Akamtoa hapo mpaka kitandani. Kazi ya kunyonya kila mahali husika ikaanza. Vai alikuwa akilalama, nakushukuru Mungu hakuondoka. Bila kutarajia akapiga bao midomo yake ikiendelea kumnyonya kisimi. Hakuacha mpaka akapatwa tena hamu. Ikawa kama amejua kuwa amepatwa tena hamu. Akarudi kwenye matiti, kisha akamnyanyua mguu mmoja. Akaanza kuingia taratibu akiwa amemkumbatia mguu mmoja. Hapo Vai akashindwa kutulia, anahangaika kama kuku anayetaka kutaga. Victor aliendelea kwa kujinafasi, mpaka akamaliza mwenyewe. Hapo ndipo Vai akapatwa aibu.
Akamcheka. “Nashukuru
Vai. Naamini sijakuumiza.” Akatingisha kichwa kukataa, akivuta shuka
kujifunika. “Turudi kuoga wakati nikiwapigia simu waje watubadilishie mashuka.
Si tutarudi kulala kidogo?” Vai akakubali kwa kichwa. Victor akacheka akivuta
simu ya mezani kuomba huduma ya kubadilishiwa mashuka kwakuwa yalikuwa yameloa
na kuletewa kifungua kinywa.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Wakiwa tena bafuni,
akimsafisha kama mwanzo, ikabidi amuulize. “Kwani wewe Victor hujaoa?” “Nina
mke na watoto wawili, ila tumetengana.” “Unamaanisha nini?” “Tulikuwa kwenye
matatizo ya ndoa ya muda mrefu, tukaona tupumzike.” “Kwa hiyo mtakuja
kurudiana?” “Mimi ndivyo nilivyodhani. Sasa kuja kuona mwenzangu anamwanaume
mwingine, na kwao ni kama wamempokea huyo, nikaona na mimi nisijitese na ukame
bila sababu. Nitafute mtu.” Hiyo kidogo ikawa haijamkalia sawa Vai. Ila
akaona aache tu.
Wakasikia watu
wakisafisha chumba. “Belinda alisema mpo likizo mpaka jumatatu.” Hapo
anamuuliza akiendelea kumsafisha mgongoni mpaka shingoni. “Ndiyo.” Akamgeuza na
kumbusu kwa muda tu. “Ni sawa tukiwa wote kwa siku hizi mbili? Nitakurudisha
chuoni mimi mwenyewe. Nataka tupumzike tu.” Vai akatulia. Akamvutia kwake
zaidi. “Au umeshanichoka?” Anamuuliza hivyo na kudaka midomo yake, amemkumbatia,
hajajibiwa. Akambusu kwa muda, Vai ametulia hapo. Hajawahi kuogeshwa wala
kuoshwa baada ya penzi. Vya Victor ni vigeni kabisa, tena vitamu. Akanogewa na
kutaka zaidi.
Akamuachia na
kumtizama kama kupata jibu. “Sina nguo. Labda niende chuo nikachukue halafu…”
“Usijali. Nitakupitisha madukani ununue unachohitaji kwa siku hizi. Nataka
kupumzika kabisa.” “Ila hapa si itakuwa garama sana!” “Usijali. Mimi nataka
tuwe na wakati mzuri.” Hakufanya cha ziada zaidi ya kumsuuza. “Njaa inauma!
Tule kabla sijaanguka na kuzimia mbele yako. Tumekua na mapenzi mfululizo tokea
jana usiku. Nahitaji chakula na nataka na wewe ule vizuri.” Vai akacheka na
kujibaraguza. “Nilikushukuru?” “Kwa nini sasa!?” “Kwa wakati mzuri unaonipa.
Halafu na wewe mtamu! Nakufurahia sana. Kwa hiyo asante.” Vai akashindwa hata
ajibu nini!
Wakarudi chumbani
wakakuta kumetandikwa vizuri. Na vyakula vimeachwa hapo. “Sasa kina Belinda si
watakuwa wanatusubiria?” “Hapana. Nimekuta ujumbe kuwa Felix alipata dharula ya
kifamilia. Inavyoonekana ilimbidi arudi nyumbani usiku uleule. Kwahiyo
hawakulala hapa.” Vai akatulia. “Unaweza kuwasiliana na Belinda ili hata yeye
ajue upo salama.” Ikawa kama amesoma mawazo yake. Asijeona anamtapeli ili
amfungie hapo ndani.
Cha Mtu Mavi.
Akiwa na taulo
vilevile akatoa simu kwenye pochi yake, akampigia Belinda. “Vipi Belinda? Kwema?” “Yule mke wa Felix ni mshenzi tu, hana
lolote. Anajidai mtoto amezidiwa kusudi tu ili Felix arudi nyumbani. Hapa
nimenuna, maana nilijua na sisi tungelala hapo, lakini nimeishia patupu.”
“Pole. Kwa hiyo hujarudi hosteli?” “Na aibu yote hii naipeleka wapi? Nilivyoaga
kwa mbwembwe vyote vile!” Vai akacheka kidogo akikumbuka jinsi Belinda
alivyo na fujo akiwa anaondoka.
“Sasa na
wewe unarudi lini?”
Akamtizama Victor, akawa kama hasikilizi. Anasoma gazeti lililokuwa limeletwa
na kifungua kinywa. “Sijui!” Akajibu kwa
kunong’ona. “Victor anamihela kuliko hata huyo mshenzi
Felix.” Akaanza. “Usitukane bwana Belinda!”
“Mshenzi tu, hana lolote. Tokea lini mkewe ndiye anayempangia kwa kuwepo, kama
si kuishiwa tu? Alisubiri Victor atuache pale ndio ajidai ana dharula. Tena
Victor alitaka kutulipia chumba, akajidai ufala. Ujuaji asiojua kumbe kuishiwa
tu.” “Belinda umekasirika kipenzi. Naomba tulia. Mimi najua jinsi Felix
anavyokujali.” Vai akaongea akikumbuka hata mizigo aliyomsaidia
kuishusha garini jana yake. Alijua yote hiyo ni pesa ya Felix.
“Basi
kaishiwa. Sasahivi kisingizio mkewe. Kila ukimuomba pesa, maneno mengii mpaka
maradhi ya wazazi wake pia utaambiwa, kisa tu kumuomba pesa!” Belinda akalalamika
hapo kwa uchungu kama ambaye Vai anampita. Kumkatia simu hawezi, na Victor naye
wazi alionekana anamsubiria amalize kuzungumza na simu ili wapate kifungua
kinywa. Ila akabaki macho kwenye gazeti. Belinda akazidi kupandwa na jazba,
anaongea hamalizi akimtusi Felix.
