Mahusiano Mengi huvunjika kirahisi tu kwa kuwa hujengwa kwenye hisia. Ni lazima kujua kila mahusiano yanatakiwa kuwa na mizizi Imara. Iwe ni mahusiano ya kimapenzi au ya kawaida tu. Ya undugu au ujirani. Yote yanatakiwa kujengwa katika msingi ambao unajua hautavunjika kwa hisia pekee. Iwe kukwazana kwa namna yeyote ile. Kuna umuhimu wa Kumtanguliza Mungu katika kila uhusiano.
TBS Kuandaa Viwango Nishati Safi ya Kupikia
3 hours ago
0 Comments:
Post a Comment