Jelini aliyepokea
simu, si aliyemuaga. Alimpokea kwa furaha kubwa sana akisikika kufurahia
kutoka kwao. Akajihisi ni kama amempiga kibao kingine cha usoni. Lakini hakuwa
na jinsi. Hali aliyokuwa nayo hapo,
ilikuwa mbaya kuliko Love aliyelazwa hospitalini, amelala kwa madawa ya
maumivu, hana habari.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Alibaki ameshikilia
simu mpaka aliposhitushwa na honi, kuashiria wazazi wapo tayari anatakiwa atoke
kwake. Aliingia kwenye gari, akakaa kiti cha nyuma, kimya kama aliyepigwa shoti
ya umeme. Mwili umepoa, akili imegoma kufanya kazi. Yeye mwenyewe yupo kwenye
mshituko, haamini kama hiyo safari ni ya kwenda kumuona Love na si Jelini.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Huku kwa Jelini yeye
hata hakutoka tena chumbani. Alichokifanya ni kubadili nguo, na kuosha uso
kutoa vipodozi. Akanywa dawa za usingizi kabisa ili kuepuka kufikiria, akapanda
kitandani, kimya akisubiria usingizi.
Mama Jema akahisi
ukimya. Ile hekaheka ya kujiandaa na shamrashamra ya safari imeisha! Akajua
pengine alishaondoka. “Lakini hawezi kuondoka bila ya kuniaga!” Akaanza
kuita kwa sauti ya chini kidogo kwani Jeremy alishakwenda kulala, kesho yake
shule. Kimya. Kutoka kuangalia chumbani kwake, taa zimezimwa. Akaamua kwenda
kuhakikisha, akakuta amelala. Hakuamini.
“Jelini!” “Dawa za
usingizi zinaanza kunichukua mama. Lakini kesho usije niacha hapa ndani.
Niamshe twende wote, nikaanze kazi.” “Sijaelewa! Kwani hamtoki tena?” “Kisicho
riziki mama yangu, hakiliki! Mpenzi wa Colins amelazwa, ameanza kuugua leo
gafla, akakimbizwa hospitalini, amekutwa apendex imepasuka, amefanyiwa
upasuaji, ndio nafikiri habari alizokutana nazo aliporudi kwao. Ndio amekwenda
kumuona.” Mama Jema akawa hajaelewa.
“Kwamba huyu Colins
kumbe jaa yote ile humu ndani, anaye bado yule mwanamke wake!?” “Ya ulimwengu
mengi mama yangu. Naona kweli nifuate ushauri wako. Nitulie, nishike moja la
kazi, linaloeleweka. Nitayumba yumba nikipoteza muda, na umri nao unakwenda. Kesho
tutoke wote.” “Sawa. Pole mama yangu. Pole sana. Mungu atakujalia na wewe.”
“Nashukuru mama. Usiku mwema.” Mama Jema akatoka akiwa ameumia haswa. Akaumia
zaidi ya Jelini mwenyewe ila hakuwa na jinsi.
Huko Hospitalini.
Walifika Colins akiwa
ametulia haswa. Hakuzungumza neno hata moja. Mzee akaongoza njia kibabe, Colins
akamsaidia mama yake kubeba vitu vya mgonjwa mpaka ndani. Wakawakuta familia ya
Simba na Connie. Colins akasalimia akiweka vitu sehemu zake. Kisha akasogelea
kitanda cha mgonjwa maana Love alikuwa macho tu. “Aisee pole sana.” “Asante, na
nashukuru kuja kuniona.” “Unajisikiaje?” “Wamenipa madawa ya maumivu, sasahivi
nipo sawa.” “Pole sana.” Alipomaliza tu hivyo, akatafuta kona yake, akaenda
kukaa kimya.
Connie akamsogelea na
kukaa pembeni yake kisha akamsukuma kidogo kwa bega. Colins akamwangalia.
Akajua kaka yake hayupo sawa. “Nisindikize hapo nje.” Akamnong’oneza kaka yake
ila wakasikiwa. Ile Colins amesimama tu, mzee Simba akaanza. “Nilikutafuta sana
mida ya saa nane mchana wakati Love akitayarishwa kwenda kufanyiwa upasuaji,
alitaka kuzungumza na wewe kabla hajaingizwa huko.” Colins akajua anaambiwa
yeye. “Simu ilizima. Nilikuja kujua niliporudi nyumbani wakati nipo getini
mlinzi akiniambia mama ananitafuta, ndipo nikajua sababu. Poleni sana.”