Akaweka mute
ili Belinda huko anakolalamika asisikie. “Anza kula Victor. Naona hapa
mazungumzo yanazidi kupamba moto.” “Huwezi kumuaga na kumwambia mtazungumza
baadaye?” “Amekasirika sana. Tafadhali wewe kula tu, mimi nikamtulize.” “Basi
nakusubiria.” Vai akabaki hajui chakufanya. Belinda analalama kwenye simu,
Victor anasubiri na alishamwambia ana njaa! Akarudi bafuni akiwa na simu
sikioni.
“Pole
sana.”
Akapenyeza hiyo pole alipotoa mute. “Ni mshenzi
tu. Kila wakati kunipa matatizo yake. Kwani mimi mkewe? Na mimi nina yangu. Asitake
kunifanya mimi nyumba ndogo yake.” “Sasa besti, naomba nikupigie baadaye
kidogo, Victor ananisubiri tule.” “Kwamba huyo Victor niliyekuunganisha naye
jana tu ameshakuwa wa muhimu sana, mimi sina maana, nakupotezea muda!?” “Belinda umekasirika, unafikiri ndivyo sivyo. Huyu mtu
amesema ananisubiria tule wote. Na ananjaa. Mimi nimekwambia nitakupigia
akishakula.”
“Kujishaua
tu. Mnasubiriana kwa lipi? Kwanza mimi ndiye ninayemjua huyo Victor, wewe
humjui kwa lolote. Kwamba anajidai miaka yote alikuwa akila na nani kama si
uongo na unafiki tu kujidai wewe ndio unamjua zaidi kuliko mimi? Au ndio
unataka kumfunga ili akuweke hotelini daima? Kwa taarifa yako wote hao wana
wanawake zao. Wakishakuchezea, wanarudi kwa wake zao. Usijisahau na kunitupa,
ukadhani ndio umepata ndoa.” Vai akapoa kabisa hajui chakuzungumza tena. Akaumia kupita
kiasi. Akabaki kimya.
Belinda akaongea
mengi. Hajui kama anamtukana yeye au Felix. Ila akabaki kama anayemdai huyo
Victor aliyemuunganisha naye. Kuwa bila yeye asingemjua Victor na anamuhusu
Belinda zaidi kuliko yeye. Kwamba anatakiwa amshukuru yeye. Akaongea mengi kisha akamkatia simu. Kitumbua
kimeingia mchanga. Akapoa Vai, mwili mzima unatetemeka. Hajui ni hasira au
la.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Victor akahisi ukimya
wa aina yake hapo bafuni. Akaingia bila kugonga. Akamkuta Vai amesimama, simu
kashika mkononi kama hajui chakufanya. Sura imebadilika kabisa. “Kwema?”
“Naomba mimi niondoke Victor.” Akabaki akimwangalia. “Tafadhali. Acha tu mimi
niondoke, ili kupunguza maneno.” “Yanayotoka wapi!?” “Hata sielewi! Ila naona
ili kuleta amani, bora hichi kilichotokea kati yetu, kiishe tu. Niwaache
na mahusiano yenu na kina Belinda. Naona mimi kuwepo hapa na wewe kumeshaanza
kuwa tatizo, wakati ni nyinyi wenyewe mlinialika!” Akalalamika Vai.
“Nini kinaendelea Vai!?”
“Mimi sijui! Watafute rafiki zako muendelee. Mimi sitaki kuwa katikati yenu.”
Vai akatoka hapo bafuni, Victor akamfuata kwa haraka. “Belinda amekwambia
nini?” “Haisaidii kitu.” “Itanisaidia mimi kujua kinachoendelea. Maana mimi
ndiye niliyeomba msaada wa kuunganishwa na wewe.” “Uunganishwe na mimi
kwani unanijua!?” “Felix ndiye aliyesema utanifaa kutokana na sifa alizokuwa
akisikia kutoka kwa Belinda juu yako. Nisikilize Vai.” Akamvuta mkono mpaka
kwenye kochi.
“Nafanya kazi na
Felix, japo si kitengo kimoja na si kwamba ni marafiki. Ni rafiki wa mtu ambaye
nipo naye karibu, anayejua ndoa yangu kwa karibu. Nafikiri walinizungumzia
mpaka wakafika hatua ya kuwa natafuta mtu, nimechoka na upweke. Nafikiri kuna
jinsi aliniuza huko kwa Felix na Belinda kiasi ya kwamba nilipokutanishwa nao,
kidogo Belinda akanitisha. Sitakwenda kwa undani, lakini ilibidi kuweka msimamo
wa wazi kuwa, natafuta mtu asiye na mtu, na ametulia. Sitaki wa
mtaani, nikaanzia mbali, sijui kuchunguzana. Mimi sitafuti mke. Nikasema sina
muda huo wakumchunguza mpenzi tu, ndio maana ninatafuta kwa watu wangu wa
karibu ambaye tayari anamjua mtu.”
“Ndipo Felix akasema
anakujua wewe kupitia Belinda akikusifia umetulia, huna makuu na una upendo
sana, unajua kujali. Nilipotaka kukutanishwa na wewe ndipo nikaambiwa kwa
wakati huo upo na kijana kama mlemavu. Lakini kama rafiki, ukimsaidia kumtia
moyo kwenye safari yake ya kupata mguu au sijui kupona.” Vai akashangaa sana.
“Mbona Belinda asiniambie yote hayo!?” “Mimi sijui. Lakini naomba unisikilize.”
Vai akatulia.
“Nikawa na safari ya
Dubai. Ikabidi nimtafute Belinda rasmi, maana ilikuwa kama nawasiliana naye
kupitia Felix na kupewa majibu nisiyoridhika. Nikamuomba sasa Belinda aniunganishe
na wewe ili twende wote, tukapate muda wa mazungumzo hukohuko Dubai. Akanipa
maneno mengi mno. Ila akaniambia upo kwa huyo mwanaume ni kama unaishi huko.
Ikawa kila nikimpigia yeye simu, mazungumzo yanaishia kwake mpaka nikasafiri
sijafanikiwa kukupata.”
