Naomi Simulizi |+1 205 767 8163 |naomisimulizi@gmail.com Mapenzi & Pesa! - PART 1 - SEHEMU YA 44. - Naomi Simulizi

Mapenzi & Pesa! - PART 1 - SEHEMU YA 44.

Kwa Jema.

Akiwa kikaoni asubuhi hiyo, huku ofisini Fina akapokea simu kuwa Jema anamgeni getini, ametumwa amletee maua. Fina akawaambia walinzi wamruhusu aingie. Akayapokea yeye na kuyaacha mezani kwake. Kumu na Jema wanatoka kikaoni wanakutana na hayo maua mzuri sana mezani kwa Fina. Wote wakahamaki. “Ni ya Jema.” Joshua akamtizama Jema, Jema akajawa cheko akiyasogelea. “Yanatoka kwa nani?” “Fina naye!” Jema akayachukua na kuingia nayo ofisini kwake. Wakamsikia anarukaruka kwa furaha. Fina akacheka na kumfuata.

“We Jema! Ujue Kumu anakusikia.” “Nimefurahi sana, nimeshindwa kujizua. Nanyamaza.” “Si ulisema Temu amekutema wewe! Mbona kaamka na maua?” “Athubu! Mwendawazimu yule ushawahi kuona ameleta hapa hata pipi? Alikuwa na kazi ya kuomba hela tu, hana lolote. Akili ya maua aipate wapi mwehu yule. Kichwa…” “Mimi naona turudi kwenye ile furaha ya maua. Maana mpaka nimeanza kujuta! Mwali umepandisha hasira gafla!” “Kanifilisi ndio kakimbia! Anajidai..” “Naomba turudi kwenye maua, Jema.”

“Mletaji nani?” “Shoga nimepata Zungu la nguvu! Mwanaume anayejielewa si yule mpuuzi.” “Naona naya kizungu pia!” “Si umeona! Sasa hapo nilishapigiwa simu alfajiri kutakiwa siku njema ya kazi.” “Na maua juu!” “Sasa je! Utaniambia nini?” “Mama mimi sina usemi. Ukisema cha nini?” “Umeona Fina eeh! Mungu alitaka niachane na yule shetani, anitumie malaika wake. Basi mwenzio NAPENDWA!” Fina alicheka mpaka na yeye akajisahau kama Kumu yupo upande wa pili.

“Alitaka kukutia kichaa!” “Kabisa. Basi jana nimebembelezwa kwa raha zangu!” “Jema huyo!” “Sasa je! Mungu akaona rangi yangu, akanipa Zungu. Bwana Fina mwanaume mzuri huyo!” “Tumuone.” “Sitaki.” “Jema naye?” “Subiri kidogo Fina. Ndio week ya kwanza tu! Acha kwanza tuone.” “Na kweli mwaya. Hongera Jema mwaya.” “Mungu wangu ananifuta machozi kikubwa. Sikutegemea!” “Na wewe umetulia, lazima upate kitu kizuri. Acha mimi ndio nihangaike na wanaume wa hapa.” “Tulia Fina, utapata na wewe wa uhakika.” “Siwezi Jema. Nishazoea uhuru wangu. Bia na nyama choma kila siku usiku baa, ndio nikalale. Nikijiingiza tu na hekaheka za ndoa, ndio ujue uhuru wangu tena umepokonywa, kutoka kwa ruhusa!”

“Unajikuta mtu mliyekutana naye uzeeni eti ndio anaanza kukupangia nini cha kufanya! Akuu, SITAKI! Acha nyinyi muolewe, mabwana zenu mnaowapikia ndani na kuwafulia, ndio watutunze sie wamjini. Tunakesha nao baa, ukitosheka unamuachia, anarudi kwake, na mimi naenda kulala kwangu kwa uhuru wangu. Akiugua, mnatuuguzia mpaka akipona. Sisi mguu juu. Katika raha na raha tu.” Aliongea kwa utani, lakini Jema akaumia rohoni. “Ndio maana yake, wala sio uongo. Viapo mnakula nyinyi. Katika shida, sisi tunakula nao katika raha.” Fina akaongeza na kutoka.