“Tunashukuru Mungu asiee. Ilikuwa mbaya sana.” “Poleni. Naamini atapona tu.”
Colins akaongeza akiwa amesimama kama watoke.
Ndipo mama Simba naye
akaanza kueleza ukubwa wa kile kilichompata mwanae. Akaeleza kwa masikitiko na
uchungu, lakini wote walimjua jinsi anavyopenda kukuza tatizo. Aliongea
mpaka kina Connie wakarudi kukaa maana baba yao alikuwa akiwatizama, wakajua
wanaambiwa watulie. Colins naye akatafuta sehemu ya kujiegemeza na kuendelea
kusikiliza huku wote wakitoa pole za hapa na pale.
Love akamfanyia
ishara amsogelee. Colins akataka kuinyamazia lakini kila mtu aliona.
Akajisogeza tena mpaka pale kitandani. “Najua
tumeumizana sana Colins. Lakini leo nilipokaribia kuonja mauti, ndio nikagundua
uthamani wa kile mtu alicho nacho.” Love akaongea na sauti iliyosikika
ya kigonjwa. “Tunakuwa tukihangaika kutafuta zaidi
na zaid…” “Ukisema ‘tuna’ unakosea. Mimi sikuwahi kutafuta zaidi.
Wakati wote nilikuhakikishia mimi nimetulia na wewe Love na ndivyo ilivyokuwa.
Lakini hata hivyo, kwa kuwa hatari ya kifo imeisha, kuna uhakika wa kupona, nashauri
tulia mpaka upone, kisha fikiria unachotaka kuzungumza na mimi.
Kwa sababu hichi unachotaka kukianzisha hapa, tumekifanya kwa zaidi ya miaka
tutakayoweza kumbuka. Kinachobadilika ni matukio tu, na mahali.”
“Najua
nimekua mbinafsi nikijifikiria mimi peke yangu bila kuzingatia juhudi za wazazi
wetu kwa kizazi chetu na mpaka kizazi kijacho ili juhudi zao zisipotee bure.
Watoto wetu sisi ndio warithi jasho lao.” Hapo akapata mioyo ya wazazi wote.
Wakiona anaongea cha maana. Colins alijua anafanya kusudi tu akitaka wote wawe
upande wake wamuunge mkono.
“Nakiri
nimekosa Colins. Maisha yamenipa nafasi ya pili ya kutengeneza. Si kwa ajili
yetu tu, kwa ajili ya wazazi wetu, na kizazi kijacho. Mimi nipo tayari
kubadilika kwa garama yeyote ile.” “Hapana Love. Tafadhali tulia. Kama
unataka kuzungumzia haya, iwe wakati umepona kabisa, halafu ndipo tutapata muda
wa kuwekana sawa, kwa mara ingine tena. Maana tushapita hapa mara nyingi
sana. Na tunapoteza tu muda. Binafsi…” “Colins, nafikiri ushauri wako ni
sahihi, msubiri mpaka apone.” Mama yake akamkatiza kwa haraka sana akimzuia
asisema alichotaka kusema.
Naye Colins
hakubisha. Akanyamaza na kujivuta tena pembeni. Pakazuka ukimya wa hali yake,
Love akasikika akilia taratibu. Sasa ikaanza kazi ya kumbembeleza ili
asitoneshe mshono. Wote hapo ndani wakawa wakimtuliza, Colins akisikiliza ila
kuepusha shari, akapenyeza pole yake hapo katikati yakumbembeleza, ila akiwa
amekaa mbali kabisa. Baada ya yote, akalala.
Walikuja kuondoka
hapo karibia saa tano usiku. Connie yeye alirudi chuo, Colins na wazazi
wakarudi nyumbani, njia nzima hakuna aliyemuongelesha mwenzie mpaka nyumbani.
Wakamshusha Colins usawa wa nyumbani kwake, mama yake akashusha kioo. “Colins,
kwenye saa 11:30 asubuhi supu itakuwa imeshakuwa tayari. Usichelewe.” “Kwamba
unataka nipeleke hiyo supu hospitalini, tena?!” “Unamaanisha nini ukisema tena?”