“Ile kidogo
ikanikera. Niliporudi nikamwambia jamaa aliyeniunganisha nao. Huyo rafiki wa
Felix. Akaniambia dawa ni kuwafuata wakiwa pamoja. Niache kuwasiliana na
Belinda peke yake. Akanitajia maeneo wanayopendaga kwenda kunywa.”
“Ndipo nikawawahi
jana. Nikazungumza mbele ya Felix na kumuomba anifikishe tu hosteli kwenu,
mengine aniachie mimi mwenyewe. Maana hapo nilishapewa na picha yako. Ukweli
nikawa nimeshavutiwa sana na wewe, shida nikuone tu. Akasema unaweza usiwepo
hosteli. Nikamwambia asiwe na wasiwasi wa nini kitatokea baada ya kunifikisha
hosteli. Kazi yake itaisha atakaponifikisha na kunipa namba yako ya
simu. Nilivyosema hivyo, zikakosekana sababu maana na Felix ni kama aliunga
mkono nilichoomba kwake. Akasema wazo langu zuri.”
“Ikawa kama
ilivyokuwa jana. Alipokupigia na kukuomba uje kwenye gari kumsaidia kubeba
mizigo na ukakubali bila shida ndio nikawambia usiku ule lazima nikutoe
kwa chakula ili pia nipate muda na wewe na nikwambie nia yangu. Na kwa kuwa
nakutoa kwa mara ya kwanza, nikawaomba kwa heshima kabisa, isiwe baa.
Nikupeleke sehemu ya maana utakayotulia na nikaomba na wao wawepo. Isiwe
kukushitukiza tu, ukajikuta upo na mimi tu mgeni.” Vai akabaki akishangazwa na
yote hayo yaliyokuwa yakiendelea yeye hana hata taarifa na wala Belinda
asimdokeze!
“Hilo nalo ni kama
Felix akaweka uzito, nikaelewa pengine ni garama. Ndipo nikawaambia mimi
nitalipia kila kitu. Sikuwa na nia ya kulala. Ila pombe zilivyozidi ndio
Belinda akatoa wazo la kulala. Napo kidogo pakasumbua. Nikajua ni pesa tu. Ndio
nikawaambia maadamu tupo pamoja, nitalipia vyumba viwili. Lakini ujue Felix ni
mwanaume. Hawezi kukubali kulipiwa kila kitu, tena mbele ya mwanamke wake!”
“Kukazuka kuvutana
katikati yao. Ndipo mimi nikawaambia natangulia chumbani na wewe. Ukweli
ulikuwa umelewa Vai, na mimi sikujua kama wewe hunywi kabisa. Belinda
aliniambia wewe ni komba, mnywa bia. Sasa ulipokataa na kusema huwa
hunywi, na Belinda kubisha pale mbele yako na wewe hukubisha, nikajua unaweka
tu pozi. Ndio nikaja kukuamini vile ulivyolewa kwa wine, tena glasi
chache tu. Nikajua wewe sio mnywa pombe kama Belinda alivyosema na hukutaka
kubishana naye pale. Ndio tukawaacha pale baa, sisi tukapanda huku. Basi.” Vai
akatulia.
“Sina mahusiano nao
yakusema utakua katikati yetu. Namfahamu Felix kwa kufanya kazi pamoja, ila
ukaribu uliongezeka nikiomba waniunganishe na wewe. Na ningekufahamu mapema,
sema kidogo kukawa na vipingamizi. Mimi nataka uwe na mimi.
Nimekufuatilia nafikiri hata kabla ya sikukuu za krisimasi au niseme mwanzoni
mwa mwezi wa 11 ila ndio ikawa kuzungushwa mpaka jana. Sasa tafadhali naomba
tuangalie yetu. Mimi ninakuhitaji na sina muda wa kuanza kutafuta mtu
mwingine. Tuanzie hapa, na tuwekane sawa.” Vai akakunja uso kama ambaye hajamuelewa
katika hilo.
“Namaanisha hivi,
mimi nimeridhika na wewe. Na tupo hapa. Uliza chochote nitakujibu na tuanzishe
mahusiano yetu kuanzia hapa.” “Wewe una mke wako, unataka mahusiano na mimi ya
namna gani?!” “Mbali ya kuwa bado kisheria ni mke wangu, lakini bado anao
watoto wangu wawili. Nawatunza kwa hali na mali japo si kwamba na yeye hana
uwezo. Anayo pesa na ametoka kwenye familia ya kitajiri sana. Kwa hiyo ameishi
na mimi akijitahidi kunionyesha hanihitaji kwa chochote. Na hataki watoto wetu
wawe kama mimi. Anajitahidi na wenyewe kuwatenga na mimi na ukoo wangu mzima.
Ila ninapohitajika kwenye maisha ya wanangu nakuwepo bila ya kuzembea.
Yeye na mimi ni kama tumemalizana. Lakini kisheria kuhitimisha ndio imekua
shida sababu ya watoto. Vera ni mkali sana na anajua kupaniki. Huwa nahofia
kumtibua maana ni mwepesi wa kutoa adhabu anazochagua yeye dhidi ya wanangu.
Kwa hiyo najitahidi sana kujishusha kwake ili angalau nipate wanangu. Ukiniuliza
mpaka lini hiyo hali itaendelea, sijui! Ndio maana nimechoka kuishi peke yangu,
natafuta kampani.”
“Swali kwako, unakipingamizi
chochote kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mimi kwa sasa?” Vai akakwama. Akabaki
akifikiria. “Na Belinda asiwe kipingamizi.” “Mimi sijawahi kuwa na mahusiano ya
namna hii Victor!” “Hata mimi. Nilikwepa kwa muda mrefu nikiepuka kumpa mke
wangu sababu, asininyime wanangu maana ndio anawatumia kama fimbo. Sasa
nilipojiridhisha yeye ameanzana na mwanaume mwingine, na kwao anafahamika,
nikaona sina sababu ya kujitesa.”
“Kwa hiyo nakuomba
tuanze kujenga kuanzia hapa kwa vile tutakavyoweza. Wewe ni mtumzima na mimi
vilevile. Nia yetu nifaraja. Kwenye tatizo, tutazungumza turekebishe au tukiona
havifai kabisa, basi tuhitimishe. Si ni sawa?” Vai akaona si jambo baya.
Akamuona ameanza kutulia. Victor akajua ameshauza sera.
“Eti Vai? Mimi
napenda tukiwa wote hivi. Ona wakati mzuri tuliokuwa nao asubuhi ya leo tu,
ambayo wewe ndio unakumbuka! Lakini hata jana usiku tulipata wakati mzuri sana.
