Naya hakuwa amerudi hapo chumbani. Akaoga mpaka akamaliza. Akaamua kujisomea kidogo akiwa kitandani wakati akimsubiri, mpaka akaanza kusinzia bado hapakuwa na dalili yake kurudi hapo. Akaamua amfuate. Naya bado alikuwa akitumia dawa. Akagonga taratibu, kimya. Akaita tena na tena, kimya. Akahisi atakuwa amekunya dawa na kupitiwa na usingizi kwani hizo dawa ndio kitu cha mwisho kunywa kwa kuwa zinamfanya alale sana. Akaenda kuchukua funguo ingine, ili kufungua. Ikaanza kazi ya kuangusha funguo ya ndani kwanza. Akahangaika mpaka akafanikiwa. Akafungua na kumkuta amelala sakafuni na diary mkononi, maua pembeni.

Akaivuta taratibu na kuifungua. Ilikuwa ya zamani. Akaanza kusoma aliyokuwa ameandika humo. Akakutana na sifa zake kibao. Akifananishwa na wanaume wote waliopita kwenye maisha yake na kuwaona kwenye mahusiano. Joshua akakuta yeye ameandikwa kwa kupambwa kwelikweli. Kuwa amezidi hata zaidi ya maombi yake na mifano ya wengi waliopo kwenye mahusiano. Chini akaandika shukurani zake kwa baba Naya, kumuombea bila kukata tamaa mpaka kumpata huyo Joshua. “Nimemkatili Naya wangu! Joshua aliyemsoma humu na kutaka kumridhisha leo japo hamkumbuki imekua tofauti kabisa!” Akajilaumu akimwangalia vile alivyolala pale chini sakafuni na kuzidi kuumia. Akagundua aliyoyasoma ndiyo yaliyompelekea mpaka kukumbuka sanduku la fungate na kwenda kusaka vitu vya kumfurahisha.

Akakuta pembeni daftari kabisa. Akalivuta. Akashituka sana aliposoma ndani. “WOSIA WA BABA NAYA.” Moyo wa Joshua ukashituka. Akakuta ndani anaandika kila siku na tarehe za hayo mambo anayoandika. Aliposoma, kwa hakika alisikia sauti ya baba Naya kabisa. Na Naya naye akawa akiandika vile anavyojiwa na hayo maneno. Hapo Joshua akapoa kabisa akabaki akimwangalia. “Ni nini hiki! Na kwa nini hajaniambia kama amemkumbuka baba Naya?” Akawaza, asijue hata yeye ndio siku hiyo amegundua ni maneno aliyokuwa akihusiwa na baba yake. Kwa muda mrefu siku hiyo ndio kwa mara ya kwanza ameweza kujua ni nani alimwambia hayo maneno yanayojirudia akiwa usingizini. Akafurahi sana na ndipo siku hiyo akaandika hicho kichwa cha habari kuwa ni wosia wa baba Naya.

Akabaki akiwaza na kusoma mpaka akamaliza. Akarudishia kila kitu kama kilivyo akambeba. Wakati anatembea naye kumtoa hapo chumbani akashituka. “Samahani nilipitiwa na usingizi.” Akateremka. “Usiwe unaomba msamaha Naya! Unanifanya nijisikie vibaya.” Akatoa tabasamu la usingizi. “Naenda kulala. Najisikia kuchoka.” “Umeshameza dawa?” “Ndiyo.” Akajibu. Wakarudi chumbani. Akaelekea chumba cha kubadili nguo, Joshua akamfuata akakuta akitoa ile lingerie, kisha akavaa nguo ya kulalia, Joshua asiamini kama ndio amekosa utamu wa usiku huo.

“Kama ni sawa, naomba nitangulie kulala, kichwa kimekua kizito!” “Hata mimi nalala, nilikuwa nikikusubiria tu wewe.” “Pole. Nilipitiwa na usingizi.” Akatangulia kitandani. Joshua akamuwahi. “Nisamehe mke wangu, nimekukatili.” “Hapana. Mimi ndio najisikia vibaya. Sikumbuki kabisa. Najitahidi hata kusoma vitu vya nyuma ili kukumbuka, lakini sikumbuki. Nakuhurumia naona unaishi na mtu ambaye siye Joshua.” Akaanza kulia taratibu. “Hapana Naya.” “Nikweli. Najua na wewe unamatarajio yako kwangu, mimi sijui! Kuna vitu vingine nafanya nikijua ni sawa, kumbe nakosea.” “Mimi ndio nimekosa Naya. I pushed you too hard! Sikutakiwa kufanya hivyo. Hapakuwa na ulazima wa maua kwa wakati ule. Ila nilijua pengine ungekumbuka, na kukuongezea hamasa, kumbe nimeharibu! Tafadhali unisamehe.” “Ni sawa Joshua. Usiku mwema.” Hapohapo akageuka na kupitiwa na usingizi.