Mzee akauliza kwa ukali kidogo. “Kwamba hujui kama leo Love amelala hospitalini
na si nyumbani?!” Mzee akauliza kwa mkwara. “Nitakuja kuichukua, bila ya
kuchelewa.” Colins akajibu hivyo na kuondoka.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Alipoingia tu ndani
akaangalia tena muda, ilishakuwa saa tano na nusu usiku. Akajaribu kumpigia
Jelini, hakuwa hewani kabisa. Akajaribu kama mara tano kana kwamba hajaelewa,
kisha akatuma ujumbe. ‘Nimejaribu kukupigia,
sijakupata. Ndio tumetoka hospitalini sasahivi. Nilitaka kukusikia kabla
sijalala.’ Akatuma huo ujumbe. Akaona kabisa haujasomwa kuashiria
haujafika pia. Akajirudisha kitandani akiwaza chakufanya bila jibu.
Siku Inayofuata.
Aliamshwa na alam alfajiri
na mapema, asijue kama alilala au alikuwa macho muda wote. Akaoga kwa haraka na
kufuata hicho chakula chakupeleka hospitalini. Akakuta msichana wa kazi jikoni,
akamwambia mama amemuachia maagizo apeleke hicho kikapu hospitalini, yeye
amerudi kujiandaa. Colins akabeba kama kilivyo akatoka hapo mbio ili aende
hospitalini, kisha amuwahi Jelini nyumbani kwao, maana mpaka hapo ujumbe
ulionekana haujafika.
Kabla hajaambiwa anatakiwa
kurudi hospitalini kupeleka chakula asubuhi hiyo, usiku wake akiwa hospitalini
alipanga asubuhi na mapema aamkie kwa Jelini, akamkumbatie, mambo yakae
sawa. Ikawa tofauti, ndio katumwa yeye hospitalini kupeleka hicho chakula.
Akakanyaga mafuta, kwa mwendo kasi kama anayekimbizwa.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Huku kwa Jelini yeye
usingizi ulimuishia mapema tu. Akaamka yeye wa kwanza hapo ndani na kuanza
kuandaa kila kitu. Muda ulipofika akaenda kumuamsha mwanae, akamsaidia
kujiandaa, mama yake akifanya mengine. Mtoto alipokuja tu kuchukuliwa na basi,
na wao wakatoka hapo, Jelini asiamini na asubuhi hiyo Colins hajadamkia kwake.
Akaumia wivu, ila akaona anyamaze tu.
“Leo nipitishe kote
ambako unaenda kuzunguka.” “Utaweza Jelini mwanangu? Mimi nahangaika humo
njiani, kwengine natembea mbali.” “Isiwe tu kuumwa kichwa. Vinginevyo, twende
wote.” Siku ikaanza kwa mama na mwana. Jelini akili ameweka kazini.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Colins alitokea
hospitalini moja kwa moja akili zikamuongoza kwa kina Jelini. Mpaka anamaliza
kupambana na foleni, saa mbili na nusu ndio anafika nyumbani kwa kina Jelini.
Mama Jema alishatoa notice kwa walinzi. Mwisho ulikuwa tarehe 31 ya mwezi wa
12. Akakuta geti limefungwa kabisa na kufuli la nje kuashiria hakuna mtu ndani.
Akajua Jelini ameanza kazi. Ikaanza kazi ya kumpigia simu mpaka akachoka.
Akaamua kumpigia simu
James. “Unafahamu sehemu zilipo biashara za mama mkwe
wako?” James akafikiria kwa haraka na kushindwa kukumbuka. “Yule mama ana mambo mengi kila mahali. Sina uhakika…” “Huna
uhakika au hujui?” James akajua si shwari. “Sijui.
Na Jema angekuwepo ningekuulizia, ila asubuhi hii alisema ni vikao tupu. Kwema
lakini?” “Namtafuta Jelini.” James akafikiria kwa haraka. Akajua maswali
mengi yatamkera, akaona amuache tu. Colins akakata simu. Na kurudi kwake.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Kwenye mida ya saa
nne akiwa kwake akicheza game kama kawaida yake akiwa na hasira, hawezi
kufikiria, basi atavaa headphones zake kubwa na kuanza kucheza game mpaka
utamsahau. Simu ikaita asisikie. Baada ya kama lisaa, anaangalia simu,
akakutana hiyo missed call na ujumbe kutoka kwa Jelini. Nusura alie. ‘Colins, samahani kwa usumbufu. Ila nilipiga kuulizia tu hali
ya mgonjwa. Poleni sana. Naamini Mungu atamsaidia, atapona. Nawatakia kila la
kheri, mgonjwa ague pole.’ Alipompigia hakumpata tena. Colins akaona
machozi yakimtoka. Hakutarajia. Akajifuta kwa haraka. Nakubaki akitizama ile
simu asijue chakufanya.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Mchana mama Jema
ndiye aliyerudi kumpokea mtoto, Jelini akabaki dukani mpaka wakafunga duka saa
tatu usiku ndipo akarudi nyumbani. Anafika getini kwao baada ya kushushwa na
pikipiki, akakutana na gari ya Colins kama na yeye ndio amefika hapo. Jelini
akamsogelea. “Poleni sana Colins. Vipi hali yake?” “Sikupati kwa simu siku
nzima, Jelini! Kuna nini!?” “Nilibadili mawazo ya kuiuza ile simu ili kupata
pesa. Nimeona niongeze juhudi kwenye kazi kuliko kuanza kuuza vitu. Kwa hiyo
sasahivi ndiyo ninayotumia.” “Kwamba umerudi kutumia namba yako ya zamani?”