Sasa kweli unataka tuhitimishe hivihivi kwaajili ya mtu baki tu?” Vai akainama.
“Eti Vai?” “Sawa.” “Basi naomba rudisha mawazo hapa nilipo mimi. Mwenzio
nakuhitaji. Tule, tuendele na yetu.” Wakaanza kula.
“Unafikiri ni sawa
nikiwaomba tena Belinda na Felix tukutane na tuwape msimamo wetu?” “Mmmh!” Vai
akasita akikumbuka mazungumzo yake ya mwisho na Belinda.
“Itatusaidia kuwa
ukurasa mmoja.” “Sidhani kama Belinda yupo tayari na huo ukurasa! Namuhisi ni
kama hafurahii mimi kuwa hapa na wewe! Na sijui kwa nini!” “Hiyo sasa itakuwa
juu yake. Ila nataka tu kumuweka sawa kuwa yeye ni shemeji na atabakia
kuwa hivyo. Niwashukuru kwa kuniunganisha na wewe, tuachane kwa amani. Mengine
yatakayoendelea kati yetu, tupo wapi, tunafanya nini, hayatakuwa yakimuhusu
tena yeyote ila sisi tu.” Hilo likakaa sawa akilini kwa Vai ila akimfikiria
Belinda. Ni kama amembadilikia gafla!
“Kwa nini muda wote
huo asiniambie kama yupo Victor anayenitafuta!?” Hilo swali likabaki
likimuumiza Vai. “Halafu ni kama Victor amenifahamu kupitia Felix wala si
yeye!” Akaendelea kuwaza bila jibu. Belinda ni mtu wake wa karibu sana.
Wanazungumza karibu kila siku hata akiwepo kwa Bale au yeye akiwa kwa Felix,
lazima wawili hao watazungumza tena wala si kwa kifupi. Iweje leo ashindwe hata
kuropoka jina la Victor! Vai akabaki nayo moyoni.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Siku ilianza kwa penzi
lakuanzia bafuni, hapo kitandani na makubaliano yao. Mpaka hapo akajua kweli
anayo pesa. Hoteli ilikuwa nzuri sana. Huduma za hali ya juu. Akabaki akila
huku akifikiria mengi. “Natamani usingizi baada ya hiki kifungua kinywa. Japo
wa lisaa tu.” Akamtoa mawazoni maana alimuona amepoa sana. “Nitanyamaza ili
ulale.” “Nataka nijibembelezee mwilini mwako Vai! Unavutia kila kitu.” Vai
akacheka taratibu kwa aibu na kunywa juisi iliyokuwepo mbele yake.
“Au umenichoka tayari?”
“Hapana Victor! Na mimi nakufurahia sana. Napenda unavyofanya mapenzi na mimi,
kwa heshima. Naridhika. Nafurahia. Na wewe pia upo vizuri.” Victor akacheka
sana. “Bwana acha kucheka!” “Nahisi sifa zangu zimepunjwa. Kama maelezo
yamefichwa kidogo! Hebu fafanua kidogo.” “Napenda kila kitu chako na nguvu
zako. Najisikia nipo na mwanaume kweli, sio mzembe. Na una mwili mzuri.” “Mimi
huyo?” “Sitaki tena.” Victor akazidi kucheka.
“Hufai kusifiwa
wewe!” Akazidi kucheka akimsogelea. “Naomba nitoe hili taulo, nifaidi yangu.”
“Huchoki Victor!?” “Nilikuwa na uchu, asikwambie mtu Vai. Halafu
nilishakutamani tokea natumiwa picha yako, nikiwa hata sijakutana na Belinda
mwenyewe.” “Picha gani hiyo!?” “Nitakuja kukuonyesha. Ila nikawa nakumezea
mate. Nikajua tukienda Dubai nitakuweka sawa mpaka tuanzishe mahusiano. Na hivi
niliambiwa umetulia, huna makuu! Nikajua nikikufungia mahali, roho yangu
itatulia tu. Ndio ikaanza kazi yakumbembeleza Belinda sasa.” Akaanza kumbusu
shingoni kila mahali.
“Umeshiba?”
“Nashukuru.” “Basi naomba tuhamie kitandani, unilalie juu niupate mwili wako vizuri
wakati nikiinyonya hiyo midomo yako na hizo chuchu sijui zakizungu!” Vai
akajificha uso kwa soni. “Mwenzio napenda sana romance, kitu kilichokuwa
kikimkera mke wangu.” “Kwa hiyo bado unamuita mkeo?” Wivu tayari. Victor
akashituka kidogo. “Mazoea mabaya. Anaitwa Vera.” Akambusu na kuendelea.
“Nakushukuru
unavyoniruhusu kufanya romance na wewe.” Akaanza kumrudisha pale maana
mawazo yalishabaki kwa, ‘mke wangu’ na yeye akajua. Akaendelea kumlainisha kwa
maneno huku akimbusu bega. “Napenda jinsi unavyotulia mikononi mwangu.” Vai
akampa mdomo maana alikuwa akimpapasa mapajani pia. Akaipokea vizuri, na mkono ukakimbilia
matitini. Romance ikaendelea.
Akahamia kweli
kitandani na kumuweka Vai juu yake akiwa vilevile mtupu. Mashine ilikuwa
imesimama hatari. Vai akawa anahangaika, huku akipapaswa. Akamnyanyua juu
kidogo ili aweke titi mdomoni. Alipoanza kunyonya chuchu, Vai akajiingizia kwa
haraka.
Akawa amemshikilia
matako akiwa amemlalia vilevile juu, anampandisha na kumshusha. Vai
alipozidiwa, akamuweka kifo cha mende. Kile kitendo cha kumsugua akipanda na
kushuka, Vai hakuchukua muda, akahitimisha. Akainyanyua miguu yake yote miwili,
akaiweka mabegani mwake. “Naomba uache kifua wazi, usijifunike, niendelee
kuyatizama matiti yako wakati nikifanya mapenzi na wewe.” Ukweli Vai aliona
aibu, ila akajiweka sawa kama alivyotaka. “Asante.” Akashukuru na kuendelea kwa
kituo bila papara huku akitizama matiti yake kama yaliyokuwa yakimuongezea
mzuka kwa kuyatizama tu, huku akipapasa mapaja yake mpaka na yeye akamaliza.