Ilimuuma sana Joshua. “Hizi sio kumbukumbu nataka azitunze. Kabla hajakumbuka vizuri, anakutana na mume wa namna hii!” Akajilaumu sana, nakushindwa kulala kwa haraka, akajisalimisha kwa Mungu. Akatoka kitandani kabisa na kupiga magoti. “Nimekosa Baba yangu. Naomba unisamehe na unisaidie. Naomba amani iliyokuwepo kati yangu na mke wangu. Nisaidie hekima yakuishi naye kipindi hiki anachohitaji muongozo sahihi, asisikie kuumizwa hisia zake.” Akaomba hapo Joshua, ndipo akalala.

Kwa James&Jema.

Wakati huku wengine wamemaliza siku wanalala, huku kwao walichukua muda mrefu hapo zaidi walivyotarajia. James akajikuta anatakiwa atengeneze hiki na kile zaidi kwenye kompyuta hata akili kwa dada yake haikuwepo tena ila kumuhurumia Jema aliyemuweka hapo akimsubiria usiku huo. Mpaka James anamaliza hapo kurekebisha system nzima tayari ni saa nne na nusu usiku, Jema naye usingizi. “Samahani sana aisee! Kumbe ni bora ungechukua tu gari yako!” “Tungekosa muda wa pamoja barabarani.” “Kwa hiyo huoni kama umepoteza?” “Hata kidogo. Hivyo vyakula vipo tu. Tutakula wakati mwingine. Acha mimi nikapumzike, jumanne ni siku za vikao kuanzia saa moja asubuhi ratiba ya Kumu ndio naianzisha mpaka jioni ndio tunatulia.” “Basi acha tuondoke.” Wakatoka hapo, kimya.

Jema akajivuta nyuma ya kiti, akatulia James akaendelea kuendesha. Jema akakumbuka na kumgeukia. “Ulitaka kuniuliza nini?” James mwenyewe akaanza kucheka. “Kama ndio hivyo usiulize James.” “Mbona sikuelewi sasa?” “Mimi nahisi hilo swali sio zuri bwana! Kwa nini likuchekeshe wewe mwenyewe?” James akazidi kucheka. “Basi acha nikuulize wakati mwingine, usije shindwa kulala bure!” Jema akabaki kama anaye tafakari.

“Nini?” “Nahisi sitaweza kulala. Wewe niulize tu. Ni juu ya nini?” “Kukiss.” Jema alishituka mpaka akapaliwa mate. “Kunywa maji.” James aliongea akiendelea kucheka. Jema akakohoa mara kadhaa mpaka akatulia. “Ila bado sijauliza swali.” “Nyie James jamani!” Jema akashangaa sana. “Pagumu pameshapita sasahivi ni muendelezo tu kutaka kujua.” “Nini sasa?” “Nashukuru kwa utayari wako. Kwamba tunaweza kuanza sasahivi, na kwa umbali gani?” “James!” “Ni kwa nia nzuri tu, ili tukubaliane. Kwamba kwa sasa tuanze kwa busu la kama baba kwa binti yake, au kaka kwa dada, au wapenzi?” “Mimi naona kwa leo kweli tuache.” James alicheka mpaka machozi.

“Hutaki tena?” “Sitaki.” “Sasa utalala kweli?” “Acha nikajue mbele ya safari.” James akaendelea kucheka sana. “Sasa hapo unacheka nini, James?” “Aisee nimemfahamu Jema ambaye nina uhakika watu wengi sana hawamfahamu! Kumbe unaabu hivyo! Mtu akikuona..” “Naomba tusikilize radio, James. Tafadhali sana.” Bila kubisha James akawasha CD ya nyimbo za dini huku akicheka. “Mimi sijui kuimba.” James akajisalimisha. “Bora uimbe hata kama ni vibaya, ili usiwaze mambo magumu!” Hapo James alicheka sana mpaka wakafika.