“Ndiyo.” Colins akaumia sana.
Akatulia kwa muda
akimtizama. “Ningekukaribisha ndani, lakini najihisi kuchoka na kichwa
kinaniuma sana. Nataka nikanywe dawa nilale moja kwa moja.” “Labda niulize ni
kwa nini umerudisha namba ya zamani?” “Nimefuata ushauri wako Colins. Lazima kupambana
na changamoto zangu, si kukimbia. Kubadili namba ni kumpa nguvu yeyote
ninayebadili namba kwa ajili yake. Sina sababu ya kufanya hivyo. Nimeona niishi
kwa kupokea ukweli. Ila hujaniambia hali ya Love. Anaendeleaje?” “Vizuri, kesho
anatoka. Nashukuru.”
“Afadhali. Uwe na
usiku mwema.” Jelini akataka kuondoka, amuache palepale nje ya geti.
“Umenibadilikia Jelini!” “Unamaanisha nini?” Jelini akamuuliza tu vizuri. “Ila
ujue sikukusudia kuvunja makubaliano yetu.” “Colins, tafadhali usijisikie
vibaya. Mimi nimeelewa kabisa. Kuna uhalisia wa maisha, huwezi kupingana nao,
hata iweje. Mimi na wewe sasahivi tunaishi kwenye uhalisia wa maisha. Tupende
tusipende, ndio ipo hivyo. Na binafsi nimekataa kuendelea kujidanganya,
maana nimeshajichelewesha vyakutosha. Sitafanya hivyo Colins, kwa sababu
kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu, nimejua kwa hakika ni nini nataka.
Na sitakata tamaa mpaka nikipate. Na nipo tayari kulipa garama yeyote
ile.” Jelini akaendelea.
“Na niamini nikikwambia
sijakukasirikia kabisa. Nina amani kabisa maana ninaujua msimamo wako unapoamua
kufanya jambo lako. Usiku mwema Colins.” Jelini akaingia ndani na kumuacha
Colins amesimama nje ya geti akitafakari maneno yake. Alijua sentensi ya mwisho
si nzuri. Jelini amemfikishia ujumbe. Yeye ni king’ang’anizi kwenye mambo yake.
Hakubali kushindwa mpaka apate anachotaka. Kutotokea jana yake na kwenda
kumuona Love, ni chaguzi si kushindwa. Akahisi miguu kuishiwa nguvu, akatamani
ajiegemeze pengine atatoka tena amkaribishe ndani lakini akasikia sauti ya geti
kufungwa kwa ndani, ndio akajua anatakiwa kuondoka.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Haukuwa usiku mzuri
kati ya hata mmoja wao. Colins alikuwa akifikiria nakushindwa kuhema. “Inamaana
mawasiliano kati yake na yule mzee ndio yanarudi tena!” Akawaza Colins. Wivu
ulimfanya ashindwe kulala. Na hakuwa amekula. Kwa Jelini yeye alimeza tena dawa
ya usingizi, akaenda kulala.
Wakati Wote Maisha Hutoa Mbadala.
Ila Upi Ni Sahihi!
Akiwa amejilaza
kitandani kwake Belinda akampigia. “Naomba uje hapa
kwenye gari nisaidie kubeba vitu.” Vai akatoka akijua anapopenda
kuegesha gari Felix. Na kweli akamkuta Felix, Belinda na kijana mwingine.
Mtanashati tu. Akawasalimia wote maana walikuwa wametulia garini kana kwamba
wote walikuwa wakimsubiria yeye, mida hiyo ya jioni. Giza lilishaanza kuingia.
“Kwema?” Akaanza Vai.
“Bwana mtoto unawaka kama jua gizani! Kweli picha hazijaongopa! Naitwa Victor.”