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~

Alipotoka tu, Jema akakimbilia simu yake. Akatuma ujumbe. ‘You made my day. Nimerukaruka mpaka jasho limenitoka. Nimefurahi sana. Asante kwa maua. Ila mimi sijakutumia kitu.’ James akacheka na kumpigia. “Sio mashindano mama.” Jema akacheka sana. “Nimefurahi James, nimefurahi sana. Tena ni roses fresh! Nyekundu na chache nyeupe. Maana ya rangi zote mbili ninayo na nimeweka moyoni. Ukija kusahau ujue nitakukumbusha siku ya leo.” “Hapo nimeshukuru kama umepata ujumbe wangu. Mwanzo mpya wa mahusiano yetu ya mapenzi.” “Nimefurahi sana. Tena sana kwa kuwa naanza na wewe.” “Ni hivyo itakua nikiigiza.” Jema akaanza kucheka tena.

Akauliza. “Lakini ungesemaje?” “Hivyohivyo kama ulivyosema ila mimi ningeongeza kwa kuwa jana sikukwambia.” Jema akawa hajaelewa. “Nimelala nikijilaumu. Nikajiambia sina sababu ya kujichelewesha kwako Jema. Nataka kukwambia na sitasubiri tena. NAKUPENDA na NIMEKUCHAGUA wewe.” “Jamani James!” “Oooh yeah! Nimekuchagua Jema. Na nataka ujue nimeamua. Sijaribishi.” Jema akazidi kufurahi.

“Kwa hiyo nabadilisha. Kama kuna madhaifu utakayoyagundua, ujue mimi ni wako tu. Nibebe hivyohivyo. Ila ujue sitakusudia kukuumiza. Ujue kuna ubinadamu, kuna kupelea. Unichunguze kwa nia ya kufahamu utakuwa na mtu gani, sio kuachana.” Kwa waliomzunguka James. Kuanzia kina Zinda wasiojua kutongoza mpaka mtaalamu Kumu na Geb, James akakusanya yote. Akawa mjuzi kwelikweli. Na hivi alimlea Nanaa kama mama, akawa na haiba ya upendo wa mapenzi wenye ladha ya kimama. Hapo Jema akafikishwa.

“Mimi nahisi kama ndoto, naogopa nisije kuamka James.” “Hata ukiamka utakutana na James huyuhuyu na maneno hayahaya. Rudi kuchapa kazi, usije haribu sifa njema. Tutazungumza tena baadaye.” “Asante sana James. Asante kwa maua na upendo.” “Karibu.” Waajiriwa hao hawakutaka kupoteza muda wa kazi kwenye mapenzi. Kila mmoja akarudi kazini lakini wote wakiwa wamejawa furaha ya ajabu.

Kwa Naya & Joshua.

Joshua akapotelea mawazoni. Akakumbuka jinsi Naya alivyokuwa akifurahia zawadi ya maua kuliko chochote ampacho. “Sijui atakumbuka kama anapenda maua!” Akacheka alipomkumbuka Naya na aliyomfanyia asubuhi hiyo. Akasikia kumpenda. Akachukua simu kuangalia nyumbani kwake kama ameamka. Akaona nyumba nzima ipo kimya, akajua bado amelala. Akajipongeza na kufurahi`kumpelekea kifungua kinywa chumbani na kumwambia ale kabla hajarudi kulala. Akaazimia kumnunulia maua na kuona kama atakumbuka. Kisha akamtumia ujumbe. ‘Nakupenda Naya wangu.’ Hapohapo akarudisha ujumbe. ‘Nakupenda Joshua. Nakupenda sana. Hapa nilikuwa nakuwaza wewe.’ Joshua akampigia.

“Unaniwazia nini?” “Mema.” Naya akajibu akicheka akisikika bado yupo kitandani. “Yepi hayo?” “Ni surprise yako ukirudi.” “Utanifanya nishindwe kazi.” “Ndio usichelewe kurudi.” “Sithubutu. Nichelewe kuvuliwa nguo!” Naya akacheka sana. “Nakupenda Joshua. Napenda unavyonichezea na mimi. Hapa nimelala nakumbuka weekend yetu ilivyokuwa nzuri.” “Na mimi nilikuwa na wakati mzuri. Nakupenda Naya wangu.” “Najua Joshua. Nikuache ufanye kazi.” Wakaagana.