Akamfungulia mlango. “Sasa hapa sijui natoa busu gani!” Akawa kama anayejiuliza. “Acha bwana James!” Jema akalalamika. “Hutaki hata la baba kwa binti yake!” “Wewe sio baba yangu.” Jema akajibu. James akatulia kidogo akamwangalia. Akaelewa ndio amekaribishwa busu la mpenzi. Jema akajibaraguza kama anayefunga tena pochi yake. James akamsogelea kupata mdomo. Jema asijue James alishajiandaa na hilo busu tokea hajamfuata kazini. Alishajua nini afanye ili kufanya midomo yake itoe ladha nzuri, kwani alimsikia Joshua na Geb wakiambizana ni nini wao wanatumia kabla ya kupeana midomo na wake zao. Wote wakagundua wanatumia vitu vinavyofanana kasoro tu flavour tofauti. Hapo ndipo James akajua kumbe kuna matayarisho kabla ya kupata ndimi za mwanamke! Kwa kuwa hakuwa akijua ni wapi atapata, akanunua pipi kifua na kuzitunza kwani na hizo alisikia wakiambiana wasipokuwa na mouth freshener karibu, wanatumia hizo.

Usiku huo akirekebisha mitambo ya kwenye biashara yake, Jema akisubiria, kwa kuwa hakuwa amepiga mswaki jioni hiyo, akatafuna kwanza gum/BigG. Kutoa chochote kilichokwama kwenye meno. Wakati wanatoka akaenda chooni na kusafisha kinywa kwa kusukutua, kisha akajipaka mafuta ya midomo ili tu kulainisha midomo yake, isiwe imekakamaa/mikavu. Kisha akaweka pipi kifua yenye ladha ya mint, ili kufanya kinywa kiwe fresh ndipo akatoka hapo ofisini.

Hapo anamsogezea mdomo Jema, anajiamini na atakachokutana nacho. Jema akampokea taratibu na kushangazwa na utamu wa hiyo midomo. James akamuhisi anamsogelea zaidi, akajua amependa. James akamsogeza karibu yake zaidi na kuendeleza kupata midomo yake. Ikawa kwa mara ya kwanza James kupata denda. Na akalitendea haki bila papara. Akawa na kiasi kabla hajapitiliza. Jema akacheka. “Midomo yako mitamu!” akasifia. “Umenogewa?” Lile swali likamfanya Jema aanze kuondoka na kumfanya James azidi kucheka. “Usikimbie.” “Nawahi kulala. Wewe mchokozi James.”  Jema akazidi kuongeza mwendo mpaka kwenye mlango wa gari yake.

“Acha nikufungulie mama. Usikimbie.” Akapunguza mwendo, James akampita, akamfungulia ila akashangaa ameegemea gari. Jema akataka kumpita akamvutia kwake akawa amemshika kiunoni akamvutia kwake, akaanza tena kumnyonya midomo yake. Jema akajituliza akipewa denda mpaka akamuhisi mzee amesimama. Akamcheka James nafsini mwake maana alizidi kumng’ang’ania. Baada ya muda akajinusuru nafsi yake na kumuachia. “Nimefurahia Jema. Asante.” “Na mimi nimefurahi. Asante James. Halafu unajua kukiss!” Akaona ampe sifa yake tu. James akacheka akimtizama. Akainama.

“Naomba unisamehe nimekufanya usile.” “Ila umenikumbatia, nimefurahi. Wewe ni mzuri na umetulia James.” James alicheka mbele yake mpaka akainama. “Jema!” “Kweli. Mimi nafurahia kuwa na wewe. Hata sijali kutokula.” “Kesho tutaanza kula ndipo mambo mengine yaanze.” Wakaagana, Jema akapanda garini, akamfungia mlango, akaondoka. Hapo James alikuwa amejawa furaha hata hakumkumbuka dada yake tena. Na yeye akarudi kwenye gari yake safari ya kurudi kwake akapumzike ikaanza. Akawa akiendesha huku akiendelea kulamba midomo. Akamkumbuka Jema alipokuwa mikononi mwake, akampigia. Wakawa wanasindikizana.

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~

v Nini Kitaendelea kwenye mahusiano hayo mapya ambayo Nanaa ni kama kwa mara ya kwanza anasahauliwa na kaka yake!?

v Mapenzi aliyokuwa akililia Jema, amepata?

v Amani kati yake na mkewe aliyotangaza Kumu hata kwa Bale, itaendelea kuwepo au Kumu aliongea kwenye sikio la shetani?

§  Usipitwe.

CONVERSATION

0 Comments:

Post a Comment