“Victor kwa haraka! Hata husubiri utambulisho!” “Kizuri chajiuza Belinda.
Ukisubiri kuuzwa, utaoza.” Vai akacheka kidogo. “Basi naona utambulisho
umekamilika. Victor ni rafiki yetu. Alikuwa kajifungia, naona amechoka ndio
ametoka kuangaza macho.” Vai akawa kama hajaelewa.
“Naona na mwanzo si
mbaya. Kuanza tu unakutana na neema kama hii! Mungu anipe nini mimi?” Victor
akaendelea nakumfanya Belinda na Felix wacheke ila bado Vai akaachwa hajaelewa.
Akaona ajiachie tu. Akamgeukia Belinda kama kujua amsaidie nini. Felix
akafungua buti, Belinda na Vai wakaelekea huko nyuma ya gari. Kweli alikuwa na
mizigo mingi, kuashiria ametoka kufanya manunuzi ya haja.
Akamsaidia kubeba
baadhi. Akarudi kuaga. “Jioni njema jamani.” “Asante. Na wewe unakaribishwa kwa
chakula cha usiku. Sio watu wengi. Ni kama hivi tulivyo hapa. Usitie shaka.”
Vai akapatwa kigugumizi. “Ni chakula tu. Eti Vai?” Felix akadakia kuongeza
ushawishi. “Au Vai wewe huli?” Victor akaongeza swali lakishawishi. Wakamchangia
Alex na Victor kwa maneno ya ushawishi, mwishoe Vai akakubali.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Akiwa anavaa chumbani
kwake, Belinda akamfuata. “Mbona kama umepania sana!?” Akawa kama anamsuta. Vai
akaishiwa nguvu. “Mbona hii nguo ya kawaida sana tu! Hata wewe unaijua. Sasa
nimepania nini hapa?” “Ujue si lazima kwenda!” Vai akashangaa. “Kwa nini
tena?!” Belinda akababaika asitoe jibu la maana, Vai akimtizama. “Si wamesema
ni chakula tu. Au? Maana wakati mnanialika pale mimi sijaagiza chakula cha
usiku na njaa inaniuma, chakula alichonipa Bale mlikishambulia chote
mkakimaliza. Sasa sema ueleweke. Hutaki niende au?” Akamuuliza. “Mimi sitaki
uone kama unalazimishwa. Ila kama unataka kwenda, twende.” Kisha akatoka na
kumuacha Vai haelewi. Maana hata uchangamfu wake na maneno mengi vilimuisha.
Vai akampuuza akijua pengine anayake tu. Asijue kinachoendelea moyoni mwake.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Mida ya saa mbili na
nusu Felix akawafuata akionekana amebadili kabisa na yupo tayari kwa mapumziko
ya jioni. Vai naye akawa amependeza tu ila akashangaa kutomuona tena Victor. Akaondoka
nao Belinda akiwa amekaa mbele na Felix yeye nyuma. Ndio ikawa kwa mara ya
kwanza kupanda hilo gari la Felix. Ule ukimya ndani ya gari ukamtoa pale
kimawazo, mawazo yakahamia kwa Bale. Njia nzima akawa akimuwaza yeye. Hamu naye
ilishamuingia.
Wawili hao kutoka
lilishakuwa jambo la kawaida. Kwenda kula mishikaki au chochote mtaani wakiwa wawili
wakicheka na Bale akimsikiliza na kuonekana kumfurahia vilivyo. Akajisikia
kunyongea akitamani kama Bale angekuwepo hapo. Kwa hakika huwa wanakuwa na
wakati mzuri. Si kitajiri, bali utulivu na amani ya aina yake. Halafu ukweli
Bale anamvuto wake. Vai akawa amepoa hapo garini, kimya hata asijue
kinachoendelea kati ya wapenzi hao waliokuwa wamekaa viti vya mbele yake.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Kwa mara ya kwanza akajikuta
anaingia kwenye hoteli ya kula kwa kisu na uma, yenye meza zilizotandikwa kwa
vitambaa vya maana na vitambaa vya kujifutia midomo. Hakuna kunawishana mikono.
Kila mtu kisu na uma. Hajawahi tumia. Akatulia kwanza. Wakati wanataka kuagiza
vinywaji Victor akatokea akiwa amejiwakilisha haswa. Na amependeza.