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~

Aliporudi kulala, akiwa katikati ya usingizi mzito akasikia tena sauti anayoijua kwa hakika ila alishindwa kabisa kumtambua ni nani huwa anamuongelesha. ‘Umesimama sehemu sahihi.’ Naya akashituka kutoka usingizini. Na haikuwa mara yake ya kwanza. Tokea aanze kusikia hiyo sauti alianza kuandika kwenye kijitabu. Kila ujumbe, aliandika na tarehe alizokuwa akiongeleshwa au kupata ujumbe. Kwa hiyo hicho kitabu alikuwa akikificha kwenye chumba chenye vitu vyake, akisikia ujumbe, anakwenda huko bila kumwambia hata mumewe, anaandika na kukirudisha. Na wakati wote alikuwa akiandika kama anavyosikia huku akijaribu kutafakari. “Inamaana gani hii!” Naya akabaki akitafakari akiogopa kumshirikisha mumewe asije akaonekana amechanganyikiwa. Maana hata yeye alishindwa kuelewa kama ni ndoto, au kweli mtu anazungumza naye, au kumbukumbu ndio zinamrudia! Akabakia kuweka kama siri yake mpaka atakapojua kwa hakika.

Moja ya yaliyozungumzwa kweke akiwa usingizini ni, ‘Kuwa mwangalifu usije kuharibu kazi ya watu.’ Wakati mwingine alisikia, ‘Kuwa makini usije kuharibu kazi za watu.’ Na mara zote aliandika. Alipoandika huo ujumbe wa asubuhi hiyo nayo, akarudia kusoma jumbe zote, kisha akaanza kuwaza alikuwa akifanya nini kabla hajapoteza kumbukumbu. Hiko kikaanza kumsumbua.

Joshua alimwambia alikuwa na kipaji. Akaanza kupitia kazi zake na kushindwa kabisa kuelewa aliweza vipi kuchora mitindo kama ile! Akaanza kusoma historia ya kila mtindo, ndipo akakutana na sehemu aliandika juu ya baba Naya. Akatulia kabisa. Pembeni ya historia ya ule mtindo akaona ameandika, ‘siku baba Naya aliposimama na mimi nikiwa sistahili upendo wake wala huruma zake. Amenishika mikono yangu, amenifuta machozi niliyojisababishia mwenyewe na kuniombea moyo uliojeruhiwa vibaya sana.’ Akatulia akitafakari. Akagundua mitindo yote ilikuwa na historia fupi, lakini za aina mbili. Akawa akiandika pia na kipindi alichokuwa akipitia kwa wakati huo akibuni huo mtindo.

Alishinda humo chumbani akisoma habari nyingi tofauti tofauti. Zake, Malon mpaka akamfikia Joshua na kushangazwa sana. “Huyu Joshua aliwezaje kunipenda mtu niliyekuwa na moyo kama huu!” Hizo ni siri zake alikuwa akiandika wakati huo kabla hata ya kuolewa, kwa kila kipindi anachopitia. Akajua kwa hakika Joshua anampenda na kushangazwa na maisha aliyoishi nyuma. Naya alishinda kwenye hicho chumba siku nzima.

Bale Kwa Joshua.

Akiwa ofisini akaona simu ya Bale ikiingia. Akakunja uso na kupokea. “Eti mimi nilimuuza Naya?” Akaenda moja kwa moja kwenye swali alilouliza kama anayejitetea. “Wewe wajua Bale.” “Mimi nakuuliza tu. Maana inakua kama lawama!” Joshua akakunja uso asielewe anayeweza kumlaumu Bale ni nani! “Maana mimi nilikurudishia Naya. Sasa nataka kujua.” “Bale, wewe ndiye mwenye hayo majibu yote. Ninachojua nilipata baraka za baba yenu. Aliniombea baraka juu yangu, Naya na uzao wangu au wetu. Akanibariki kwa kinywa chake tena akiwa ametoka kufunga kwa siku zaidi ya tatu. Akanipa Naya kama mke wangu, na wote mlijua japo hamkuridhia.” Joshua akaendelea taratibu tu.