Alichokifanya ni kujirusha pembeni yake, akamvuta Vai kifuani, akapotelea
usingizini bila nyongeza.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Waliamka mida ya saa
saba mchana. Vai akaelekea bafuni wakati Victor akiagiza chakula na kupiga simu
zake nyingine. Mpaka anamaliza kuzungumza na simu zake, Vai akawa anatoka
bafuni.” “Nimekuchelewa!” Akazungumza bado akiwa na simu sikioni. Vai
akamtizama maana hakujua kama anaongea na yeye au la. Akakuta akimtizama
akishiria anazungumza naye. “Hamna shida.” Akamjibu kwa kunong’ona kama ambaye aliyekuwepo kwenye
simu asisikie. Victor akacheka. Ila akamuheshimu kwa heshima na yeye aliyompa.
Sio kuropoka kwa nguvu kama anayetaka kila mtu ajue yupo naye hapo. Akamuaga
aliyekuwa naye kwenye simu na kukimbilia bafuni.
Hakuchukua muda na
yeye akatoka. Akawa amevaa rob kama Vai tu. Hawakuwa na nguo nyingine. Kwahiyo
kama haikuwa rob basi walivaa taulo. Ila kwa kuwa chumba kilikuwa na baridi,
walijikuta wakivaa hizo rob nyeupe za hotel.
Wakaletewa chakula,
wakala, wakajikuta wametulia kwenye kochi tv ikiendelea kuonyesha movie nzuri
iliyokuwa imemchukua Victor. Akamuona Vai anashuka kwenye kochi anakaa sakafuni
kwenye miguu yake. Akaunyanyua mguu mmoja na kuupakata, akimwangalia anachotaka
kufanya. Akavuta chupa ya lotion waliyoikuta hapohapo hotelini, akampaka kwenye
huo mguu na kuanza kumchua taratibu.
Akaendelea kwa muda
kimya kimya. Unyayo, katikati ya vidole, Victor akijisikia vibaya asije
kukutana na harufu. Alikuwa na fangasi kidogo. Lakini akamuona hajali. Kisha akachukua
taulo. Akapitisha katikati ya hivyo vidole alipopakuta pana unyevunyevu. Akapaka
tena lotion. Akaanza kupitisha vidole taratibu kama akiisambaza hiyo lotion.
Kisha kuvichua hivyo vidole kwa kuvivuta taratibu kimoja hadi kingine mpaka
Victor akasisimkwa. Akajisikia kutulia kwa namna yake.
Akarudi kwenye nyayo
akawa anaminya kwa nguvu mpaka juu kidogo ya mguu. Akafanya hivyo kwa muda
kisha akamgeukia. “Naomba na huo mguu mwingine.” “Pole kwa harufu ya vidoleni.
Nahisi nina fungasi.” “Usijali. Japo sio mbaya, lakini sio mbaya kuwahi dawa.
Nafahamu dawa inayoweza kukusaidia. Ilimradi kujitahidi katika ya vidole
kupaacha pakavu.” Akaendelea kumchua taratibu bila kinyaa akifanya kama ule
mguu mwingine. Ikamgusa sana Victor kiasi cha kutoa akili yote kwenye movie na
kubaki akimwangalia yeye na kile anachomfanyia kwa upendo bila ya kinyaa.
Tamaa ya kuwa naye
ikampata. Akatamani kumfanya mtu wake wa muda mrefu. Akamtizama vile
alivyopotelea mawazoni huku akimchua miguu yake. Alivutia hata na rob aliyokuwa
amevaa.
“Naomba nikufahamu
zaidi Vai.” Vai akanyanyua kichwa akamwangalia kama aliyemtoa mawazoni. “Najua
kwa sehemu umenifahamu mimi. Na muda utajibu maswali mengi hata ambayo bado
hujaniuliza. Lakini najiona sikufahamu kabisa!” “Ulitaka kufahamu nini juu
yangu?” “Naomba tuanzie na mwanaume aliyeniambia Belinda unaishi kwake.” Vai
akafikiria jinsi ya kumuelezea Bale akakwama. Akarudi kumpapasa ule mguu
taratibu.
“Labda nianze kwa
kuuliza mpo kwenye makubaliano gani?” “Bale si mpenzi wangu, ila amefanyika
rafiki wakaribu sana. Ana historia ngumu sana ya maisha, ila kwa kifupi ni kama
amebakia peke yake maishani.” “Kwamba hana hata ndugu?” “Kwa kifupi hana.
Nilikutana naye…” Akamsimulia jinsi alivyokutana na Bale mpaka hapo.
Victor akawa kama
hajaelewa. “Kwamba nyinyi si wapenzi kabisa, na hata unapokuwepo kwake ni
kiurafiki tu?” “Hata ningetaka, isingewezekana.” Hapo napo akawa amempoteza
zaidi Victor. Vai anavutia kwenye macho ya mwanaume yeyote. Na ukifanikiwa kuwa
naye karibu, ndio kabisa. Mpaka hapo tu Victor kushikwa miguu anataka kuchonga
mzinga!
Akaona aulize. “Kwa
nini?” “Anayoyataka maishani, mimi sina uwezo wa kumpa.” Hapo akamtia
shauku zaidi. “Tafadhali fafanua zaidi.” Akamuweka miguu yote pembeni.
Akajisogeza pembeni kama kujitenga kidogo. “Mbona unaondoka tena?! Mimi
nafurahia hivi ulivyonishika miguu.” Vai akaegemea kochi bila ya kujibu akiwa
palepale sakafuni. “Mbona kama nimekuudhi? Swali lipi hujapenda?” “Hapana
Victor. Hujaniudhi kabisa. Ila haya unayotaka kuyajua huwa siyazungumzi. Ila
kwa sababu umeniheshimu kwa muda huu tuliokuwa hapa. Umekuwa muugwana, acha tu
nikwambie.” Victor akajiweka sawa maana Vai alimgeukia.
“Nilicheza rafu
nyingi sana kipindi nakua. Moja ya makosa mengi niliyokuwa nikifanya ni kutoa
mimba. Sasa mimba ya mara ya mwisho niliyotoa, iliniathiri kizazi. Sina uwezo
wa kuzaa tena. Na kama nilivyokwambia, Bale yupo peke yake na anataka kuwa na
mke na watoto, kitu ambacho mimi sina uwezo.” “Ulikwenda kwa wataalamu?”
Victor akauliza.