Akakaa kwa kujiamini
akiwa amevutia. Harufu safi kuashiria amejisafi na kujipuliza manukato ya kiume
ikaenea hapo bila kukera. Akamsalimia Vai kwa kumpa mkono kwa heshima tu na
upendo wa aina yake, ilimradi tu kumkarimu akimuita mgeni wake. “Umependeza
sana Vai. Na hiyo rangi nyeusi imekufanya upendeze zaidi.” “Asante. Na wewe
umependeza.” “Duuuh! Kama umenikubali, basi umeufanya usiku wangu uwe mzuri.”
“Umevunja kabati nini?” Felix akamtania. “Nakwambia nilikuwa na kazi ya
kubadili mpaka nikaona nitachelewa! Ila kumbe juhudi yangu imelipa. Vai
amenikubali bwana!” Wakacheka Vai akimtizama na kucheka taratibu kama ambaye
hajamuelewa bado huyo Victor.
Muhudumu alipotaka
kuendelea kupokea oda, ikabidi watulie ili aweze kusikia. Vai akaagiza juisi. Belinda
ambaye alikuwa kimya kwenye simu yake hata hakuwa akicheka wala kuchangia neno,
akaanza kumbeza. “Kwa udogo gani na wewe kama si kujidai tu? Wote tutakunywa.
Kwa nini na wewe usinywe, au kutaka kuonekana mtakatifu hapa mbele ya kina
Victor?” Wote wakashangaa vile Belinda alivyozungumza kwa jazba.
“Kutokunywa pombe si utakatifu. Ni maamuzi tu.
Binafsi pombe zilinishinda uchungu ila si kwa utakatifu.” Vai akajibu
kiuungwana tu bila jazba. “Kweli bia zina uchungu wake ambao wengine ndio starehe
yao. Nakuagizia sweet wine. Utapenda.
Ipo kama juisi tu. Ukishindwa acha sio lazima, nitakuagizia juisi utakayopenda.”
Victor yeye akapoozesha ile hali ya ukali ya Belinda kwa tabasamu na sauti ya
kubembeleza, muhudumu akiwasubiria. Akakubali, ndipo muhudumu akaondoka na
kurudi na vinywaji vyote ikiwepo hiyo sweet red
wine.
Alipoionja haikuwa
mbaya. Akapenda. Chakula kikaletwa. Wakaendelea kula na kunywa akiagiziwa wine zaidi. Yenyewe ni tamu kama juisi tu.
Akaendelea kunywa na maongezi ya hapa na pale mpaka mtu wa ndani akaanza
kubadilika. Usingizi ukawa mzito ila furaha na uhuru wa namna yake ukaongezeka. Mawazo yote yakapotea. Ujasiri wa kufanya
chochote atakacho ukaongezeka.
Glasi za wine zikaongezeka mpaka akapoteza ufahamu
wake. Felix na Belinda wao walikuwa wakinywa bia aina ya heineken. Wakaonekana wazoefu
wa pombe. Waliendelea kunywa kwa kujinafasi, yeye akinywa wine kama juisi. Victor aliagiza glasi moja tu
ya margarita. Ikaletwa kwenye glasi kama ya wine lakini na
kijipande cha limao kilichoegeshwa kwenye glasi kwa umaridadi wake
ikapendezesha glasi. Akawa akinywa kidogo kidogo tu kama ambaye hakutaka iishe.
Baada ya muda, Vai hakujua tena lililoendelea kwa kulewa.
Siku Inayofuata.
Alikuja kuamka yupo
kitandani. Hajui alipo, kichwa kizito. Kujipapasa akitaka kuvuta shuka sababu
ya baridi, akajigundua yupo kama alivyozaliwa, shuka halivutiki. Kumbe
amelilalia Victor aliyekuwa amelala pembeni yake. Vai alishituka nusura aruke
kitandani. Victor na yeye alikuwa amelala mtupu, hata shuka hakuwa amejifunika,
ila kulilalia.
Akakaa kwa haraka.
Jinsi alivyoona chupi na sidiria yake pale sakafuni, akajua wazi kuna mchezo
ulichezwa usiku huo. Hakuwa hata akimfahamu Victor, lakini wazi iliashiria
walifanya mapenzi! “Mungu wangu mimi jamani!” Vai alilalamika kwa hofu.
Akatoka kitandani na kuanza kuokota nguo zake kwa haraka, Victor akaamka.
“Vipi?” Akamuuliza.
Vai akashituka, akamtizama na kujaribu kuficha matiti yake. Victor akacheka
taratibu. “Hapa ni wapi?” “Tulichukua chumba hapahapa. Niliona si sawa kukurudisha
chuoni usiku ukiwa na hali ile.” Vai akabaki akivuta kumbukumbu asikumbuke.