“Mke wangu akapotea akiwa anamuombolezea baba yake, Zayoni na ndugu zenu. Ukamrudisha ukiwa unampiga kikatili, mgonjwa na akiwa ameumizwa mwili wake vibaya sana. Sijui alipoteaje! Sijui alifanywa nini huko! Lakini Bale, Mungu wangu hajawahi kunipokonya kilicho changu. Alifanya nini huyo Mungu. Alimtumia nani kujibu maombi yangu, mimi sijui! Ila najua Mungu ambaye ni baba yangu alinirudishia mke wangu. Na hakika nimemuachia yeye ahukumu kwa haki.” “Ila huyo Mungu alinitumia mimi kukurudishia Naya.” “Wewe wajua Bale.” Joshua akamjibu hivyo tu kama asiyetaka malumbano.

“Sasa mbona unashindwa kutambua hata kama nilikosa lakini nilijirudi?! Ulitaka nifanye nini Joshua? Mbona wewe upo kinyume yangu tokea mwanzo!” Ila Joshua akagundua aina hii ya Bale aliyepiga simu, siye waliyeachana mara ya mwisho kwa kiburi. “Nina uhakika kabisa, unashuhudiwa moyoni mwako Bale, sijawahi kukupa sababu ya kuona nipo kinyume na wewe. Na kukupunguzia tu wasiwasi, mimi ni mtu wa mwisho sana kutakiwa kujirudi kwangu.” “Kwa hiyo unataka nimtafute Naya nimuombe msamaha?” Akauliza Bale.

“Japokuwa sijui unata kumuomba msamaha wa nini! Lakini kwanza, Naya hakukumbuki kwa wema ila mtu wa mwisho kumpiga ukiwa na hasira sana juu yake na mpaka leo hajui ni kwa nini ulikuwa ukimpiga vile wakati anasema alishakwambia kichwa kinamuuma sana na hukutaka kumsadia. Na mimi sikutaka kukutambulisha kwake kwa ubaya, nimeacha kama ilivyo. Ila anakuogopa sana. Na kingine mke wangu hakumbuki yaliyompata. Kumtafuta mke wangu sasahivi nakumpa habari asizoelewa, ambazo pengine Mungu ameona amfiche kwa muda mpaka apone kabisa au mpaka yeye mwenyewe Mungu aone yupo tayari. Kwa KUHARAKISHA kwako sasa hivi, nikumchanganya tu, na SITAKURUHUSU.” Hapo Joshua akaweka msisitizo.

“Kwa hiyo ulitaka nini?” Bale akauliza kwa ukali kidogo. “Kama utakumbuka sawasawa ni wewe ndiye uliyenipigia simu. Binafsi niliheshimu matakwa yako, ukiniomba nikae mbali na wewe. Ndio maana umeona sijakubugudhi tena kwa lolote. Ila kumalizia nilichotaka kukwambia, mtu sahihi wa kujirudi kwake na kutengeneza, si Naya wala mimi ila MUNGU.” Kimya. Joshua akaangalia simu na kukuta hajakata. “Umenisikia Bale? Mungu aonae sirini, ndiye mtu wa kuzungumza naye wala si mimi, kwani aidha uwe sawa na mimi au la, kama umekosana na Mungu ni bure kabisa.” Kimya.

“Na najua kwa hakika unajua kama Mungu ni halisi Bale. Nilipokonywa mke wangu, lakini pesa na vyote nilivyonavyo vilishindwa kumpata mke wangu. Lakini huyu Mungu wa milele.” Joshua akakaa sawa, akisikika amehamasika. “Mwenye enzi yote. Aliyekuwepo pote hata ambako macho yangu na pesa zangu vilishindwa kufika, alitingisha hii dunia  mpaka ikamtoa mke wangu mafichoni na kunirudishia mimi. Japokuwa hakuwa akinikumbuka, Mungu ameniumbia Naya wa ajabu sana. Ambaye sikumtarajia. Imekuwa kama kule kupotea kwake, Mungu amebadilisha. Lile shetani alilokusudia kulifanya kwangu na kwa mke wangu kwa ubaya, Mungu ameligeuza na kuwa jema mno kwetu. Ninachotaka kusema ni, ni bora uwe sawa na Mungu kuliko yeyote yule. Anauwezo wa kutengeneza kwa ajabu sana. Zaidi ya ufikiriavyo au uombavyo.” Akaendelea.

