Sasa hadithi hii iliyosheheni mikasa mingi iliyojaa visa vya mapenzi mazito na ya kweli, na ukweli juu ya maisha unaweza kuipata kwenye simu yako na kuisoma popote ulipo bila shida
Tena ikiwa imeboreshwa zaidi. Kwenye hadithi hii utaona jinsi penye nia wakati wote huwa pana njia, kama ukikusudia na kutokata tamaa. Kwenye Hadithi hii Utakutana na Mercy, msichana mrembo mwenye asili ya Venezuela na Mbantu kutokea wilayani Lushoto, mkoani Tanga. Aliishi maisha ya kifahari sana nchini Marekani, lakini alijikuta akiangukia kwenye matatizo makubwa sana duniani akilia kutafuta msaada mchana na usiku, baada ya kutupwa nchini Tanzania tena kijijini kwa baba yake, Mlalo Tanga. Baada ya kufungiwa kijijini huko kwa miaka kadhaa, Mercy alijikuta akitangatanga mchana na usiku huku akiwa mgonjwa sana na njaa ikimnyanyasa. Ghafla, dunia ilimbadilikia na kuanza kukandamizwa huku ikimtafuna bila huruma. Maisha ya Mercy yalijawa na usaliti, misiba na kujikuta peke yake mpaka alipoangukia kwenye mikono ya kijana wa Kinyamwezi, Ben. Ben ndiye aliyemuokoa Mercy kutoka kwenye ‘suluhisho’ lake la kutaka kujiua, baada ya Mercy kukata tamaa kabisa ya maisha. Baada ya maisha yake kupitishwa kwenye moto mkali sana, na Mercy akibaki akijiuliza kwa nini alizaliwa na kupita alikopita, ndipo alipogundua kusudi la yeye kuwepo duniani. Haikuwa rahisi kwa Mercy hata kidogo, lakini yalikuwa ni majaribu yake, na ilimpasa kusimama.
![]() |

Ili kusoma Kisa kizima kujua kilichojiri kwa mrembo huyu wasiliana nami moja kwa moja kwa
Whatsapp namba +12057678163 au barua pepe naomisimulizi@gmail.com
0 Comments:
Post a Comment