Inamaana alilewa sana na hapo wapo upande wa kulala wageni, pale walipokuwa
wakinywa usiku uliopita.
“Vai, kumbe ndio
unafujo nzuri hivyo ukilewa!” Akamtoa mawazoni. Vai akamtizama asijue kama ndio
anamsifia au kumkejeli! Akaona aendelea kuokota nguo zake atoke hapo.
“Kina Belinda nao kama
walifikia muafaka wakulala hapa watakuwa na wao walichukua chumba hapahapa.
Niliwaacha wakiwa wanashauriana kama usiku wa jana waumalizie wapi. Tuoge, nitampigia
Felix nione kama wapo tayari kupata kifungua kinywa pamoja na sisi.” “Mimi
nataka kurudi chuo.” “Mbona mbiombio kama umefukuzwa tena?!” Hakujibu,
akakusanya vitu vyake na kuelekea upande lilipo bafu. Hata chumba chenyewe
kiliashiria wamelala kwa wenye pesa. Bafu safu linanukia harufu nzuri.
Akatafuta sehemu na kuweka vitu vyake.
Victor akaingia akiwa
mtupu kama alivyozaliwa. Akajisaidia, Vai akiwa amevuta taulo amejifunika kama
asimuone. Victor akacheka. “Vipi tena Vai?” “Mimi sijui kilichoendelea jana
usiku mpaka kujikuta hapa.” “Kwamba hukumbuki kabisa?!” Jinsi alivyomuuliza,
ikamfanya Vai asite kujibu.
“Usijali. Tulipata
wakati mzuri. Na wewe uliongoza shoo nzima. Na mimi nikafurahia. Kwa kifupi,
tulipata wakati mzuri wa pamoja. Tafadhali usijisikie vibaya. Oga, tupate
kifungua kinywa kwanza, ndipo ukitaka nitakurudisha chuoni leo. Huna haja ya
kukimbia. Hamna la ajabu lililotendeka, na mimi ni mstaarabu.” Kimya,
akishindwa kujibu hata kumwangalia.
Akamfungulia maji
yakuoga. “Yape muda kidogo ili yapate moto. Niliweka chumba baridi ya juu
kidogo, kwa kuwa wote tulikuwa tukitokwa jasho jana usiku na hukutaka mapumziko
mpaka ulipopotelea usingizini. Na mimi nikalala, nikasahau kupunguza a/c.”
Anayaongea hayo na tabasamu kama jambo la kawaida asijue jinsi
anavyomfedhehesha Vai. Akazidi kujisikia vibaya. Akayashika maji ya bafuni, Vai
akimtizama.
“Naona moto wake
mzuri. Ingia uoge.” Ikabidi tu Vai kutoa taulo na kuingia akimtizama. Kisha
akarudi chumbani, baada ya muda akarudi. Vai akashitukia anaingia na yeye
bafuni! Akajivuta mwisho kama kumpisha. “Naomba kukushukuru Vai. Baada ya
kipindi kirefu cha upweke, jana nimepata wakati mzuri sana. Sijui wewe, binafsi
nilihitaji.” Vai akamtizama hapo bafuni na kugeukia maji.
“Nimekuwa mpweke kwa
muda mrefu. Nilihitaji usiku kama wa jana. Samahani kama hukumbuki, lakini
nakuhakikishia na wewe ulikuwa kwenye furaha ya namna yake.” Swala la upweke Vai
aligundua alikuwa akilirudiarudia na kumshangaza. Victor alionekana kijana wa
kileo na mzuri tu. Anakuaje mpweke ndani ya jiji lililojaa wanawake wenye uchu!?
“Mimi sikufahamu
Victor. Nisingelala na wewe bila ya kukufahamu! Pombe ndiyo ilinifanya nifanye
mambo ya ajabu.” “Hapakuwa na la ajabu. Tafadhali usijilaumu. Na mimi si kwamba
nililala na wewe tu. Nilishapata habari zako, ndio maana sikuona shida kuwa na
wewe jana. Najua umetulia Vai. Hilo nilihakikishiwa. Na niliambiwa hata
nikikuweka karibu, hutanisumbua. Ikaniingia akilini. Sasa usiku uliponitaka
kimapenzi na hivyo ulivyo, na mimi nilikuwa tayari pombe kidogo imeshaingia kichwani,
nikajitosa tu.” Vai akazidi kujisikia aibu, na kushindwa kumwangalia kabisa.