“Mimi nilimlilia Mungu kunirudishia mke, akarudi hanikumbuki, lakini nikakumbuka lile andiko linalosema, wao wamngojeao bwana, watavikwa nguvu mpya’.” Joshua akaanza kuzungumza naye. “Hakuna jasiri wa kusubiri Bale, lakini najua yapo matokeo mazuri sana kwenye kumsubiri Mungu. Wale wanaosubiri katika Bwana, hawajawahi kuabika hata kama mwanzoni wanaonekana wamechelewa.” “Kwa hiyo unachotaka kusema mimi sijamsubiria Bwana?” “Wewe wajua Bale. Narudia tena. Wewe unayo majibu ya hayo maswali yote. Ila mimi nilimsubiria Bwana wangu, MAGOTINI. Akanitia nguvu, akanirudishia mke asiyenikumbuka KABISA. Sikukata tamaa, nikaendelea kusubiri magotini nikimlilia Mungu wangu mpaka Mungu aliponikabidhi tena mke aliyemtengeneza yeye kwa upya.”

“Na zawadi kutoka kwa Mungu huwa zinakuja, ila wakati mwingine huja kwa kuchelewa, ila zinakuja kwa namna ya kipekee sana. Zimejawa amani, utulivu, zikiambatana na baraka za kiMungu. Shetani hana zawadi ya bure. Zawadi zake ni za kuwahi lakini ni LAZIMA utakuja kulipa garama tu. Kwa hiyo kama unajihisi kunakutakiwa kutengeneza kwa namna yeyote ile, anza kwanza kwa Mungu mwenye rehema, Bale.” Simu ikakatwa. Joshua akashukuru kuona angalau alisikiliza mpaka mwisho. Hakumpigia tena. Akamuacha kabisa.

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~

Ujumbe mwingine kutoka kwa Naya ukaingia. “Nakupenda sana Joshua. Asante kusimama na mimi hata katika vipindi ambavyo sikukustahili. Mungu alikuleta kwangu akijua nakuhitaji sana. Tafadhali endelea kunivumilia kwa muda. Naamini nitakuwa mke ambaye nitakufaa tu.” Kidogo akawa amemchanganya Joshua. Ikawa kama amekumbuka kitu kisha ikawa kama hakumbuki tena, asijue ujumbe huo anamtumia mumewe akiwa hakumbuki nyuma ile vile alivyosoma alivyokuwa akiandika juu yake tokea wachumba. Hapo Naya amekutana na diary yake ya nyuma ndio akamsoma Joshua na wanaume wengine wote waliopita kwenye maisha yake.

‘Hata sasa unanifaa Naya. Nakupenda hivyo ulivyo.’ Joshua akamtumia huo ujumbe. ‘Simaanishi kwenye mapenzi tu, Joshua. Namaanisha mwanamke unayesimama naye kwenye maisha. Kuwa msaidizi wako kwenye uhalisia kwelikweli. Acha niendelee kumuomba Mungu kama ulivyonishauri. Nitajua mimi ni nani na natakiwa kufanya nini.’ Aliposoma huo ujumbe akaona ampigie. Akamsikia akilia.

“Ni nini tena mpenzi wangu?” “Naangalia hii mitindo, sikumbuki kabisa! Nimejaribu kushika hii cherehani, sijui kabisa chakufanya!” “Kwanza naomba utulie Naya. Na naomba usiwe na haraka. Unakumbuka jana tulizungumza juu ya kumngojea Bwana?” “Mbona hajibu sasa?” “Inawezekana hivyo ndivyo anakujibu.” Naya akawa hajaelewa na Joshua akajua. “Wewe ulitaka kuanza kushona sasahivi, pengine si kitu Mungu anataka uanze nacho.” Hapo akatulia.