“Mwanaume wa mwisho
kuwa naye kwenye mahusiano, yeye alitangulia kusema anataka nishike mimba kwanza
ndipo anioe. Tukahangaika sana kwa madaktari bila mafanikio. Akaniacha.” “Pole
Vai. Pengie ni yeye ndiye aliyekuwa na matatizo! Mbona wanawake wengi wanatoa
mimba na bado wanakuja kuzaa?” “Huyu alikuwa mwanaume wa pili. Wakwanza alikuwa
na yeye kama hivyohivyo lakini yeye alianza kwa mapenzi ila kumbe
akinichunguza. Ndipo akagundua tokea niwe naye hajaniona hata nikiwa kwenye
siku zangu. Ndio na yeye akaniacha. Kwa hiyo mimi ndiye mwenye tatizo. Maana
nilitumia njia mbaya kuua mtoto wa mwisho.” “Tafadhali usiseme hivyo
Vai.” Vai akanyanyuka hapo na kuelekea bafuni.
Victor akamfuata.
“Wote tunakosa Vai. Na kila kosa linakuwa na garama zake. Naamini ulijutia
kosa. Acha kukibeba hicho kitendo kwa kujiumiza kiasi hicho!” “Inaniuma Victor,
sina jinsi. Kwa mfano kwa Bale nimeondoka kwa uchungu sana. Ni mtu mzuri sana,
japo hakuwahi kunitaka kimapenzi. Lakini ni mtu ambaye sijawahi kuishi na mtu
mwingine yeyote hapa duniani nikapata wakati kama ninaokuwa napata nikiwa naye.
Tulikuwa tukipatana sana.”
“Anajali kama mama
kwa kiziwanda wake. Alikuwa akisoma na mimi, mpaka shule nikaiona rahisi wakati
nilikuwa nikisumbuka. Anaweza akanipikia kitu kizuri, na kuja kunifuata nikale
kwake. Nilikuwa nikizitizamia muda wa kuwa naye, jinsi tulivyokuwa tunakuwa na
wakati mzuri. Si wa kitajiri, maana yeye hakuwa na kazi, mimi mwanafunzi.
Lakini hakuna mahali tunakuwepo na Bale, tusiwe na wakati mzuri.”
“Lakini kosa langu
mimi linanigarimu mpaka sasa na nafikiri ni mpaka niingie kaburini.” “Ni
sawa tukiacha haya mazungumzo ya kukuumiza kwa sasa? Maana hatupo hapa kutafuta
mtoto. Tafadhali tuzungumze kitu kingine.” Vai akatulia, maana Victor alimuona
jinsi alivyobadilika.
Akamshika mkono na
kurudi naye chumbani. “Nikuombe kitu?” Vai akamtizama. “Hiki tulichokianzisha
tukipe muda. Nikiwa na maana hii. Haya ni mapenzi. Naomba tubaki wawili. Kwa
usalama wetu. Na naomba unilinde ukijua nina watoto watakao kuja
kunihitaji.” “Sio wanao kuhitaji!?” “Sasa hivi wameharibiwa akili na mama yao
na upande wa huko kwa mama yao. Hawatambui thamani yangu. Wamejazwa ujinga,
haitachukua muda mrefu kuwa nao, kugundua ni watoto wanaolelewa tofauti.”
“Wanakuzwa kwenye
mazingira ni kama yakufikirika tu. Na mama yao anapenda hivyo akidhani ni sawa.
Ninapojaribu kuzungumza naye inakuwa ngumu kwa kuwa mimi sikutokea kwenye
familia zenye uwezo kama yeye. Na hilo anahakikisha ananikumbusha kila wakati.
Kwa kifupi nakosa usemi kwa vijana wangu.” “Wote ni wakiume?” “Wote ni wakiume.
Miaka 13 na 10.” “Kumbe ni wakubwa kabisa! Hongera.”
“Nashukuru japo sina
raha nao Vai. Sina kabisa. Mbaya zaidi baba mkwe wangu ndiye mkuu wa bandari
hapa nchini, na mimi nafanya kazi bandarini. Huna jinsi ya kutokuwa sawa na
binti yake, ukawa sawa na yeye. Nilipita kipindi kigumu kipindi nimetengana na
binti yake, alihakikisha natambua sina usemi hata kazini. Ila ilinisaidia
kuanzisha kitu changu cha pembeni kama mbadala siku mambo ya kazini yatakapo
haribika. Ila kwa sasa nafanya kazi kama kwa rehema za baba mkwe.”
“Biashara zangu
zilipokaa sawa nikataka kuacha kazi, mzee mmoja. Dereva tu wa bandari,
akanikemea sana. Akaniambia nisiwahi kuacha riziki yangu kwa ajili ya mwanadamu
anayeshikiliwa uhai na Mungu. Akasema huwa leo wapo, kesho hawapo. Akaniuliza
itakuaje nikiacha kazi leo halafu na yeye kesho yake akafukuzwa kazi au Mungu
akamchukua? Nikaona ni kweli. Maana kitengo tulichopo ni kweli kina maokoto
mengi.”
“Hongera.”
“Nashukuru. Lakini ninachotaka kusema, naamini ipo siku watoto wangu watakuja
kujua ukweli wa mambo na kunihitaji mimi kama baba. Ndio maana nakuwa makini
sana na kujilinda kiafya. Najitunza na kuwa makini sana ni nani nakuwa naye
karibu.” “Sasa kwa nini ulilala na mimi bila kinga?” Ikawa kama anamsuta.
“Acha nikwambie
ukweli Vai. Sikuwa nimepanga kufanya mapenzi na wewe japo nilihakikishiwa
mwanzoni kabisa hata na Belinda mwenyewe mbele ya Felix kuwa umetulia sana.
Aliniambia wewe ni mtu wake wa karibu sana. Na tokea mnaanza chuo, hajakuona na
mahusiano na mwanaume mpaka alipokuja Bale. Tamaa na wewe ilinianza nilipokuona
kwenye picha, halafu kadiri walipokuwa wakinizungusha kuniunganisha na wewe
nikazidi kukuhitaji zaidi. Sasa ulipolewa na kunitaka kimapenzi, ukisema ni
miaka mingi hujashikwa na mwanaume kimapenzi, nikashindwa kujizuia. Tamaa
ikanilemea.” Vai akajisikia aibu sana. Akajua ni kweli alisema maana ni kweli
muda mrefu ulishapita hajafanya mapenzi. Akabaki ameinama akifikiria.
