Naomi Simulizi |+1 205 767 8163 |naomisimulizi@gmail.com Jifunze Mazoezi kwa Afya - Naomi Simulizi

Jifunze Mazoezi kwa Afya

Mazoezi ni Muhimu kwa afya yako. Sio lazima uende gym. Unaweza kufanyia hata nyumbani. Asubuhi uamkapo au jioni baada ya shuguli za kila siku. Kama ungependa kuanza na ujui pakuanzia. Angalia pichani utapata muongozo wa nini chakufanya kila siku. Fuatiliza siku na kitu gani cha kufanya na jinsi ya ufanyaji kutoka kwenye kila picha pembeni ya siku.

Karibu.

 

CONVERSATION

0 Comments:

Post a Comment