“Tafadhali kuwa mvumilivu.” “Sitaki kukaa tu bure.” Naya akaongea akilalamika. “Ni vile hutambui mchango wako kwangu. Sasahivi akili yangu imetulia, naweza kufanya kazi kwa utulivu mkubwa. Namsikia Mungu wangu vizuri sana, kwa sababu yako. Unanituliza Naya. Nipo hapa kazini nikifanya kazi vizuri kwa sababu najua Naya wangu yupo nyumbani, akinisubiri mimi. Na nikifika, nafika kwenye utulivu.” “Nakupenda Joshua.” Akadakia kwa haraka.

“Najua Naya. Tafadhali jua unao mchango mkubwa sana. Chochote ninachofanya sasahivi ujue unamchango mkubwa sana kwangu. Unakumbuka jana ulilala mchana nikaingia ofisini kufanya kazi mpaka uliponikuta?” “Lakini nilikuingilia Joshua! Najiona kwa sababu sina kitu chakufanya ndio maana nakuingilia.” “Hata kidogo. Pale tulipohamia kwenye kochi nikakwambia kuna kitu nakitoa akilini nakiweka kwenye karatasi, ukatulia kwenye miguu yangu.” Akamsikia akicheka taratibu kama aliyekumbuka kitu.

“Umekumbuka eeh?” “Nilipenda vile ulivyokuwa ukinichezea matiti yangu.” Joshua akacheka na kuendelea. “Vile ulivyokuwa umetulia pale, ilinipa utulivu mkubwa sana. Japokuwa nilikuwa nikiburudika na matiti, lakini mkono ule mwingine uliweza kutoa mambo ya ajabu sana. Nilipofika hapa ofisini nilikuwa nikisoma nilichokiweka kwenye karatasi, mimi mwenyewe nilikuwa nikishangaa. Ni kwa ule utulivu unaonipa Naya. Umetulia mpenzi wangu. Muelewa. Husumbui. Jana ulitulia mpaka nilipomaliza.” “Kwa kuwa nilikuwa naona raha.” Joshua alicheka sana.

Jumapili, Nyumbani Kwao Goba.

Naya alimlalia akiwa anaandika kwenye meza ndogo ya pembeni ya kochi. Akajipenyeza akamlalia na kutulia kimya wakati mwenzie akifanya kazi. Ikawa kama kapaka. Akiwa ametulia, akashangaa mkono wa Joshua unapenya kifuani. Akajiweka sawa kama kumpa mwanya kufanya anachotaka kufanya. Macho kwenye kalamu na karatasi akionekana makini, huku akipenya mpaka akafikia matiti yake. Akamsikia akihema bila kumwangalia. Akaendelea kuandika huku akimchezea matiti yake. Akapotelea mawazoni akipikicha chuchu zake.

Naya akawa mvumilivu lakini akiwa ameshaloa kwa kutaka penzi. Joshua alipomuinamia tu na kumbusu akimwambia amemaliza, Naya akakimbilia zipu yake ya suruali. Alikuwa amelala kochini, Joshua amekaa, Naya akaanza kumnyonya. Alimnyonya mpaka akaanza kupata ladha ya ute wa mumewe, akavua chupi yake kwa haraka, akamkalia. Akatoa ziwa na kumuashiria anyonye. Joshua akaelewa. Akajivuta mbele, akaweka titi mdomoni, Naya akajizungusha hapo akijipimia atakavyo, mumewe akimnyonya titi lake huku mkono mmoja umemshika kwa nguvu. Akaanza kufika kileleni yeye mwenyewe Naya. Ndipo ikaja sasa zamu ya Joshua. Akamtoa kile kigauni.