“Ila nisingekurupuka
kitandani tu. Ni kama nilijiridhisha na wewe kwanza. Sipo hovyo wa kiasi hicho
cha kulala na kila mtu.” “Samahani sana Victor. Sikumbuki kabisa. Sijui pombe
ilinifanyaje!” “Usijali kabisa. Nahisi tulikosea vizuri. Au unajuta?” “Natamani
ingekuwa tofauti!” “Kwamba mimi ndio ningekuomba kwanza?” Vai akanyamaza. “Ila
imesaidia kupata huu muda wa hapa. Nilihitaji Vai.” “Kwani huna mwanamke?”
“Aisee dunia imebadilika Vai! Mpaka inatisha. Na ukiwa na vijihela kidogo ndio
shida kabisa. Hujui nani mkweli na nani anadanganya. Na hujui unadanganywa kwa
umbali gani!”
“Na mimi kwetu
nategemewa sana. Mimi mtoto wa mfugaji. Kwamba nikiamka asubuhi, ukoo mzima
unashukuru Mungu nipo hai. Siwezi kujiachia hovyo, ndio maana nakwambia naomba unilinde.”
Vai akatulia.
Ila akaona aulize.
“Unaishi wapi?” “Nilipotengana na Vera, nikamuachia nyumba maana yeye ndiye
alibaki na watoto. Nikajenga Tabata. Naishi huko na wadogo zangu wawili wa
kiume, watoto wa dada zangu wakiume karibu wote niliwachukuwa ili waweze
kujiendeleza, kisha wawasaidie mama zao. Maana sisi tumetokea kwenye zile
tamaduni kuwa watoto wa kike hawasomeshwi. Ila kuolewa. Kwa hiyo dada
zangu waliolewa wakiwa binti wadogo, na hawajasoma kabisa. Ndio maana
nimechukua watoto wao. Na binamu zangu pia wanaishi hapo.” Ikabidi Vai
amtizame.
Akacheka. “Ndio maana
unaniona nipo hapa na wewe ili kupata utulivu na nafasi. Kwangu hakuna hata
pakuweka mguu jinsi kulivyo jaa. Na hapo bado wale wanaokuja kutembea mjini. Na
wao wanafikia hapohapo.” Vai akacheka. “Kwako ndio maeneo yao ya kujidai?” “Ewaah.
Kule kwetu kijijini najulikana kama chumvi! Salamu yao kila wakikutana ni
kuuliziwa kama mimi ni mzima na bado nipo mjini. Yaani nyinyi si mnasalimiana
‘habari?’. Kule kwetu wakikutana salamu yao ni, ‘Victor?’” Vai akazidi kucheka.
“Familia yangu ni
ukoo mzima na wananitegemea kwa hali na mali. Na ndio moja ya sababu
zilizomchosha Vera. Hataki kunisikia mimi na ukoo wangu wote. Mwenyewe anasema vimezidi.”
Hapo Vai hakuongeza.
“Kwa hiyo wewe ndio
kaka mkubwa?” “Yaani utafikiri ndio wa kwanza! Lakini nina dada zangu
walionitangulia watatu. Ndio mama akaanza kuzaa wakiume mimi na hao wadogo
zangu wawili.” “Kwa hiyo ukifika kwenu wanaitana?” Akamchokoza. “Bwana kama
ulikuwepo! Nikifika pale kama wametembelewa na raisi! Kijiji kizima
wanaambizana kuwa Victor amefika. Wamaana mwenzio pale, kuliko raisi wa
hii nchi.” Vai akazidi kucheka.
“Yaani Victor akitua
tu kijijini mpaka watoto wanakusanyika…” “Kukusalimia?” “Na kunishika mkono pia!
Acha masihara. Yaani na joo za mboga zinaanza kuingia hapo nyumbani.” Vai
akazidi kucheka. “Usinione hivi! Ujue upo na mtu wa maana sana?” “Nimeanza
kulitambua hilo. Itabidi safari nyingine ukienda unichukue.” Victor hakuamini.
“Kwamba na msurulu
wote huo niliokutajia bado unataka tu kuja!?” “Nani hataki joo za supu?” Victor
alicheka sana. “Kumbe shida ni joo zangu?” “Acha utani kabisa. Ila nitakusaidia
hata kubeba begi wakati ukisalimia wanakijiji.” “Nakwambia wanakijiji ndio ukoo
wenyewe.” “Haohao.” Hilo likamfurahisha sana.
“Sasa kule kwetu
rangi kama hiyo yako ni hadimu. Nitapewa ng’ombe kabisa.” “Acha kunipandisha morari
bwana!” Victor alicheka mpaka machozi. “Kumbe nikienda na wewe ndio unapata
ng’ombe kabisa?” “Ndiyo Vai. Hapo kama ningekuwa nikioa mtoto kama wewe kule
kwetu, mzee angefilisika.” “Mimi naona tuanze kufuga huku mjini. Kila baada ya
wiki mbili tunaenda kuchukua ng’ombe kijijini.” Victor alicheka sana.
“Mama wewe kweli
mchaga! Ngo’mbe wa mboga ushafikiria kufanyia biashara!” “Yaani unataka kula
mtaji!? Wewe Victor vipi?” Hakutegemea kama Vai ndio anamaneno hivyo. “Vai,
ng’ombe unaoletewa unachinjiwa ule!” “Sasa tunawaambia wachinje jogoo zako tu,
ng’ombe tunawazidi mahesabu. Tunawaambia tunaenda kuchinjia mjini kwenye visu
vya mashine.” Victor alicheka, na kushindwa kujizuia.
Stori zikaendelea.
Akapata ujasiri wa kueleza mambo ya kwao maana Vai alionyesha ukoo wake mkubwa
kwake ni jambo la kawaida kabisa. Angalau wakazungumza jambo lililofanya waanze
kufahamiana zaidi familia zao.
Walikaa hapo hotelini
siku mbili bila kutoka, wakishinda na mataulo tu. Chakula kikiwafuata chumbani
kama waliokuwa kwenye fungate. Kitu cha ziada kikajengeka katikati yao kwa muda
huo. Vai akaonekana faraja ya namna yake kwa Victor. Hakutegemea kwa uzuri ule
bado akawa msichana wa kawaida tu. Hamna dharau na ni kama akiwa naye, hana
muda sana na simu ila yeye! Hilo likamgusa sana Victor. Shauku ya kutaka
kummiliki ikaongezeka.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Tarehe 4 jioni
alishamuomba Felix na Belinda waungane nao kwa chakula cha usiku. Akamzungusha
Vai kujinunulia vitu vyake, jioni wakawahi wao kufika sehemu ya chakula. Wakawa
wakinywa taratibu. Wote walijikuta wakiagiza juisi. Hakumuona tena Victor
kunywa pombe. Hata chumbani alikuwa akinywa maji tu ila hakuwa akizembea kula.