“Geuka nikupake
sabuni mgongoni. Usikae nje ya maji muda mrefu utaingia baridi.” “Sikumbuki
kabisa kukuomba mapenzi jana.” Vai akaongea kuonyesha wazi kuishiwa ujasiri.
“Silazima ukumbuke na usijisikie vibaya. Na mimi nilipenda.” Akamsogeza kwenye
shawa. Akamgeuza kama kuupata mgongo.
Akaanza kumpaka
sabuni taratibu. “Vai wewe ni mzuri!” Hakujibu akabaki amesimama amempa mgongo,
anaangalia ukuta akisikilizia mikono ya kiume mwilini mwake. Akaendelea kumpaka
sabuni. Shingoni mpaka kiunoni. Akaanza kama kumchua mabega. “Naomba urelax
tafadhali. Upo na tension! Misuli yote umekaza!” Akamwambia taratibu na
busu la shingoni akiendelea kumchua mabegani akiteleza na sabuni. “Haupo
hatarini.” Akaendelea kuzungumza naye kwa kumbembeleza akimchua mpaka akasikia
kutulia.
Akahisi kabisa mashine
yake amesimama nyuma yake. Ile mikono ikaendelea kutembea begani, mbele. Victor
alikuwa mrefu. Haikuwa shida kufikia kifua cha Vai mbele. Taratibu mikono
ikahamia kwenye matiti. Akajisikia raha, mikono yote akaweka ukutani kama
anayeshikilia kuta zisianguke. Victor akapata uhuru wote kwenye ule mwili wake,
maji yakiendelea kuleta joto kwenye chumba hicho cha baridi. Mabusu na
kupapaswa kukaendelea.
Mkono mmoja kwenye
matiti, mwingine ukampapasa kushuka chini. Mwishoe akamkumbatia kabisa, bado
akiwa nyuma yake, mikono inatembea mbele. Raha aliyokuwa akijisikia Vai ambaye
hajalala na mwanaume muda mrefu, hata usiku uliopita hakuwa akikumbuka,
akaachanisha miguu. Ndipo Victor akapenyeza vidole katikati ya uke wake, kisha
akaanza kumchua na vidole vya kiume taratibu ila kwa nguvu iliyomfanya Vai kuanza
kunung’unika maana Victor alijua kutembeza hivyo vidole ipasavyo. Aliendelea hivyo
kwa muda mpaka akawa hajiwezi tena kusimama.
Bila papara,
akampenyezea kwa nyuma taratibu, Vai akawa akisikilizia mashine ikiingia bila
pupa na kurudisha vidole mbele. Ukweli Victor alitulia kwenye penzi. Akawa
akiingia na kutoka ila bado akimchezea. Aliweza kumfikia vizuri. Vidole vya
kiume virefu na nguvu yake. Alimchezea Vai huku na yeye akigugumia raha, mpaka
Vai akapiga bao kwa sauti akiwa ameinama kidogo ila amempa mgongo. Alipomaliza tu,
akamkamata kiuno kwa mikono yote miwili. Alicheza na hicho kiuno, akipiga
taratibu mpaka na yeye akamaliza.
Lakini hiyo toka yake
yenyewe, Vai akashangaa. “Mbona kama alimaliza!” Akajiuliza akiwa bado
ameshikiliwa kiuno, anatoka kama anayemalizia, kisha anarudi. Akafanya hivyo
kwa muda, kisha akamuhisi amesimamisha kabisa. Akachomoa na kuanza kumsafisha
Vai kwa nje. Alipotaka kujimalizia kujisafisha mwenyewe, akamuwahi. “Naomba hii
iwe kazi yangu.” Akamnong’oneza masikioni, mkono kinenani. “Nimefundishwa
kuosha chombo nilichotumia kulia.” Victor akaendelea taratibu. Sasa huo
usafishaji wenyewe, mapigo ya Vai yakawa yameshabadilika tena. Usafishwaji wa
aina yake, mashine anaisikia ipo kamili kwenye matako.
~~~~~~~~~~~~~~~~
Vai Mikononi Kwa Victor Anayeonekana Kumfahamu Vilivyo, Yeye
Hamfahamu Ila Amemuachia Kila Mahali. Hajiwezi, Ila Amefanikiwa Kumfikisha
Vilivyo. Anataka Tena Na Tena.
Nini Kitaendelea Kwenye 5 Star Hotel?
Victor ni Nani?
Kipi Kinachomfanya Belinda Kubadilika?
Usipitwe.
0 Comments:
Post a Comment