Akamlaza chali hapo kochini, akapiga magoti mbele yake, akamvuta kiuno kwake. Miguu yake akaibeba mabegani, kichwa chake kikawa katikati ya mapaja yake akimpata uke wake vilivyo. Akaanza utundu wake wa ulimi ambao hata kama Naya amekua ametoka kileleni, akimuamulia, lazima atampigisha bao la pili. Akaanza kumnyonya kuanzia mbele mpaka nyuma. Akafanya hivyo akivuta kama ananyonya pipi taratibu mpaka akasikia anaanza kunung’unika. Akajua anamtaka amuingilie. Akamuelewa ila hakufanya hivyo. Ikabidi Naya amuombe akinung’unika. Joshua hakuingia ila akakamata kile kinyama chenye kutoa raha, ambacho kilishatuna haswa kuashiria Naya yupo juu sana. Alikinyonya kwa nguvu mpaka Naya akapiga bao la pili.

“Nilitaka uniingilie, nipige bao nikiwa nakusikia ndani yangu.” Naya akalalamika na cheko la aibu. Akashangaa Joshua anamnyanyua na kumuinamisha hapohapo kochini bila ya kumjibu. Akaanza kumuingizia bila kumjibu kitu. Na vile Naya alishapiga mabao mawili na anamate ya Joshua, alimsikia vile Joshua akiingia na kutoka nakumpa raha si maumivu. Hapo ndipo Naya akaelewa kwa nini alimpigisha bao la pili kwa mdomo. Ni staili anayoipenda Joshua, lakini yeye huwa hapigi bao kwenye staili hiyo ya kuinama. Joshua alisema anapenda akiwa anamwingilia huku akimtizama mwili wake kwa nyuma pia. Akiona vile kiuno chake kilivyoingia katikati. Mgongo ulionyooka, akishika na matako yake, alimwambia anapata ladha ya tofauti.

Basi akaendelea kwa muda tu. Naya akiwa ameshaenda mara mbili, yeye anatafuta ya kwanza kwa hapo chumba cha kusomea. Na Joshua alijua kuhimili mchezo na kuweza kujizuia mpaka aridhike. Na huwa akiamua kwenda muda mrefu kwenye hiyo staili, wakati mwingine Naya alimshitukia anachomoa, kisha kuinama na kuanza kumnyonya tena, vilevile akiwa ameinama. Humwambia asibadili staili. Anakuwa kama mtoto wa mbuzi, kitangina, akinyonya kwa mama yake. Basi hapo huamsha hisia kali kwa mkewe, hatamruhusu apige bao, anarudi ndani kwa haraka na kuendelea mpaka amalize. Naya hulalamika kuwa amemkata, ila Joshua huishia kucheka na kusema yeye alikuwa akijitengenezea njia yake.

Ila haikuwa hivyo hapo kochini. Siku hiyo walifanya mapenzi karibu siku nzima. Joshua akawa na kiasi kwa mkewe, akajiachia na kupiga bao zuri. Naya akaanza kumcheka mumewe akiendelea kupiga bao vile alivyokuwa akigugumia kwa sauti mpaka akamaliza. Wakajilaza kwenye kapeti hapohapo chumba cha ofisi ya Joshua hapo nyumbani.

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~

Wakajikuta wote wakicheka hapo kwenye simu. “Rudi kazini Joshua. Mimi nitakua sawa.” “Ndicho nataka kukisikia hicho. Ukiniambia hivyo. Natulia.” “Basi nitaachana na uanamitindo kwa sasa mpaka Mungu aone nipo tayari kwa hilo.” “Hayo ndio maneno.” Wakaagana na kukata simu, Joshua akijaribu kujituliza kwani Naya alimkumbusha mbali, hamu naye ikamuanza kama ambaye hakuagwa asubuhi hiyo.

Asubuhi Ya Siku Hiyo.

Alimuacha Naya kitandani akiwa amelala, akaingia bafuni kuoga. Akashitukia Naya ameingia hapo bafuni uchi, na kupiga magoti mbele yake. Ukweli aliamka Joshua Kumu mwenyewe akiwa ameshasimama haswa,  nyuma ya matako ya mkewe aliyekuwa amempa mgongo tena uchi. Akampapasa matako, Naya akiwa amelala. Akamsogezea kabisa lakini hata Naya hakutingishika. Akawa mstaarabu, akaona asimuamshe mkewe kwani usiku uliopita huko ofisini kwa Joshua ndipo walipofanya lile penzi la haja, wakaenda kuoga na kulala. Eti asubuhi hiyo tena mzee anataka! Akaona awe muungwana mpaka hapo Naya mwenyewe alipomtokezea bafuni.