Alikuwa akila haswa na si chips. Mlo wa uhakika na anashiba.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Baada ya muda
wakawaona Felix na Belinda wanawasogelea. Ila kama hapakuwa shwari katikati
yao. Wakasimama kuwasalimia, Belinda hakutaka kuwapa mkono ila Felix
akawasalimia kwa kuwapa mkono. “Kwema Belinda?” Victor akamuuliza. “Kwema tu.
Vipi?” Akamuuliza Victor kishari kidogo.
“Kwetu hapa kwema kabisa.
Niliwaita kuwashukuru kuniunganisha na Vai. Maana bila nyinyi nisingekutana na
faraja ya Vai. Asanteni.” Ni kama Victor hakutaka kupoteza muda zaidi. “Bila
shida mkuu. Tupo pamoja.” Akadakia Felix, ila Belinda akaguna kama kwa dharau.
Wote walimuona, Victor akaipotezea hakutaka hata kumuuliza ila akaendelea.
“Sisi hatujala. Nataka kumuita muhudumu tuagize. Nashauri tuungane kwa mlo.”
Akawa akimwangalia Felix.
“Kwahiyo ndio mpo
kwenye mahusiano ya namna gani?” Akadakia Belinda kwa swali, na kuongeza.
“Maana Victor unaye mkeo, na Vai anaye Bale. Ndio inakuaje hapo?”
Vai kimya akimtizama shoga yake jinsi alivyombadilikia. Lakini akawa
ameshachelewa. Hao wawili wameshakaa hapo hotelini, kwa muda huo mfupi kilichojengeka
mioyoni mwao hawakuwa tayari kukiachia kirahisi. “Tutajua mbele ya safari.
Sasahivi hatutakuwa na majibu yote yakuwaridhisha. Vipi, nimuite
muhudumu sasahivi?” Victor akajibu na kuwarudisha kwenye linalowahusu.
“Mimi naona sisi
twende tu mkuu. Nyinyi endeleeni. Tutakutana kazini jumatatu.” Felix akasimama
kabisa, na Victor akasimama na kumpa mkono. “Bila shaka. Tutaonana.” Belinda
akasimama na kuondoka. Vai hakuongea neno lolote, alibaki kimya tu. “Samahanini
jamani.” Felix akaomba radhi na kuondoka akionekana wazi hakufurahia alichokifanya
Belinda.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Kesho yake asubuhi ilikuwa Vai ndio
anarudi chuo na Victor anaanza kazi. Ukawa usiku mzito! “Nimeshakuzoea Vai. Nasikia
raha kuwa na wewe!” “Mungu atajalia tutakuja pata nafasi wakati mwingine.” Hapo
Vai anamjibu wapo kitandani, anamchezea vinyweleo vya mkono. “Mimi sijui kupika
kama Bale.” Vai akaanza kucheka akajua wivu tayari. “Kwa hiyo sitakuwa na
visingizio vyakukufuata chuoni na kukuitia chakula.” “Hata uji hujui kupika!?”
“Hata chai ya rangi sijui. Na hata nikisema nikajifunze, sina pakujifunzia. Na
pia sitakuwa na pakupikia. Pakipikwa pale kwangu ni chakula cha jumuiya.” Vai
akacheka na kunyamaza.
“Eti Vai? Tutakuwa tukionana vipi?” “Si
tutakuwa tukiwasiliana? Tutajua kadiri siku zinavyoenda. Tusijinyime raha
sasahivi kwa ugumu ambao hata hatujapitia bado.” “Mimi sina pakukuitia
upumzike.” Akazidi kujifananisha na Bale. “Tusipoteze utulivu tulionao leo, sasahivi
hapa, kwa wasiwasi wa kesho ambao hatujui hata kama tutafika. Tafadhali turidhike
na sasahivi hapa tulipo. Tupo na wakati mzuri ambao hata siku ya kwanza
tuliyokutana, hatukujua kama tutapata wakati mzuri kama huu.” “Lakini kweli.”
Victor hakutegemea kabisa. Mkewe alikuwa mtu wa mipango na alitaka mipango
iliyonyooka, akimlalamikia kila wakati juu ya familia yake kuwa ni mzigo
unawafanya washindwe kujipanga kimaisha. Vai amekuja kivingine.
Akazidi
kuvutiwa. “Naomba kujua Vai.” Vai akamwangalia. “Naruhusiwa simu na jumbe mida
gani?” “Muda na wakati wowote Victor! Mimi sina mwanaume au sipo kwenye
mahusiano yeyote kama wewe.” “Mimi sina mahusiano Vai!” “Una mke, Victor.”
“Kwenye makaratasi. Lakini sina mahusiano yakushindwa kupokea simu yako muda na
wakati wowote.” Vai akanyamaza tu.
“Umenielewa?” “Hata
sijui nielewe nini! Ila kwangu unaruhusiwa muda na wakati wowote. Nisipopokea simu
yako ujue nipo darasani au wodini. Lakini ujue nitarudisha kwa haraka.” “Na
mimi hivyohivyo. Muda na wakati wowote unaruhusiwa kunipigia. Ukiona sijapokea
ujue nipo katikati ya kikao au kazi, lakini ujue nitarudisha.” Kimya.
“Vai? Au huna mpango
wa kunitafuta tena!?” “Na jogoo?” Victor hakutegemea, akaanza kucheka. “Mama
umependa jogoo zangu!” “Hupati ng’ombe bila jogoo. Kwahiyo lazima.” Victor
akazidi kucheka. “Nimefuahi kama utanitafuta.” “Nitakutafuta Victor. Na mimi nafurahia
muda na wewe.” “Kweli Vai!?” “Mbona ningeshakuaga muda tu! Wewe ni mtu mzuri.
Mstaarabu. Mnyenyekevu, huna kiburi. Unajua kujishusha. Umenifanya nitulie.
Nimepata wakati mzuri. Nashukuru.” Shukurani hizo zikasindikizwa na penzi zito
la kuagana.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Nini kitaendelea? Usipitwe.
0 Comments:
Post a Comment