Naya huyu anayo nguvu. Hafanyi kazi yakumtoa jasho. Kula kulala. Kazi yake ikawa mapenzi tu. Alipomdaka mzee na kumuingiza mdomoni, akaanza utundu wake wa mdomo bila meno. Joshua akabaki amesimama katikati ya maji, mikono yote miwili ameshika kuta kama zinataka kuanguka, Naya akimchezea. Mikono nayo ikawa inamsaidia kumchua huku akimchezea chini kwenye kengele zake. Nusura Joshua amalizie hapohapo. Naya akashitukia amenyanyuliwa pale chini, na kuinamishwa mbuzi kagoma. Uzuri alishamwambia mumewe akiwa anamnyonya yeye, na yeye anapata raha inakua kama anajiandaa. Joshua anapenya, anakutana na uke uliolaini, na ute wa kutosha tu. Hakumaliza hata dakika mbili, akawa amemaliza.

Naya akasimama. “Umefurahi?” “Sana. Sikutaka kukuamsha. Nilitaka nitoke kimyakimya nikiwa nimeshavaa, nikaabudu chini, ndipo niende kazini.” “Nilihisi mzee amenigusa kabisa. Nikajua umeshaamka. Ila na mimi nilikuwa na usingizi nikawa najishauri kuamka. Nikataka kupitiwa na usingizi, nikakuhurumia, sikutaka uende kazini hivyo.” Joshua akacheka sana. “Ningekuwa sawa tu.” “Najua. Lakini kwa sababu mimi nipo, sikutaka uwe sawa bila mimi.” “Na wewe?” “Hapana. Mimi narudi kulala. Bado nina usingizi. Hii ilikuwa kwa ajili yako tu.” “Nakushukuru mama Kumu. Basi subiria tumalize, nivae kabisa, tukafanye wote ibada fupi tu.” Walitoka hapo, Joshua akavaa kabisa ndipo wakafanya ibada ila si chini kwenye kinanda. Joshua alishachelewa muda wake wa ibada aliyozoea kufanya, ili atoke hapo kwa wakati, awahi kazini .

Ila Joshua ni wale watu wanaoomba kwa kupiga magoti. Hawezi kukaa akiwa anaomba. Akapiga magoti pembeni ya kitanda. Naya naye akafanya kama mumewe. Joshua akaanza kumshukuru Mungu. Akamsifu kama anayeimba. Akamuabudu Mungu wake ndipo akamshika mkono mkewe. Akaanza kuomba sasa kwa njia ya kushukuru mpaka akamaliza. “Asante kwa baraka Joshua.” Akambusu na kusimama kwa haraka. Akakimbilia jikoni. Akakuta kifungua kinywa tayari. Akamuwekea kwenye sinia na kumkimbizia juu.

“Na wewe?” “Nimemwambia anifungie. Nitakula njiani. Naona na dereva ameshanifuata. Sitaki kuchelewa.” Akakaa na kumpa mdomo mkewe. Naya akakaa vizuri na kumpokea. Akainyonya midomo ya mumewe bila kumpa ulimi wake. Akamnyonya Joshua kisha akamuachia. “Joshua anapendwa!” “Sana.” Naya akajibu, Joshua akatoka akikimbia na kumuacha mkewe akicheka. Ndipo Naya akala na kurudi kulala. Mpaka mambo ya maua yalipomkumbusha mbali na kuamua kumtumia ujumbe akidhani bado amelala.

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~

Hamu ya kurudi nyumbani ikampata, ila akakumbuka wajibu mkubwa alio nao hapo kazini. Akarudisha akili kazini. Kazi zikaendelea akisubiria kwa hamu hiyo surprise anayoandaliwa na mkewe. Huku akitaka kujua kama Naya atakumbuka swala la maua aliyokusudia kununua ampelekee


CONVERSATION

0 Comments:

Post a Comment